kuna ripoti mpya leo kuhusu matukio ya risasi katika Mlango-Bahari wa Hormuz yakihusisha meli za kibiashara.
kinachoripotiwa – Aprili 18, 2026:
1. Risasi zilizopigwa kwenye meli ya mafuta karibu na Oman
Shirika la UK Maritime Trade Operations (UKMTO) lilisema meli ya mafuta ilikaribiwa maili...
Huwa nalipenda sana somo la historia.
1. Ukisoma historia kwa kina utafahamu ukweli kwamba hakuna jipya chini ya jua.
2. Yote unayoyafanya yalishafanywa na wenzako huko nyuma.
3. Wewe unachofanya ni kujenga juu ya msingi wa mwingine tu.
4. Wanaoamini kwamba historia ina vitu vipya ni...
Ubalozi wa Marekani Nchini Tanzania, umezumgumzia kifo cha Mwanamitandao ya kijamii kutoka Miami, Ashly Robinson (31), aliyefariki dunia April 9, 2026, kwa mujibu wa Jeshi la Polisi akiwa Visiwani Zanzibar,
Kauli ya Ubalozi huo, inatokana na maswali yaliyoulizwa na AyoTV, iliyotaka kufahamu kwa...
https://truthsocial.com/@realDonaldTrump/posts/116384077225474834
Trump ameichapisha mwenyewe. Ramani inaonyesha wazi.
Meli kubwa za mafuta Supertanker tupu (VLCC), kila moja ikiwa na uwezo wa kubeba mapipa milioni 2 ya mafuta, sasa hivi zinakimbilia Pwani ya Ghuba ya Marekani.
Hormuz...
Jeshi la Polisi Visiwani Zanzibar linamshikilia Joe McCann ni Mchumba wa marehemu Ashly Robinson maarufu kama "Ashlee Jenae" kufuatia tukio la kifo chake lililoripotiwa kutokea siku kadhaa zilizopita baada ya kukutwa amejinyonga katika chumba cha hoteli.
Akizungumzia tukio hilo leo April 14...
Nimefuatilia Chambuzi nyingi hapa Tanzania, zinaegemea Iran na kuilaumu marekani kwa kitendo chake cha kuivamia Iran kuwa ni uchokozi pamoja na ubabe! Swali lenu wachambuzi
1: Mbona hamuongelei mauaji yanayofanywa na magaidi duniani wenye msimamo mkali wa kidini huko nigeria, Lebanon, huthi...
Kama njia ya kulipiza kisasi kwa kitendo cha Iran kuzuia meli za baadhi ya mataifa kupita kwenye mkondo wa bahari wa Hormuz, tangu jana majira ya saa 4 asubuhi, Jeshi la Marekani limeweka zuio la meli yoyote kuingia au kutoka kwenye bandari zote za Iran. Na Marekani imeweka wazi kuwa kwenye zuio...
Waziri wa Fedha wa Afrika Kusini Enoch Godongwana hivi karibuni amethibitisha kuwa, yeye na Gavana wa Benki Kuu ya nchi hiyo Lesetja Kganyago hawajapata idhini ya Marekani ya kuingia kwenye nchi hiyo, ikimaanisha kwamba watashindwa kuhudhuria Mkutano wa Mawaziri wa Fedha na Wakuu wa Benki Kuu wa...
Tukio la kusikitisha limeripotiwa kutoka katika Jimbo la Indiana Nchini Marekani ambapo Mtoto wa miaka miwili amefariki dunia kutokana na hali mbaya ya malezi na ukosefu mkubwa wa chakula Nyumbani kwao, taarifa za awali zinaeleza kuwa Wazazi walikuwa wakiwanyima chakula Watoto wao hali...
Rais wa Marekani Donald Trump amesema Marekani itaweka “kizuizi cha kijeshi” na kuudhibiti Mlango Bahari wa Hormuz, njia muhimu ya usafirishaji wa mafuta duniani, kufuatia kushindwa kwa mazungumzo kati ya Marekani na Iran.
Trump amesema kupitia ujumbe wake katika mtandao wa Truth Social kuwa...
Bei ya kupangisha nyumba iko juu kama dola 1200 .Ukiwa huko bila kazi ya maana mtaishi watu wawili au watatu ili mlipe kodi.Waafrika wengi wanalala nje.ukitaka kwenda huko hakikisha uko na kazi nzuri
KIBRI KITAANGAMIZA MAREKANI NA ISRAEL
Tatizo kubwa la Marekani ni kibri.
Hiki kibri kimewaelemea kiasi hawawezi kuwaza kama binadamu mwenye uwezo uliokuwa na kikomo.
Hata hapa walipofikishwa kutafuta amani kwa mazungumzo na diplomasia bado hawajatambua kuwa wao si washindi.
Halikadhalika...
Anata Iran iachane na nyuklia yake yote huku yeye na Israel wao wazidishe kuzalisha. Iran amesema kama ni hivyo warudi tu vitani, hakuna binaadam mwenye akili anaweza kukubali masharti hayo
Taarifa zinazosambaa kwamba Marekani imekubali kuilipa Iran dola bilioni 6 ni propaganda za zinazorejelea tukio la zamani lililotokea Septemba 2023 kipindi Biden akiwa Rais wa Marekani.
Dola Bilioni 6 zilikuwa sehemu ya makubaliano ya kubadilishana na wafungwa, ambapo Marekani ilitoa ruhusa...
Trump alijaribu kutuma Kikosi cha Wanamaji cha Marekani kupitia Mlango-Bahari wa Hormuz wakati wa mazungumzo nchini Pakistani.
Iran ilisema haikujali mazungumzo na ingeilipua meli. Kisha Trump akaamuru meli hiyo igeuke na kurudi UAE.
RAN ILIZUIA NDEGE YA MAREKANI YA MAREKANI KUTOKA HORMUZ...
Wanaukumbi.
Marekani imekubali kuachilia mali za Iran zilizozuiliwa zilizoshikiliwa Qatar na benki zingine za kigeni, chanzo kikuu cha Iran kiliambia Reuters Jumamosi, kikielezea hatua hiyo kama ishara ya "uzito" katika juhudi za kufikia makubaliano na Washington wakati wa mazungumzo huko...
Jinsi ambavyo huwa naona hapa bongo watu wanavyogombania kazi za jeshini hadi wengine wanahonga, wanaenda kwa vimemo na wengine kutapeliwa huwa nashangaa sana jinsi jeshi la Marekani linvyoshindwa kufikia malengo yake ya kuajiri wanajeshi wapya hadi inabidi kubembeleza watu au kushusha vigezo...
Uchunguzi wa maoni uliofanywa hivi karibuni na Gallup, ambalo ni shirika maarufu la kimataifa la uchunguzi wa maoni, unaonesha kwamba mwaka jana, kiwango cha kukubaliwa kwa uongozi wa kimataifa wa China ni asilimia 36, na kuizidi Marekani kwa asilimia 5.
Uchunguzi wa Gallup umeshirikisha zaidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.