Marekani ni silaha na walioshika silaha ni Israel na Wayahudi, bunge la ulaya wacharukiana

Marekani ni silaha na walioshika silaha ni Israel na Wayahudi, bunge la ulaya wacharukiana

Mi mi

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2024
Posts
6,236
Reaction score
12,212
Mbunge katika bunge la ulaya kaibua hoja kuwa taifa la Marekani ni silaha na walioshika silaha hiyo ni Israel na Wayahudi kauli hiyo imezua mtafaruko katika bunge la ulaya.

“Marekani ni bunduki, Wayahudi wanaishika”: Machafuko katika Umoja wa Ulaya huku Mbunge wa Ulaya akituhumiwa kwa chuki dhidi ya Wayahudi
 
Wapuuzi hao kwa hiyo wanaunga mkono ugaidi.
 
Watulie wapate dawa saivi wameingia Cha kike
 
supa pawa ametekwa na wanamtandao
 
Back
Top Bottom