marekani

  1. JamiiForums Tanzania Kuna nini kati ya CHADEMA, Marekani, Ujerumani, Ubelgiji, Amnesty International na Kenya dhidi ya Usalama wa Tanzania?

    Wakuu, Hili ni bandiko la swali ili kupata uelewa mpana kuhusiana na taswira mpya wanasiasa wa Tanzania na washirika wao wanavyoonesha katika siku za hivi karibuni. Je, kuna uhusiano gani wa ziada nje ya utaratibu wa kawaida kwa nchi tajwa hapo juu na shirika mojawapo la haki za binadamu na...
  2. JamiiForums Tanzania Marekani: Rais Trump amfukuza kazi Waziri wa Ulinzi, Mark Esper

    Rais Donald Trump ametangaza kumfuta kazi Waziri wa Ulinzi, Mark Esper baada ya wawili hao kushindwa kuelewana. Christopher Miller aliyekuwa Mkuu wa Kituo cha Ugaidi atachukua nafasi yake Esper alipishana kauli na Rais Trump kuhusu namna Ikulu (White House) ilivyotumia Jeshi wakati wa...
  3. JamiiForums Tanzania Mwanasheria Mkuu Marekani aamuru uchunguzi kuhusu upigaji kura

    Mwanasheria Mkuu wa Marekani, William Barr amewaamuru waendesha mashitaka wa Serikali kuanzisha uchunguzi kuhusu dosari za upigaji kura, kwa sababu Rais Donald Trump amedai kuwa alishindwa uchaguzi kutokana na udanganyifu. Barr, ambaye ni mtetezi wa karibu wa Trump kwa muda mrefu, amesisitiza...
  4. JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais mpya wa Marekani Joe Biden baada ya ushindi kwa Kiingereza na Kiswahili (Biden-Harris)

    HOTUBA YA JOE BIDEN BAADA YA USHINDI My fellow Americans, the people of this nation have spoken. They have delivered us a clear victory. A convincing victory. A victory for “We the People.” We have won with the most votes ever cast for a presidential ticket in the history of this nation -- 74...
  5. JamiiForums Tanzania Video hii inatosha kutukumbusha utofauti mkubwa kati ya siasa za Marekani na Tanzania

    Najua wengi mnayafahamu mengi kuhusu tofauti za kimfumo na hata kiutamadumi katika siasa za Tanzania dhidi ya zile za Marekani. Moja ya jambo ambalo wengi wanaliongelea sana ni uhuru wa vyombo muhimu katika ufanyaji wa kazi na majukumu ya kisiasa. Huko Marekani, taasisi moja ambayo ufanyaji...
  6. JamiiForums Tanzania Uchaguzi Urais, USA - 2020: Anavyopigwa Donald Trump (R) katika Ballot Box, ndivyo ambavyo alikuwa anapigwa John P. Magufuli (CCM)..

    Mfanano wa chaguzi hizi mbili: 1. Wote, Donald Trump (Republican) na John Magufuli (CCM) ni incumbent presidents waliokuwa wanatetea nafasi zao.. 2. Wote ni maRais wasema ovyo na wasiopenda kulaumiwa kwa makosa yao.. 3. Wote ni wapenda sifa na wakati mwingine kutaka sana kupenda...
  7. JamiiForums Tanzania GE2020 Zitto Kabwe kuzungumza na Vyombo vya Habari kesho Novemba 7, 2020

    Kiongozi wa Chama cha ACT- Wazalendo, Ndugu Zitto Zubeir Kabwe kesho Novemba 7, 2020 anatarajia kuzungumza na vyombo vya habari kuhusiana na masuala mbalimbali yaliyojili kwenye Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 28, 2020. Pia Kiongozi wa Chama atazungumzia mambo mbalimbali ikiwamo ukiukwaji wa...
  8. E

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya uchaguzi Marekani 2020: Uchaguzi ‘umechafuliwa’ na madai ya wizi wa kura

    Matokeo ya uchaguzi Marekani 2020:Uchaguzi ‘umechafuliwa’ na madai ya wizi wa kura Uchaguzi ‘umechafuliwa’ na madai ya wizi wa kura EPACopyright: EPA Ujumbe wa kimataifa umesema uchaguzi wa Marekani ‘umechafuliwa’ na madai ya wizi wa kura na majaribio ya kwanza kabisa ya kushusha imani ya...
  9. JamiiForums Tanzania Jinsi Uchaguzi wa Rais wa Marekani unavyofanyika

    Unaweza kushinda kwa kura nyingi dhidi ya mpinzani wako lakini bado usiwe Raisi.Hivi ndivyo sheria ya chuo za wanazuoni wa Marekani inavyofanya kazi. Katika mjadala huu neno Electoral college nitatumia kwa kiswahili chuo cha wanazuoni “Kwa kifupi Wanachama mbali mbali 538 wa chuo cha...
  10. JamiiForums Tanzania Waangalizi wa Uchaguzi wa Marekani wasema madai ya Trump kuibiwa kura hayana mashiko

    Mkuu wa ujumbe wa waangalizi wa kimataifa kwenye uchaguzi wa Marekani 'Michael Georg Link' amesema kwamba madai ya Rais Donald Trump hayana msingi, yanayosema kwamba kumefanyika udanganyifu katika uchaguzi huo. Michael Georg Link anayeongoza ujumbe wa Shirika la Usalama na Ushirikiano barani...
  11. JamiiForums Tanzania Tofauti mojawapo kati ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania na Marekani, ni kuhoji mchakato wa Uchaguzi katikati ya Uchaguzi!

    Nasikia Donald Trump amekimbilia mahakamani kusitisha uhesabuji wa kura. Akiwa madarakani amekimbilia mahakamani, badala ya kwenda kwenye Tume ya Uchaguzi. Hapa kwetu Tanzania, balaa, mgombea haruhusiwi kukimbilia mahakamani wala Tume haitakiwi kuulizwa lolote juu ya Uchaguzi. Hapa sio suala la...
  12. JamiiForums Tanzania Marekani: Jaji atupilia mbali madai ya wapambe wa Trump

    Wanaofanyia Kampeni Mgombea Urais wa Marekani, Donald Trump walifungua kesi kupinga matokea kwa jimbo la Georgia. Wafuasi hao wa Republican walidai kuwa maboksi 53 ya kura yaliingizwa kwa kuchelewa hali iliyowafanya waone udanganyifu katika kituo cha kupigia kura. Kesi hiyo ilifunguliwa katika...
  13. JamiiForums Tanzania Vyombo vya Habari vya Kimataifa vinaona fujo kwenye Uchaguzi wa Marekani kama uchaguzi wa nchi zinazoendelea

    Inaonekana kama kunaweza kutokea vurugu katika Uchaguzi wa Marekani kwa kuwa baadhi ya vyombo vya habari vya kimataifa vimekuwa vikiripoti ghasia kutokana na meneo ambayo matokeo yake bado kutangazwa Radio ya Iran imeripoti kuwa waandamanaji katika jimbo la Minneapolis, Seattle na Los Angeles...
  14. JamiiForums Tanzania Uchaguzi Marekani: Mamia waandamana kutaka kila kura kuhesabiwa

    Wanaharakati nchini Marekani wamefanya maandamano ya amani katika baadhi ya miji kudai kuhesabiwa kwa kila kura kufuatia kauli ya Trump kuwa kuna uwezekano wa kuwepo kwa wizi wa kura katika zoezi la kuhesabu kura linaloendelea nchini Marekani. Waandamanaji wameonekana karika miji ya Oakland...
  15. JamiiForums Tanzania Marekani yarekodi visa zaidi ya 100,000 vya maambukizi ya Coronavirus. Hekaheka za Uchaguzi zatajwa kuwa chanzo

    Takriban visa vipya 103,000 vya maambukizi ya COVID-19 vimeripotiwa nchini #Marekani ndani ya saa 24, huku hekaheka za Uchaguzi zikidaiwa kuchangia ongezeko hilo Hii ni rekodi kubwa tangu Septemba 4 ikiwa ni siku 2 baada ya Uchaguzi wa Urais, kulingana na takwimu zilizotolewa na Chuo cha Johns...
  16. JamiiForums Tanzania Marekani: Wananchi walitumiwa jumbe za kuwashawishi wasiende kupiga kura. FBI yaanzisha Uchunguzi

    More than 800,000 people with phone numbers tied to six presidential swing states have been targeted with automated phone calls on Tuesday suggesting they remain at home on Election Day, a tactic that has alarmed voters and has drawn the attention of the FBI, documents and interviews show. All...
  17. JamiiForums Tanzania Hatua kwa hatua jinsi Rais wa Marekani anavyopatikana

    Kuelekea uchaguzi wa kwanza wa urais Marekani, uliofanyika Desemba 1788 hadi Januari 1789, mtindo wa kumchagua na kupata Rais, ulisababisha vichwa vya mababa waasisi wa taifa hilo viume. Anachaguliwaje? Ilikuwa mwaka 1787 baada ya Kongamano la Kikatiba lililofanyika Philadelphia, Marekani...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Yanayoendelea huko Mtwara: Je, Serikali ilifanyia kazi ushauri wa Marekani?

    Ingawa hatupewi taarifa za kueleweka lakini yanayoendelea Mtwara kwa uchache yanafahamika. Kuna uwezekano mkubwa kabisa Tayari kile kikundi cha ugaidi kilichokuwa kinasumbua kule Msumbiji Ni rasmi Kiko Tanzania. Watu wa Mtwara wanaweza kuthibitisha hili. Miezi kadhaa iliyopita Serikali ya...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Tuna cha kujifunza na Uchaguzi wa Marekani?

    Mabibi na mabwana, elimu haina mwisho. Je, tuna cha kujifunza kutoka kwao waliotutangualia? Au ni yale yale ya ukichwa ngumu kama mawe kuwa tunajua kila kitu? Mema waliyonayo wamarekani leo hayakuja kama mvua. Yalipiganiwa na hata damu kumwagika. Sembuse kukaa mahabusu au hata kufungwa jela...
  20. JamiiForums Tanzania Raia wa Marekani wapiga kura kumchagua Rais mpya kati ya Donald Trump anayewania muhula wa pili au mpinzani wake Joe Biden

    Trump, rais wa 45 wa Marekani anajivunia rikodi ya kuimarisha uchumi na kupunguza kwa kiwango kikubwa ukosefu wa ajira lakini anakosolewa kwa jinsi alivyoshughulikia janga la virusi vya corona. Biden, mwanasiasa anayegemea sera za wastani za mrengo wa shoto ameahidi kulinda haki ya wamarekani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…