marekani

  1. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Marekani yatoa onyo jipya la usafiri wa Urusi

    Marekani imetoa onyo jipya la usafiri kwa Urusi ambayo inasema mamlaka "inaweza kuwatenga na kuwaweka kizuizini" Wamarekani nchini humo. Ikitaja uwezekano wa kuwanyanyasa raia wa Marekani, onyo hilo linarudia wito kwa Wamarekani kutosafiri kwenda Urusi au kuondoka "mara moja". Pia ilionya...
  2. S

    JamiiForums Tanzania US: Marekani haiwezi kuziba mahitaji ya gesi ya Russia (mita za ujazo bilioni 150) ipelekwayo Ulaya kwa mabomba

    Ijumaa iliyopita Biden alitangaza kuziuzia nchi za Ulaya (EU) gesi iliyo katika hali ya kimiminika (Liquefied natural gas, LNG) kiasi cha mita za ujazo bilioni 15 ili kupunguza utegemezi wa nchi za Ulaya kwa gesi ya Russia. Tangazo hilo limekuja ktk kipindi ambacho Putin amewaambia nchi za...
  3. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Vikwazo kwa Urusi; Sarafu ya ruble ya Urusi yapanda thamani dhidi ya dola ya Marekani

    VIKWAZO KWA URUSI;SARAFU YA RUBLE YA URUSI YAPANDA THAMANI DHIDI YA DOLA YA MAREKANI. Leo 15:30pm 27/03/2022 Respect for Russia,who dare to stand up against the West,Baada ya vikwazo vingi vya Ulaya na Marekani kwa Urusi,Urusi imetangaza kuuza mafuta na Gesi kwa sarafu yake ya ruble,Masaa 24...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Putin sio tu ni tishio kwa usalama wa nchi za Ulaya na Marekani, bail sasa ni tishio kwa uchumi wa hizi nchi, hivyo ikibidi wataungana kumuondoa

    Mwanzoni Putin alionekana ni tishio zaidi kwa usalama wa nchi za Magharibi na Marekani, ila sasa anaonekana ni tishio pia kwa ustawi wa maisha ya watu katika mataifa haya(kiuchumi na kijamii) kupitia swala la gesi na hili halitomuacha salama. Hili swala la gesi linaongeza sababu za mataifa...
  5. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Ghana: Mishahara ya Mawaziri na Rais yapunguzwa kwa 30%

    Rais wa Ghana Nana-Akufo Addo na mawaziri wake wamepunguza mishahara yao kwa kiwango cha asilimia 30 kama hatua za kupunguza matumizi ya serikali, wakati nchi inakabiliwa na gharama kubwa za mafuta kutokana na mzozo wa Ukraine na kukwama kwa mswada wa sheria kuhusu kodi mpya. Waziri wa fedha...
  6. bernard10

    JamiiForums Tanzania Korea Kaskazini yafanya majaribio makubwa tangu 2017

    Korea kaskazini imeripotiwa kufanya majaribio yake makubwa zaidi ya makombora yake ya (Intercontinental ballistic missiles) makombora yenye uwezo wa kuvuka bara moja hadi jingine Majaribio haya nimakubwa zaidi tangu Mara yamwisho kufanya hivyo mwaka 2017, huku makombora hayo yakiwa na uwezo...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Marekani yapaswa kukabiliana kihalisi na changamoto ya ubaguzi wa rangi

    Tarehe 21 Machi ni Siku ya Kimataifa ya Kutokomeza Ubaguzi wa Rangi. Katika miaka ya hivi karibuni, nchi za magharibi haswa Marekani, zimepuuza suala la ubaguzi wa rangi katika nchi zao, na kuchukulia suala hilo kama njia ya kisiasa ya kuingilia mambo ya ndani ya nchi nyingine, kitendo ambacho...
  8. Hero

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mzozo wa Ukraine: Julius Malema ataka Waafrika kuungana na Urusi

    Huyu malema sasa amekiwasha kweli kweli na sijui itakuwaje, ila ki msingi ameyasema yaliyomo moyoni mwangu japo kuwa sifurahii kabisa masahibu wanayoyapata wa 'Ukraine' kwa ujuha wa rais wao!
  9. bernard10

    JamiiForums Tanzania China yaita kitendo cha Meli ya Kivita ya Marekani kupita katika lango la bahari linalotenganisha China na Taiwan kuwa cha kichokozi

    Jeshi la China limeripoti kama kitendo Cha uchokozi dhidi ya China, baada ya destroyer Raph Johnson (meli ya kivita) ya Marekani kupita katika lango la bahari linalotenganisha China na Taiwan (Taiwan strait). Jeshi la China limelaani/kulaumu KITENDO hicho Cha Marekani Huku likiongeza kuwa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Marekani imetwanga maji kwenye kinu: Silaha walizopenyeza Ukraine hivi karibuni zimeteketezwa

    Marekani hoi! Silaha walizojinadi kupeleka Ukraine hivi karibuni na kuzificha kwenye ghala LA silaha lililojengwa kwenye kambi ya jeshi, ghala lililochimbiwa chini (underground), zimeteketezwa zote hata kabla hazijaanza kusambazwa kwa walengwa!! Iko hivi: Urusi kwa kutumia silaha Kali iitwayo...
  11. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Marekani yaitaka Afrika kuonesha upande wanaosimama katika vita ya Urusi na Ukriane

    Takriban watu milioni tatu wamekimbia makazi yao kutokana na vita hivyo, kulingana na Umoja wa Mataifa Takriban watu milioni tatu wamekimbia makazi yao kutokana na vita hivyo, kulingana na Umoja wa Mataifa. Takriban watu milioni tatu wamekimbia makazi yao kutokana na vita hivyo, kulingana na...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Duterte: Sitotuma wanajeshi wangu kuisaidia Marekani kama Marekani ikijiingiza vitani Ukraine

    Rais mtata wa Ufilipino (The Philippines), Rodrigo Duterte, jana amesisitiza kuwa nchi yake itaendelea kuwa nyutro (haitochukua upande wowote) ktk vita vya Russia nchini Ukraine. "Nchi nyinginezo pamoja na Ulaya zitaangamia kama Russia ikiamua kufanya mashambulizi ya maangamizi. Hivyo, ni bora...
  13. Artifact Collector

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kwenda kuishi Marekani inabidi ujipange

    Miaka flani niko Bongo sielewi mambo hayaeleweki, nina sista angu yuko U.S nikaongea nae kuhusu kwenda Marekani kujaribu maisha anakubali, mipango inakamilika kijana nikatua Jackson Heartsfield Atlanta lengo kubwa la kwenda Marekani ni kupata exposure na kutafuta maisha. Harakati zinazofuata ni...
  14. flamini

    JamiiForums Tanzania Njia rahisi ya kupokea malipo kutoka Marekani

    Habari, Wanajamii naomba msaada wenu wa njia nzuri ya uhakika ya kupokea pesa kutoka Marekani ukiachana na PayPal, Western Union au World Remit. Msaada wakuu
  15. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania Hatimae Marekani itapeleka mtambo wa kuangusha ndege na helkopta Ukraine

    Serikali ya Marekani imepewa ruhusa na Baraza la Congress kupeleka mtambo wa kupiga ndege na helkopta nchi Ukraine. Ili kuisaidia majeshi ya Ukraine kuangusha ndege za Urusi zinazosumbua sana anga la Ukraine. Tv ya India yaripoti. ===== Biden says U.S. to give Ukraine drones, anti-aircraft...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Safi Sana: Marekani na ujanja wake kaingizwa mkenge na Venezuela kuhusu kuuziwa mafuta

    Iko hivi, Marekani kwa kutaka kuikomoa Urusi wakapata mawazo ya kugomea kununua mafuta Yao. Lakini kabla hawajafikia muafaka wa kugomea mafuta ya Urusi wakaona watafuta chanzo mbadala Cha mafuta. Hapo ndio wakapata wazo la kuiomba Venezuela kwa Raid Maduro waweze kuànza téna kuchukia mafuta huko...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Maafisa wa Marekani waduwazwa na silaha 'ngeni' za Urusi

    Wanaintelijensia wa Marekani wamesema kuwa Russia inatumia silaha za ajabu nchini Ukraine. Wanainteligensia hao wamebaini kuwa makombora ya balistiki (Iskandar-M short range ballistic missiles) yanayovurumishwa na majeshi ya Russia nchini Ukraine yameongezewa vionjo au vikorombwezo fulani...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Marekani haamini macho yake: Mrusi anatumia missiles ambazo hazijulikani, zina uwezo wa ku-jam rada hivyo haziwezi kudunguliwa

    Kilichowashtua sana Marekani na NATO kwa ujumla ni kushambuliwa kwa mafanikio makubwa kambi ya kijeshi ya Ukraine iliyopo karibu kabisa na mpaka wa Poland. Hii kambi ilikuwa imewekewa ulinzi wote wa anga maana ilikuwa inatumika kupokelea silaha zinazoingizwa Ukraine toka nchi za magharibi. Na...
  19. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Brent Renaud: Mwandishi wa Marekani auawa kwa kushambuliwa Ukraine

    Mwandishi wa Habari wa Marekani anayefanya kazi nchini Ukraine ameuawa kwa kupigwa risasi katika mji wa Irpin, nje ya Kyiv, polisi wamesema. Brent Renaud, mwenye umri wa miaka 50, alikuwa mwandishi wa habari na mtengenezaji wa filamu ambaye alikuwa akifanya kazi katika eneo hilo kwa muda sasa...
  20. kimsboy

    JamiiForums Tanzania Urusi: Marekani inashirikiana na Ukraine katika kutengeneza silaha za kibiolojia

    Urusi: Marekani inashrikiana na Ukraine katika kutengeneza silaha za kibiolojia Wizara ya Ulinzi ya Russia imetangaza kuwa Marekani imekuwa ikidhamini fedha kwa ajili ya mradi wa kuzalisha silaha za kibiolojia nchini Ukraine, na kwamba Moscow ina ushahidi unaothibitisha suala hilo kutoka kwenye...
Back
Top Bottom