Kwa mara ya nne(4) mfululizo Marekani Imeshindwa kutest kombora la Hypersonic/US hypersonic missile test fails

BROKE BOYS

JF-Expert Member
Jan 12, 2019
13,218
39,042
Tukisema Russia amemwacha US miaka kumi (10) kwenye tech mnabisha haya sasa ndugu yenu anazidi kutia
aibu dunia.

Kama mnakumbuka kuna taarifa zilizagaa kuwa US amefanikiwa kutest kombora la hypersonic lenye spidi ya 5x ya sauti. Zile taarifa tulipewa matangopori zilikua ni za uongo walikua wanaficha aibu ukweli walifeli kutest kombora hilo.

Tunaambiwa Marekani ni kinara wa tech duniani ila ajabu hypersonic inamgonga kichwa anashindwa kutengeneza ndugu zao china na Russia toka muda wame tengeneza na yapo store.
Marekani ikubali kuzidiwa technology na Russia na sio kutudanganya.

“An American hypersonic missile test flight ended in a failure in Hawaii on Wednesday, Bloomberg has reported citing the Pentagon, according to Russia Today. The US Department of Defense offered few details of what happened, stating only that “an anomaly occurred following ignition of the test asset.”

“While the Department was unable to collect data on the entirety of the planned flight profile, the information gathered from this event will provide vital insights,” Pentagon spokesman Navy Lieutenant Commander Tim Gorman was quoted as saying by the Bloomberg.

The botched test was part of the Conventional Prompt Strike (CPS) program, under which Lockheed Martin is trying to develop weapons capable of flying at speeds of Mach 5 and above, for the use of submarines and surface ships.

It suffered another setback in October 2021, when a booster rocket failed to deliver its hypersonic glide vehicle during a test at the Pacific Spaceport Complex in Kodiak, Alaska. The booster was not part of the weapon system, defense officials stressed at the time.

Despite the failure of both tests, the Pentagon said it remains confident that it is on track to field offensive hypersonic capabilities in the early 2020s.

The US has been struggling to keep up with China and Russia in the development of hypersonic weapons. There have been a number of successful tests under various American programs, but the country is yet to have a modern system in service.”

Ni aibu kwa taifa kubwa kama US kushindwa kutengeneza kombora hilo kwa mara nne mfululizo ni aibu sana. Mimi naishauri marekani aendelee na vita ya propaganda huku kwenye vita tushaona hawezi kwenda sawa na Russia ameachwa mbali sana.

IMG_4081.jpg







IMG_4083.jpg

IMG_4078.jpg
 

Attachments

  • IMG_4081.jpg
    IMG_4081.jpg
    68.4 KB · Views: 6
  • IMG_4083.jpg
    IMG_4083.jpg
    50.5 KB · Views: 5
  • IMG_4078.jpg
    IMG_4078.jpg
    48.1 KB · Views: 4
  • IMG_4081.jpg
    IMG_4081.jpg
    68.4 KB · Views: 4
  • IMG_4083.jpg
    IMG_4083.jpg
    50.5 KB · Views: 4
  • IMG_4078.jpg
    IMG_4078.jpg
    48.1 KB · Views: 5
RUSSIA NI DUDE LINALOTISHA SANA. Hilo mlikubali au mlikatae lakini huo ndio ukweli. NATO kkla wakikaa vikao ni kumjadili Russia tu yahani wanahaha pakubwa sana. Russia atawaumiza sana na mtabaki kubweka mpaka mkaukiwe na sauti hamtaweza kupambana na Russia
 
Super power ya mchongo

Kule iraq iran aliwafyeka wanajeshi 200 wakafa wote kwa makombora wakasema hawajafa halafu hawakujibu

Supapawa bhana
 
Daaa US kwa tech unamlinganisha na China au Russia, wakati kuandika huu upupu umetumia tech ya US

Tuambie teknologia ya US kuwazid Russia na China kwenye millitary tech, usije wewe ndo ukawa unaandika UPUPU
 
Back
Top Bottom