marekani

  1. S

    JamiiForums Tanzania Urusi yasema haitokubali kuadhibiwa kwa jinai za vitani wakati US anazo kibao, yaahidi vita ya nyuklia kwa nchi zitazojaribu kuiadhibu Urusi

    Urusi imeonya kuwa jaribio lolote la kutaka kuitumia mahakama ya ICC kuiadhibu Urusi dhidi ya jinai za vitani litakuwa ndio kufutwa kwenye uso wa dunia kwa hizo nchi zitazohusika. Imesema Marekani imeua mamilioni ya watu kibao kwenye nchi nyingi na haijawajibishwa kwa lolote, hivyo Marekani...
  2. JamiiForums Tanzania Urusi yatangaza kuharibiwa kwa makombora ya Marekani nchini Ukraine

    Wizara ya Ulinzi ya Urusi siku ya Jumatano imetangaza uharibifu uliofanywa na wanajeshi wa Urusi wa makombora mawili ya HIMARS MLRS ya Marekani huko Donbass. Msemaji wa Wizara ya Ulinzi ya Urusi Luteni-Jenerali Igor Konashenkov alisema makombora hayo yaliyotengenezwa na Marekani ya HIMARS na...
  3. JamiiForums Tanzania Mo Dewji usidhani tumesahau na usijisahaulishe uliahidi kuwa Pre Season ya Simba SC ni Marekani

    Ukilifanikisha hili ( likiwa kweli ) naenda Kukusaidia Haja Kubwa Getini Lugalo Barracks Mchana Kweupe mbele ya MP's akina Lydia, Mwita na Clement.
  4. JamiiForums Tanzania Urusi ingejifunza yaliyomkuta Marekani, yote haya yasingetokea

    Marekani ikiwa chini ya utawala wa bushi ilipanga kuzipindua serikali 3 kwa wakati mfupi ,huku ikijiamini na silaha nyingi , washirika wengi, akajua kabisa angeipiga Iran, Iraq, na North Korea kwa wakati mmoja, kilichomkuta aliishia kumpiga Iraq tena kwa tabu sana akiwa na washirika wake wengi...
  5. JamiiForums Tanzania Korea Kaskazini yakosoa mkataba wa kijeshi wa Marekani na washirika wake, wadai wanatengeneza NATO ya Asia

    Korea Kaskazini imeukosoa mkataba wa ushirikiano wa kijeshi uliosainiwa kati ya Marekani, Japan na Korea ya Kusini ikidai una lengo la kuiongezea nguvu Marekani hasa dhidi ya wapinzani wake. Korea Kaskazini wanaamini umoja huo ni sehemu ya kujiimarisha kwa Marekani na kutengeneza ngome yake...
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Uhuru na rais wa Marekani wajadili suluhu la ugomvi DRC

    Hatimaye DRC inakwenda kupata amani ya kudumu, rais Uhuru ameshikilia hili bango kwa kutumia nguvu nyingi sana... The US government has hailed Kenya’s President Uhuru Kenyatta for getting DR Congo and Rwanda to a meeting last week, saying it could ease tensions between the two neighbours. US...
  7. JamiiForums Tanzania Aliens inasemekana kuwasaidia sana jeshi la Marekani katika teknolojia ya silaha

    wanaoaminika kuwazidi binadamu akili ,marekani baada ya kushindwa kuunda kombola la hypasonic wanahaha kuwapata Hawa viumbe VITABU vitakatifu vimeandika kuwa Mwenyezi Mungu aliumba vitu vinavyoonekana na visivyoonekana,inaaminika kuwa vitu visivyoonekana ni vingi kuliko vinavyoonekana...
  8. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda yagundua tani milioni 30 za dhahabu zenye thamani ya Dola za Marekani Trilioni 12

    Uganda imegundua amana za dhahabu katika Wilaya ya Busia na Katika jitihada za kukuza uchumi wa nchi hiyo, serikali imeipa leseni kampuni ya uchimbaji dhahabu ya Kichina, Wagagai, ya kuanza kuzalisha bidhaa za dhahabu Msemaji wa Wizara ya Nishati na Maendeleo ya Madini nchini humo, Solomon...
  9. JamiiForums Tanzania Kwa mara ya nne(4) mfululizo Marekani Imeshindwa kutest kombora la Hypersonic/US hypersonic missile test fails

    Tukisema Russia amemwacha US miaka kumi (10) kwenye tech mnabisha haya sasa ndugu yenu anazidi kutia aibu dunia. Kama mnakumbuka kuna taarifa zilizagaa kuwa US amefanikiwa kutest kombora la hypersonic lenye spidi ya 5x ya sauti. Zile taarifa tulipewa matangopori zilikua ni za uongo walikua...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Bora Tanzania kuliko Marekani - Wacheni kushobokea majuu

    Inakuwaje linchi likubwa linasifika linajisifia ulimwengu mzima, leo maziwa ya unga ya kopo kwa ajili ya watoto wachanga imekuwa shida ya kufa mtu? Tuagizeni mafuta Urusi yanapatikana kwa bei ya kutupa kabisa.
  11. L

    JamiiForums Tanzania Marekani yaendelea kupiga hatua kwenye teknolojia ya 5G, huku ikizitaka nchi nyingine kuacha teknolojia hiyo

    Fadhili Mpunji Moja kati ya sekta zenye maendeleo ya kasi duniani katika muongo huu, ni teknolojia ya habari na mawasiliano. Maendeleo ya sekta hiyo yanayotajwa kuwa mapinduzi ya tatu ya viwanda, kimsingi ni mapinduzi ya kidigitali, yanayohamisha teknolojia ya habari na mawasiliano (TEHAMA)...
  12. JamiiForums Tanzania Dola ya Marekani kutumika rasmi nchini Zimbabwe baada ya mfumuko wa bei kuwa mkubwa

    Serikali ya Zimbabwe imetangaza mipango wa kutumia Dola ya Marekani kuwa fedha rasmi itakayotumika nchini humo kwa kipindi cha takriban miaka mitano ijayo, kutokana na mfumuko wa bei kupanda kwa kasi. Waziri wa Fedha wa Zimbabwe, Nthuli Ncube ametoa tangazo hilo baada ya mfumuko wa bei kufikia...
  13. JamiiForums Tanzania Uchapishaji na uuzaji wa magazeti Marekani washuka kwa 12% ndani ya mwaka mmoja

    Mzunguko wa usambazaji wa magazeti Nchini Marekani umeshuka kwa 12% ndani ya mwaka mmoja uliopita katika takwimu zilizoishia Machi 2022. Magazeti ya The Wall Street Journal na New York Times yameendelea kuongoza katika nafasi ya kwanza na ya pili kwa kuuza nakala nyingi lakini bado takwimu...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Afrika waipa somo Marekani

    Inawezekana kuwa wengi wanakumbuka kuwa Oktoba mwaka jana, vyombo vya habari vya Zimbabwe vilifichua kwamba ubalozi wa Marekani nchini humo uliwalipa waandishi wa habari wa nchi hiyo kuchapisha ripoti za kuchafua sura ya China kwa bei ya dola za Marekani 1,000 kwa kila makala, jambo ambalo...
  15. JamiiForums Tanzania Bunge la Seneti la Marekani lapitisha Muswada wa Udhibiti wa Bunduki

    Bunge la Seneti limepitisha mswada wa udhibiti wa bunduki nchini humo, kwa kura 65 dhidi ya 33, kufuatia mfululizo wa matukio ya mauaji katika maeneo mbalimbali nchini humo kuhusishwa ununuzi na umiliki holela wa silaha Mswada huo utalazimika kupitishwa katika Baraza la Wawakilishi kabla ya...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Kijana wa Marekani atafuta ndoto ya Kung Fu katika Mlima Wudang

    Juni 22, katika Mlima wa Wudang, mjini Shiyan, China, "kocha wa kigeni" Jack alichukua wanafunzi wake kufanya mazoezi ya Tai Chi. Jack anatoka Marekani na amejifunza Kung Fu katika Mlima Wudang kwa miaka 12. Hivi sasa, anawajibika kufundisha Kung Fu kwa wanafunzi wa kigeni.
  17. JamiiForums Tanzania Rais Biden wa Marekani adondoka akiendesha baiskeli, anamuiga Rais Putin

    Huyu ni Biden alidondoka akiwa anaendesha baiskeli Huyu ni jemedari Putin akiendesha farasi
  18. JamiiForums Tanzania Ligi Kuu ya Hispania “La Liga’ yaipongeza Yanga kwa Ubingwa

    Kupitia kurasa zao za Instagram na Fcebook, Shirikisho la Ligi Kuu ya Uhispania "La Liga" limeipongeza Yanga kwa ubingwa. Ikumbuukwe mwaka 2020 Yanga ilisaini mkataba wa ushirikiano na La Liga hoteli ya Serena Jijini Dares Salaam. Ni furaha sana pale mshirika wako anaposhinda kwa hio washirika...
  19. JamiiForums Tanzania Hii Vita ni Marekani vs Urusi katika uwanja vita wa Ukraine

    Hii iko wazi kwamba vita inayoendelea pale Ukraine ni kati ya Marekani na Urusi pale Ukraine ni uwanja wa vita tu. Na hadi sasa matokeo ya vita hiyo ni kama ifuatavyo, Marekani haijapoteza askari hata mmoja, meli vita, ndege vita wala kifaru chochote, wakati urusi kapoteza askari zaidi ya...
  20. JamiiForums Tanzania Mambo ya kuzingatia ukiwa katika nchi za bara la Asia, Ulaya na Marekani

    Ndugu Watanganyika Mungu ni Mwema, sifa kwake kwa kutujalia Uhai Ikiwa una Mpango wa kwenda nchi yeyote Ile Duniani hasa Nje ya bara la Afrika jitahidi kuijua nchi hiyo japo kwa machache mambo ya kuzingatia ukiwa huko pamoja na tamaduni zao, kufanya hivyo itakusaidia sana kuishi kwa amani na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…