kumekuwepo na chapisho ambalio limesambazwa na chommbo cha habari cha Mwana habari kikiw na kukuu ya kuwa Israel hajafurahishwa na makubaliano ya kusitisha vita baina ya Marekani na Iran huku Israel
===
Israel haikujulishwa kuhusu mpango wa Marekani wa kufikia makubaliano ya muda ya kusitisha...
Wakati wanaenda kwenye wiki mbili za ceasefire.
👉 Nani kashinda vita kati ya USA vs Iran?
Kwa vigezo gani:
Military power (nani kampiga mwenzie zaidi)?
Survival (nani bado yupo hai kiushawishi mpaka sasa)?
Uchumi (nani amemuathiri mwenzie au nani anaiathiri dunia)?
Au nani analazimisha...
Wanaukumbi.
Iran ilisema mapema Jumatano kwamba Marekani "kimsingi" imekubali pendekezo la pointi 10 linalolenga kukomesha vita, kulingana na ripoti za mtandao wa Utangazaji wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran (IRIB) unaoendeshwa na serikali.
Baraza Kuu la Usalama wa Kitaifa la Iran lilisema katika...
Vyombo vya habari vya serikali ya Iran vinatoa wito kwa umma kuunda ngao za kibinadamu(Human-Shield) kuzunguka vituo vya umeme na miundombinu mingine muhimu ili kuzuia Marekani na Israeli kushambulia maeneo hayo.
Hata waislamu wanajua kwamba Amerika na Israeli ni watu wenye utu zaidi kuliko...
Rapa wa Marekani Offset ameripotiwa kupigwa risasi karibu na casino maarufu ya Seminole Hard Rock Hotel & Casino huko Hollywood, Florida.
Mtu wa karibu na rapa huyo amethibitisha kuwa Offset kwa sasa yuko salama na anaendelea vizuri, ingawa mamlaka bado zinaendelea kuchunguza kilichosababisha...
Huko Mashariki ya Kati mambo yanazidi kupamba moto katika huu mgogoro unaoendelea kati ya Marekani, Israel na Iran. Lakini safari hii, kuna sarakasi mpya imeibuka ambayo inaacha maswali mengi kuliko majibu, na inamuhusisha moja kwa moja Rais wa Marekani, Donald Trump.
Kwa mujibu wa ripoti mpya...
Hiyo ni taarifa ya Muda huuIran’s foreign ministry says the US operation to rescue a downed airman may have been a cover to “steal enriched uranium” from the country.
.
Iran’s foreign ministry spokesman Esmaeil Baqaei said there were “many questions and uncertainties” about the operation.
Donald Trump kwa sasa naweza kusema anaweza kuwa ndio Rais muongo kuwahi kutokea duniani na marekani. Huyu jamaa anadanganya mpaka anapitiliza.
Ni mengi sana ya uongo na nadhani amefundishwa na Serikali ya Netanyahu.
Alianza na masuala ya strait of Hormuz, kushindwa kwa majeshi ya Iran na...
Ripoti: Marekani Yazindua Misheni ya Uokoaji Yenye Hatari Kubwa nchini Iran Kufuatia Ndege ya Kivita Iliyoangushwa
Katika saa za hivi karibuni, Marekani imeanzisha operesheni ya uokoaji ili kurejesha mabaki ya ndege ya kivita ya F-15E iliyoangushwa nchini Iran siku moja mapema ili kuzuia...
Marekani imetoa masaa 48 ya kwa Iran kukubali kufanya makubaliano. Iran imesema HAPANA!!
Tatizo marekani inapenda ikupige na usiweze kurudishia! Ikikutana na mbabe mwenye ubavu wa kurudishia huwa ni wepesi wa kutaka kuweka mpira kwapani!
===
United States President Donald Trump has issued...
US naona kazidiwa ameomba Ceasefire ya masaa 48 Iran amekataa
Sasa ndo naelewa kwanini Iran tangu mwanzo walisema kwamba ikitokea vita kati yao na Marekani yeye Iran ndo ataamua hatma ya vita
⚡️BREAKING
The U.S. has asked Iran for a 48-hour ceasefire, but Tehran has refused
United States is...
One of two US pilots in the F-15 fighter jet which went down in Iran has been rescued by American forces, NBC News reports.
The two-seater plane went down over Iran earlier today, our US partner network reported earlier, citing two American officials.
A US official now tells NBC one of the...
Biden alianza kwa kuizua Russia kutumia Swift payment system ilikua ni sawa na Marekani kuikalia kisu Sasa iv Iran kaikataa Dola kwenye biashara yake ya mafuta anataka Yuan hapo Marekani imekalia
Mtarimbo anatapatapa
BREAKING: 🇮🇷 🇨🇳 IRAN HAS OFFICIALLY STARTED TO DEMAND YUAN PAYMENTS—Bloomberg...
Muungano wa majeshi ya Iran na walinzi wa mapinduzi ya kiislamu wa IRGC,umesema Iran haipigani na nchi yoyote ya kiarabu ambao ni ndugu na majirani zao,bali wanachofanya ni kupiga maslahi ya Marekani pamoja na kupiga kambi zao za kijeshi ambapo hakuna nchi ya kiarabu ambayo haina kambi kama...
Rais wa Marekani Donald Trump amesema kuwa anafikiria kwa kina kuiondoa Marekani kutoka kwa Muungano wa NATO baada ya washirika wa muungano huo kushindwa kuunga mkono hatua ya kijeshi za Marekani dhidi ya Iran, kulingana na mahojiano na gazeti la Uingereza, Daily Telegraph.
Soma pia Marekani...
Mzuka wana jamvi ?
Rais wa Marekani kasema Leo hasubiri kuona kwenye Tv Ofisini anataka kwenda live mahakamani kuangalia shauri la kufuta uraia wa kuzaliwa' nchini Marekani.
Trump anadai hiyo ilikuwa Maalumu kwa ajili ya watoto wa watumwa enzi hizo Marekani na haipaswi kuwepo sasa , ameenda...
Baada ya Uhispania kuwakimbiza Wanamgambo wa Marekani kutumia anga yake Sasa ni zamu ya Italia nayo imepiga marufuku ndege za Wanamgambo wa Marekani kutumia Sigonella Air base iliyo Nchini humo. Hii vita Trump anakimavi kila akiinua kichwa anarudishwa na konzi
=============
Waziri wa Ulinzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.