marekani

  1. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Chande: Hata Marekani watu wanapotea

    Jaji chande ameyasema hayo leo, Aprili 28, 2025, wakati akizungumza kwenye mkutano wa tume ya uchunguzi na waandishi wa habari kuhusu matukio ya Vurugu za Oktoba 29, 2025 kabla na baada ya uchaguzi Mkuu.
  2. Ritz

    JamiiForums Tanzania Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz anasema Iran inaidhalilisha Marekani

    Wanaukumbi. ⚡️Germany's Merz on Iran: The U.S. and Israel assumed at the very beginning that this problem could be solved within a few days. But today we must acknowledge: it has not been solved. That is why we, from the European side, are also seeking a diplomatic solution. I hope that we...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Trump amtoa hadharani mtuhumiwa wa kupiga risasi ikulu ya Marekani

    Anaitwa Cole Allen ni Mwalimu na Dini yake MKIRISTO . 10 minutes ago White House dinner shooting suspect was California teacher - CBS News The man who opened fire outside the White House Correspondents' Dinner in Washington, where US President Donald Trump was attending, was identified as a...
  4. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Rais wa Marekani Donald Trump afuta Mazungumzo ya Amani na Iran!

    ‼️ MPYA: Trump afuta mazungumzo yaliyopangwa ya Islamabad na Iran, akisema muda unapotea safarini na kutaja "machafuko makubwa ya ndani" ndani ya uongozi wa Iran. "Ikiwa wanataka kuzungumza, wanachotakiwa kufanya ni kupiga simu." "Tuna kadi zote, hawana hata moja!" Endelea kuwasiliana...
  5. Ritz

    JamiiForums Tanzania Shirika la habari la Iran Tasnim linaripoti kwamba Iran haijawahi kuomba mazungumzo ya ana kwa ana na Marekani,

    Wanaukumbi. Chombo cha habari cha Iran Tasnim kinaripoti kwamba Iran haijawahi kuomba mazungumzo ya ana kwa ana na Marekani, ikipinga moja kwa moja madai yaliyotolewa na katibu wa habari wa Ikulu ya White House Karoline Leavitt. Kulingana na ripoti kutoka kwa chombo hicho cha habari...
  6. X

    JamiiForums Tanzania Je, ulijua kuwa China peke yake ina akiba kubwa ya mafuta kuliko Marekani, Japan na Ulaya kwa pamoja?

    Shirika la Marekani la U.S Energy Information Administrative (EIA) linakadiria kwamba: China ina mapipa karibu bilioni 1.4 ya mafuta ghafi. Mkakati kabambe wa China kuhifadhi mafuta ghafi ulianza hasa mwaka 2003 na huku Marekani na nchi za Ulaya tangu miaka ya 1970, mind the gap! Marekani...
  7. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Vita Vya Iran: Marekani Mchimba Kisima Kaingia Mwenyewe

    https://youtu.be/f6beN4JdXVA?si=Sbk9dfUl2C4IZ6ek
  8. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Marekani watoa donge la Dolar milion kumi kupata taarifa za Hashim Finyan Rahim al-Saraji!!

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani inatoa zawadi ya hadi dola milioni 10 kwa taarifa kuhusu Hashim Finyan Rahim al-Saraji, anayejulikana pia kama Abu Ala al-Walai, kiongozi na Katibu Mkuu wa kundi la Iraq linaloungwa mkono na Iran, Kataib Sayyid al-Shuhada.
  9. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Marekani yarupia macho njia ya baharini ya Bahari Nyekundu ya Eritrea

    Mlango-Bahari wa Hormuz umefungwa kutokana na vita kati ya Marekani, Israel na Iran, na jamii ya kimataifa imeanza kutafuta njia mbadala baharini. Hivi karibuni Marekani inafanya mawasiliano ya kidiplomasia na Eritrea, ambayo ni nchi muhimu ya njia za meli za Bahari Nyekundu. Kabla ya hapo...
  10. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Rais wa Marekani Donald Trump aagiza boat za Iran zilizoko Mlango bahari wa Hormuz zizamishwe!!

    Baada ya boat za Iran kuonekana zinateka meli na zingine kuonekana kutega mabomu kwenye Mlango bahari wa Hormuz, Rais wa Marekani Donald Trump ameliagiza jeshi la majini na la anga kuzizamisha boat zote zinazofanya uhalifu kwenye mlango bahari wa Hormuz!!
  11. Yoda

    JamiiForums Tanzania Milango nusu ya vyoo vya umma Marekani inahitaji ujasiri sana kwa watumiaji

    Hii milango ya katika vyoo vya umma huwa inashangaza sana, unakuwa unajisaidia huku mtu mwingine kutoka nje anaweza kukuona akitaka na kusikia kila kitu unachofanya Hivi vyoo ukiwa na tumbo la kuhara lile la vuvuzela au tarumbeta ni shughuli pevu, inabidi ukimaliza usubirie kuhakikisha hakuna...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Yaani Marekani anachezewa hivi na Irani? Kweli hakuna marefu yasio na mwisho

    Iran kagoma kabisa kuendeshwa na kuamrishwa na Trump. Anataka haki kamili na sio vitisho. Amegoma kwenda Karachi kuhudhuria mazungumzo ambayo marekani anamwakilisha Isreal. Marekani anataka Iran na silaha yoyote huku yeye na Isreal wao wamiliki silaha. Iran asiwe na mshirika lkn wao katka...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Vita vilivyosababishwa na Marekani vimeipa hasara Afrika

    Wakati makombora ya jeshi la Marekani yalipochana anga la Iran mwishoni mwa Februari, watu wa Afrika labda walikuwa hawaujui kwa undani zaidi mlango bahari wa Hormuz. Hata hivyo, wamejua haraka madhara ya vita hii – kupitia kupanda kwa bei ya mafuta, upungufu wa mbolea, na vyakula vinavyozidi...
  14. Ritz

    JamiiForums Tanzania China yatoa onyo la mwisho kwa Marekani

    Wanaukumbi. "China imezingatia kukamatwa kinyume cha sheria kwa meli ya mizigo ya raia inayosafiri kutoka China hadi Iran na Marekani. Turuhusu tuwe wazi kabisa: Marekani inaweza kufanya mambo mengi duniani. Lakini kushambulia, kushikilia, au kusumbua meli zinazosafiri kutoka China, au...
  15. C

    JamiiForums Tanzania Marekani inaipenda Facebook kwasababu ni yao China wanaipenda TikTok lakini Tz hawaipendi sana JamiiForums

    ilibidi wa Tz waithamini zaidi Jf
  16. Yoda

    JamiiForums Tanzania Marekani wamekuwa maharamia baharini!

    Kwa sasa Wamarekani hawana tofauti na wale maharamia wa Somalia waliokuwa wanazivamia meli na kuzichukua mateka, US wanavamia na kuiba meli za Venezuela, Cuba na sasa Iran, huu ni uharamia wa kitaifa(state sanctioned piracy).
  17. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuilemaza, Marekani yazuia Meli ya Iran

  18. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Rais wa Marekani Donald Trump aisifu Israel!!

    Trump awasifu Israeli kupitia Mtandao wake wa Truth Social, akiiita "Mshirika MKUBWA wa Marekani" na kuangazia nguvu na uaminifu wake. "Ni Jasiri, Jasiri, Waaminifu, na Werevu... Israeli inapigana vikali, na inajua jinsi ya KUSHINDA!" aliandika. Wafuga Midevu na Majini najua watanuna sana...
  19. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Iran kuanza ishambulia Marekani hasa katika majiji yake ya New York na Las Vegas?

    Naona haijaanza kutumia yale makombora yake ya masafa marefu mpaka sasa. Inasubiri nini? Marekani imeharibu sana Iran. Iran ya sasa inatembea kwa magongo, inachechemea. Siyo Iran ya miezi 10 iliyopita. Mambo yameharibika sana kijeshi. Sasa nawaza je huu si wakati muafaka wa kuishambulia...
  20. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Marekani na Israel zaanza maandalizi ya kuipiga tena Ira

    Rais wa Marekani Donald Trump alifanya mkutano wa usalama wa faragha leo na Mwenyekiti wa Wakuu wa Majeshi wa Pamoja, Jenerali Dan Caine na Katibu wa Vita, Pete Hegseth. Chanzo cha habari cha ujasusi cha Marekani kimesema kwamba maandalizi yanafanywa ili kurudi vitani na Iran ikiwa hakuna...
Back
Top Bottom