Ramadhani Marekani: Tarweh Times Square New York

Mohamed Said

JF-Expert Member
Nov 2, 2008
20,915
30,259
RAMADHANI MAREKANI: TARWEH TIMES SQUARE NEW YORK

Allah Muweza.

Nani angewaza hata katika ndoto zake za wazimu kuwa ipo siku pataadhiniwa Times Square usiku wa Ramadhani na patasaliwa sala ya Tarweh barabarani huku ''neon lights'' za New York zikiwaangazia Waislam?

Times Square ni sehemu maarufu kwa watalii mfano wa Picadilly Circus, London au Tahrir Square, Cairo, au Champs Elysees, Paris.

Najiuliza kwa nini hawakusali Central Park ambayo imepakana na Times Square na ni sehemu kubwa yenye faragha kuliko Times Square au Madison Avenue ambayo ni nyuma ya Central Park.

Kwa nini wafunge barabara wasali Times Square?

Namsikiliza Imam katika hii clip.

Anasoma Ayatul Kursi.
Imam anatoa bishara gani?

Tusubiri.
 
MAASHA ALLAH......PINDI ITAKAPO KUJA NUSRA YA MWENYEZIMUNGU NA USHINDI UTAONA WATU WANAINGIA KATIKA DINI YA MWENYEZIMUNGU MAKUNDI KWA MAKUNDI,HII INA MAANA UISLAMU UTAFIKA MPAKA SEHEMU WATU WASIPOTARAJIA KAMA UTAENEA.
 
RAMADHANI MAREKANI: TARWEH TIMES SQUARE NEW YORK

Allah Muweza.

Nani angewaza hata katika ndoto zake za wazimu kuwa ipo siku pataadhiniwa Times Square usiku wa Ramadhani na patasaliwa sala ya Tarweh barabarani huku ''neon lights'' za New York zikiwaangazia Waislam?

Times Square ni sehemu maarufu kwa watalii mfano wa Picadilly Circus, London au Tahrir Square, Cairo, au Champs Elysees, Paris.

Najiuliza kwa nini hawakusali Central Park ambayo imepakana na Times Square na ni sehemu kubwa yenye faragha kuliko Times Square au Madison Avenue ambayo ni nyuma ya Central Park.

Kwa nini wafunge barabara wasali Times Square?

Namsikiliza Imam katika hii clip.

Anasoma Ayatul Kursi.
Imam anatoa bishara gani?

Tusubiri.
Yaani hata mkongwe kama wewe humu JF ndugu Mohamed Said unaleta habari inayohusisha ushahidi wa video au picha halafu huweki ndugu!!!!????
 
Shida sana kila mtu mtumishi, kila mtu anaijua dini, sema sikuwahi kujua kuna binadamu ana thamani kuliko mwengine chini ya jua.
 
Back
Top Bottom