marekani

  1. B

    JamiiForums Tanzania Yaandaliwe Mapokezi makubwa kwa Rais Samia tokea Marekani

    Haipo siri kuwa safari ya mama Samia Marekani imekuwa ya mafanikio makubwa. Hakuna shaka kuwa mazungumzo ya ana kwa ana (one to one) ya awaye yote (mwenye nia njema) na mama Samia huwa ni ya mafanikio makubwa. Kwa hakika mama Samia si wale wengine. Huyu ni msikivu na mwenye mawazo huru (open...
  2. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu akizungumza na Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala D. Harris

    Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza na Kamala D. Harris, Makamu wa Rais wa Marekani, leo Aprili 15, 2022 katika Ikulu ya Washington DC Nchini Marekani. "Utawala wetu umedhamiria kwa dhati kuimarisha ushirkiano na Tanzania na nchi za Kiafrika kwa ujumla" - Kamala Harris “Nashukuru sana...
  3. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Je, Uzinduzi Royal Tour ungekuwa na maana kama Rais Samia angetua kwa Dreamliner & ATC kuzindua Direct Flights from DAR-JFK-DAR/JRO-JFK-JRO?

    Wanabodi, Naendelea na zile makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa, makala ya Leo ikiwa ni makala ya swali la hypothetical question (swali la kufikirika), Kwa njia ya "thinking aloud", yaani unawaza kwa sauti. Hii ni makala mwendelezo wa makala hii Hongera Rais Samia, Kwenda US, Kuhutubia UN...
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mwakinyo Asaini Mkataba wa Tsh. 232m Marekani, mwenyewe afungua

    Taarifa ni kuwa bondia namba moja Tanzania, Hassan Mwakinyo amefanikiwa kusaini mkataba wa kucheza ngumi nchini Marekani wenye thamani ya Sh milioni 232 chini ya bondia wa zamani na promota Dmitriy Salita wa Kampuni ya Salita Promotion. Mtanzania huyo ambaye kwa sasa anaishi na kufanya mazoezi...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Vipi aendelee Kuupiga Mwingi au asubirie Kwanza mpaka Filamu izunduliwe kwa Biden Marekani.

    CAG: Mashine 89 za trafiki hazikuwahi kurekodi muamala wowote mwaka mzima. Taarifa: swahilitimes.
  6. B

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano mkubwa Rais Samia kuonana na wakuu wa Serikali ya Marekani akiwamo Rais Joe Biden

    Kuna uwezekano mkubwa wa Rais Samia kuonana ana kwa ana na wakuu wa Serikali ya Marekani akiwamo Rais Joe Biden kwenye ziara yake hii. Ifahamike mambo ya ugaidi wa kubambikiziana tumeshaachana nayo na tumeonyesha nia njema ya kuzungumza na wapinzani katika hatua mbalimbali. Ikumbukwe pia kuna...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Watanzania hatujaambiwa Ziara ya Rais Samia huko Marekani itakuwa ni ya Siku ngapi?

    Tumeishia kuambiwa tu anasafiri Kikazi nchini Marekani ila walipa Kodi ( Watanzania ) hatujaambiwa Rais wetu atakuwa huko kwa Siku ngapi. Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu hapa mmeteleza kidogo kwani Watanzania wana Haki ya kujua Rais wao atakuwa huko nchini Marekani kwa Siku ngapi hasa...
  8. Stroke

    JamiiForums Tanzania Filamu ya Royal Tour Ingezinduliwa Tanzania Badala ya Marekani kuepuka gharama

    Tunaambiwa kwamba filamu ya Royal Tour yenye kupromote Utalii imegharimu Shilingi za Kitanzania Bilioni tisa. (9). Leo tunaambiwa Rais ana safari ya kikazi yeye na delegation yake marekani na moja wapo ya mambo atayoyafanya ni kuzindua filamu ya Roya Tour. Kwakua hizo kazi nyingine atazofanya...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Ni vigumu sana kwa Marekani kuifikia China kwenye mahusiano na nchi za Afrika

    Fadhili Mpunji Ni zaidi ya miezi sita sasa tangu Marekani itangaze pendekezo lake la ujenzi wa miundo mbinu wa Build Back Better World ( B3W), ambao ilisema lengo lake ni kukabiliana na vitendo visivyofaa vya kugharamia miradi ya miundo mbinu vya China, vinavyoziingiza kwenye changamoto kubwa...
  10. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Bila Marekani

  11. L

    JamiiForums Tanzania Marekani yatuhumiwa kutekeleza ubaguzi wa rangi katika suala la wakimbizi

    Dhahiro Ali mwenye umri wa miaka 25, ni mama wa watoto watatu. Alikimbilia Marekani akitokea Somalia, nchi ambayo imekumbwa na vita kwa miaka mingi. Hadi sasa ameishi nchini Marekani kwa miaka mitano, amejifunza Kiingereza na ustadi wauuguzi, na hatimaye akapata kazi katika hospitali. Lakini...
  12. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Balozi wa Marekani akutana na Mbowe, asema upinzani imara ni afya ya demokrasia

    Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Donald J. Wright, leo Aprili 11, 2022 amepost picha akiwa na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Freeman Mbowe kisha akaandika: “Ni jambo zuri kukutana na Freeman Mbowe asubuhi ya leo. Upinzani mahiri wa kisiasa ni jambo jema kwa afya ya...
  13. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Marekani yamshikilia kiongozi wa Yakuza kwa tuhuma za kusafirisha dawa za kulevya

    Marekani imemkamata kiongozi wa kundi la yakuza la Japan na wanaume watatu wa Thailand, wakiwatuhumu kwa kusafirisha dawa za kulevya aina ya heroini na methamphetamine na kujaribu kupata makombora ya kutoka ardhini hadi angani yaliyotengenezwa na Marekani kwa ajili ya makundi yenye silaha huko...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Uingereza, Marekani na Australia zatangaza kuanza kushirikiana katika utafiti wa silaha za hypersonic na namna ya kujilinda dhidi ya silaha hizo

    Mpango huo utakuwa sehemu ya ushirikiano wa AUKUS, mkataba wa usalama uliotangazwa na nchi hizo tatu mwaka jana. Nchi hizo tatu (Uingereza, Marekani na Australia) zimelalamika kuwa mataifa pinzani yakiwemo Russia, China na North Korea yameshawaacha mbali ktk teknolojia ya makombora ya...
  15. beth

    JamiiForums Tanzania Vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya Urusi vyawalenga watoto wa Rais Putin

    Marekani imesema inaamini Mali nyingi za Rais wa Urusi, Vladimir Putin zimefichwa na Wanafamilia. Kauli hiyo inakuja kufuatia vikwazo vipya vilivyotangazwa dhidi ya Watu wa karibu wa Putin wakiwemo Mabinti zake wawili Taarifa ya Marekani imemtaja Katerina Vladimirovna Tikhonova kama Mkurugenzi...
  16. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Ramadhani Marekani: Tarweh Times Square New York

    RAMADHANI MAREKANI: TARWEH TIMES SQUARE NEW YORK Allah Muweza. Nani angewaza hata katika ndoto zake za wazimu kuwa ipo siku pataadhiniwa Times Square usiku wa Ramadhani na patasaliwa sala ya Tarweh barabarani huku ''neon lights'' za New York zikiwaangazia Waislam? Times Square ni sehemu...
  17. BigTall

    JamiiForums Tanzania Ukraine yajiandaa kwa vita vya kemikali, Marekani yatoa usaidizi

    Imeripotiwa kuwa Marekani imekuwa ikituma vifaa vya kinga (PPE) kwa Ukraine kwa ombi la nchi hiyo ili kujiandaa kwa shambulio lolote la silaha za kemikali wakati wa vita dhidi ya Urusi inayoendelea. Msemaji wa Baraza la Usalama la Kitaifa la Rais Joe Biden alithibitisha kwamba "vifaa vya kuokoa...
  18. Linguistic

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa Afande Sele unaoitwa Marekani wafungiwa na Serikali

    Anaandika Afande Sele Nimeongea tena na Tcra muda huu wanadai kabla ya kuendelea na chochote kwanza nifute huo wimbo popote ulipo. Ingawa sijajua kosa langu na sijaridhika na makatazo yao. Wanadai wamepigiwa simu kutoka juu kwamba wimbo haufai kwa maslahi ya nchi. Kuna Wakati Chief Hangaya...
  19. BigTall

    JamiiForums Tanzania Marekani kutoa pipa milioni 1 za mafuta kwa siku

    Rais wa Marekani, Joe Biden ametangaza kuwa pipa milioni 1 za mafuta zitatolewa kutoka kwa hifadhi ya mafuta ya taifa hilo kila siku kwa kipindi cha miezi sita ili kusaidia kupunguza bei ya mafuta ambayo imekuwa ghali kwa waendesha magari wa nchi hiyo. Biden amesema mapipa milioni 180 kutoka...
  20. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Marekani: Washauri waoga wanampotosha Rais Putin

    Marekani na Uingereza zimesema kuwa Rais wa Urusi, Vladimir Putin anapotoshwa na washauri wake ambao wanahofu ya kumwambia ukweli jinsi ambavyo uvamizi wake kwa Ukraine ulivyo na madhara makubwa. Uingereza imesema kuwa vikosi vya Urusi vilivyopo Ukraine vinazidi kupata tabu, na wanaamini Rais...
Back
Top Bottom