mara

Māra is the highest-ranking goddess in Latvian mythology, Mother Earth, a feminine counterpart to Dievs. She takes spirits after death. She may be thought as the alternate side of Dievs (like in Yin and Yang). Other Latvian goddesses, sometimes all of them, are considered her assistants, or alternate aspects. Māra may have been also the same goddess as Lopu māte, Piena Māte (Mother of the Milk), Veļu māte or Vélių motę (mother of the souls/spirits), Zemes māte (Mother of the Earth), and many other "mothers", like of Wood, Water, Sea, Wind.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Serengeti yashinda Tuzo Hifadhi Bora Afrika kwa mara ya tano mfululizo

    Hifadhi ya Taifa ya Serengeti, Hifadhi Bora ya Taifa Barani Afrika 2023, imeshinda tuzo hii kwa mara ya tano mfululizo, mwaka wa 2019, 2020, 2021, 2022, na sasa 2023. ================= Hifadhi ya Taifa Serengeti imeibuka kidedea kwa kuwa mshindi wa kinyang’anyiro cha Tuzo ya Hifadhi bora...
  2. JamiiForums Tanzania Matokeo ya mwisho ya Simba na Yanga walipokutana na timu walizopangwa sasa kwenye CAFCL

    Mara ya mwisho Simba kukutana na timu alizopangwa nazwo kwenye kundi lake; Asec 3 -0 Simba Waydad 1 - 0 Simba Simba 1 - 3 Galax Mara ya mwisho Yanga kukutana na timu alizopangwa nazo; Ahly 1 -0 Yanga Medeama 3 - 1 Yanga Belouizdad vs Yanga hawajawahi kukutana
  3. JamiiForums Tanzania Mwanamke anayeomba pesa kwa mmewe mara kwa mara ni tapeli

    Wanaume wengi wana date na matapeli wakidhani ni wake au wachumba aidha kwasababu ya uzuri wao ama lah Wanawake hao wanakuwa wakiendekeza pesa kila wakati ila wanaume hao wanakosa ufahamu wakidhani sifa ya mwanaume ni kugharamikia. Ukweli ni kuwa pamoja na wanawake hao kupata fedha huwa...
  4. JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya yafanya operesheni kanda maalum ya Tarime Rorya

    Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi, Jeshi la Kujenga Taifa, Askari mgambo pamoja na vyombo vingine vya dola, imefanya operesheni maalum mkoani Mara hususani katika kanda maalum ya Tarime Rorya kwenye bonde la mto Mara. Operesheni hii...
  5. JamiiForums Tanzania Chege Cup Kuanza Kutimua Vumbi Mkoa wa Mara Desemba 2023

    CHEGE CUP NGAZI YA MKOA KUANZIA KUTIMUA VUMBI DESEMBA 2023 NDANI YA WILAYA YA RORYA MKOA WA MARA "Nimeamini tunaweza kutengeneza timu nzuri sana ya Wilaya ya Rorya na tukashindana kokote. Michezo ya leo siyo mwisho, lengo ni kukimbizana na Michezo ya Fainali ambayo tunaenda kuandaa Chege Cup...
  6. JamiiForums Tanzania Nauonya Uongozi wa Simba SC na Wachezaji Waandamizi usirudie tena 'Kuiuza' Mechi kwa Jwaneng Galaxy FC kama walivyofanya mara ya mwisho

    Najua hamtapenda GENTAMYCINE kuja na hii Taarifa au mtashangaa nilijuaje ila nyie jueni tu kuwa The King of News / Info ninajua. Wachezaji wetu Waandamizi Saba ( 7 ) Wawili ni Wageni na Mmoja wapo aliachwa akahamia Matajiri wa Alizeti na Wazawa Watano Mmoja ndiyo kaanza rasmi Mazoezi na Wenzake...
  7. JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza nimefika Mwanza nimekutana na stand Mpya ya Nyegezi. Hayati Magufuli CCM ilipoteza Rais!

    Ninarudia kusema CCM kumpoteza Magufuli ili pata hasara ya Karne moja. Nyegezi kulikuwa Bondeni na eneo lisilofaa leo nimekuta kifaa kama airport. Magufuli Ulifanya kazi nzuri tutakukumbuka. Bado ninasikia kuna stand nyingine Huku Mwanza imejengwa na Magufuli Ndio ninaelekea huko kuangalia...
  8. JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa Ukraine wafaulu kwa mara nyingine kuingia Crimea na kushambulia

    Kama kawa.. vilianzia Crimea, vitaishia Crimea ======== Ukraine’s Defence Intelligence has stated that units of the Special Operations Forces landed on the territory of the occupied Crimean peninsula and attacked the Russians, and after completing the mission, they retreated. Ukraine’s...
  9. JamiiForums Tanzania Unadhani kama tokea 2021 hadi 2023 Tengua Teua yake imefikia mara 13, je, kwa 2025 hadi 2030 unadhani itafikia mara ngapi?

    Kuna Mtu ananisikitisha sana GENTAMYCINE kwani kila akiingizwa Mtegoni ili aharibu na kuonyesha kuwa hajui Kitu nae anaingia tu mazima mazima halafu Waliompo za ( Waliomchomesha ) wanamcheka tu Dar es Salaam, Zanzibar, Dodoma na Utemini Mwanza.
  10. JamiiForums Tanzania Yanga ilifungwa magoli 19 katika mechi 6 iliposhiriki makundi mara ya mwisho miaka 25 iliyopita

    Jedwali linajieleza, sihitaji kupotezea watu muda kwa maneno mengi:
  11. JamiiForums Tanzania Hesabu za group stage Simba Mara sita Yanga Mara Tano

    1998 Yanga group stage CafCl 2003 Simba group stage CafCl 2016 Yanga group stage CafCC 2018 Yanga group stage CafCC Misimu ya korona 2019 Simba group stage CafCl 2021 Simba group stage CafCl 2021/22 Simba group stage CafCC 2022/23 Yanga group stage CafCC 2022/23 Simba group stage CafCl...
  12. JamiiForums Tanzania 1998 Mara ya kwanza Kwa timu ya Tanzania kucheza group stage

    Wakati mnafurahia Tanzania kuingiza timu mbili group stage klabu bingwa Kwa mara ya kwanza mwaka huu basi msisahau Tanzania ilipoingiza timu Kwenye group stage ya klabu bingwa ilikuwa 1998 Young Africans ilipowatoa watanzania tongotongo Kwa kutinga group stage.
  13. JamiiForums Tanzania STORY FUPI: Ni mara ngapi tunakosa zawadi kwa sababu hazikufungwa vile tulivyotarajia?

    Lazima usome... mwanamke mmoja aliyeolewa alikuwa akitarajia zawadi ya siku ya kuzaliwa kutoka kwa mumewe. Kwa miezi mingi alikuwa amevutiwa na pete nzuri ya almasi kwenye chumba cha maonyesho, na akijua mume wake angeweza kumudu, alimwambia kwamba hiyo ndiyo tu alitaka. Siku yake ya kuzaliwa...
  14. JamiiForums Tanzania Mwanamke akikusaliti na mwanaume mwingine muache mara moja

    Hii hapa ni ngumu kumeza ni kwa ajili ya wanaume, for men saikoloji mwanamke akikusaliti au akikucheat achana nae mara moja , hata kama akikupa sababu yoyote ile. Mapenzi kwa mwanamke(achana na malaya) it involves not only a body, goes way deeper kuliko unavyofikiria. Kitendo cha mwanamke...
  15. JamiiForums Tanzania Kuvunja undugu na ndugu zako wa damu wanaokutakia mabaya ni kosa?

    Wasalam ndugu zangu wana JamiiForums, ni mara nyingine naleta kwenu mada nyingine. Vitabu vya dini vimekuwa vikituhusia sana tusivunje undugu kwa matatizo au changamoto za hapa na pale zinazotokea aidha kwenye jamii zetu au familia zetu, lakini kumekuwa na sababu nyingi zinazopelekea ndugu...
  16. JamiiForums Tanzania Hivi kuna ukomo wa mara ngapi mtu ana fall in love kwa mwaka

    How many times would a man fall in love in his life time?
  17. JamiiForums Tanzania Maharage Chande aondolewa TANESCO, apelekwa TTCL. Gerson Msigwa awa Katibu Mkuu Wizara ya Michezo

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi na utenguzi wa Viongozi mbalimbali kama ifuatavyo: Amemteua Ndugu Said Othman Yakubu kuwa Balozi. Kabla ya uteuzi huu, Ndugu Yakubu alikuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo. Amemteua...
  18. JamiiForums Tanzania Ifike mahala Zuchu aambiwe ukweli nyimbo zake za Utoto utoto aache. Kwa mwendo huu naamini Nandy ni bora mara elfu kuliko Zuchu

    Zuchu tumekuchoka mara sukari, mara honey, mara kwikwi sasa katuletea Chapati 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Kiukweli Zuchu anapuyanga na naanza kuamini Nandy ni bora mara elfu kuliko Zuchu. Kinachombeba Zuchu ni ile kuwa karibu na Simba la Masimba Dangote kwa hiyo inakuwa rahisi ngoma zake kupenya kirahisi. Kifupi...
  19. JamiiForums Tanzania Mara: Kijana aliyejeruhiwa kwa mishale katika mgogoro wa ardhi Bunda afariki Dunia

    UPDATE: Aliyefariki ni Isore Mtegetu Marwa (28) Mkazi wa Mekomariro Wilaya ya #Bunda alijeruhiwa wakati wa vurugu zilizohusisha baadhi ya Wakazi wa Mekomariro dhidi ya Wananchi wa Kijiji cha Ryaming’orori Wilayani Serengeti ambapo pia watu wengine kadhaa wakijeruhiwa. Kamanda wa Polisi Mkoa wa...
  20. JamiiForums Tanzania Serviceman at North Mara Gold Mine Limited September, 2023

    Position: Serviceman Job Category: Underground Mining Job Schedule: Full time Location: Tarime, Tarime, P.O. Box 422, TZ Join our exceptional team and embody Barrick's core values as you work with us. We are in search of individuals who can champion Barrick's DNA by: Communicating Honestly...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…