mara

Māra is the highest-ranking goddess in Latvian mythology, Mother Earth, a feminine counterpart to Dievs. She takes spirits after death. She may be thought as the alternate side of Dievs (like in Yin and Yang). Other Latvian goddesses, sometimes all of them, are considered her assistants, or alternate aspects. Māra may have been also the same goddess as Lopu māte, Piena Māte (Mother of the Milk), Veļu māte or Vélių motę (mother of the souls/spirits), Zemes māte (Mother of the Earth), and many other "mothers", like of Wood, Water, Sea, Wind.

View More On Wikipedia.org
  1. U

    JamiiForums Tanzania Kwa taarifa yako Israel limetajwa mara 2200 ndani ya Biblia wakati Palestina haijatajwa hata mara moja

    Wadau hamjamboni nyote Niende kwenye hoja moja Kwa moja Huu ndiyo ukweli wa Maandiko matakatifu Taifa la Israel limetajwa mara 2,200 kwenye Biblia wakati Palestina haijatajwa hata mara moja Je Taifa la Israel limetajwa mara ngapi ndani ya Quran tukufu? Je Palestine imetajwa mara ngapi ndani...
  2. JamiiForums Tanzania Hayawi hayawi sasa yamekuwa, hatimae Yanga SC yapata ushindi kwa mara ya kwanza baada ya miaka 80

    Ndugu zangu vifijo na nderemu vimetawala mitaa ya jangwani baada ya klabu ya yanga kujipatia ushindi kwa mara ya kwanza katika historia ya klabu hiyo. Ikumbukwe mapema leo klabu hiyo ilikuwa ikipepetana dhidi ya timu kibonde kutoka Ghana medeama fc kisha kuichabanga magoli matatu kwa mtungi...
  3. JamiiForums Tanzania Ushauri: Serikali imfukuze Balozi wa Palestina nchini

    Ukiangalia ile video ya mauaji ya kijana mdogo kabisa wa Kitanzania ambaye alikuwa anajitetea kwa kujieleza kuwa ni Mtanzania, lakini ukiacha utetezi wake, wauaji walijua fika kuwa yule siyo Muisrael kulingana na wajihi wake na rangi yake. Ukatili aliofanyiwa Joshua hauvumiliki.. Haiwezekani...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Misiba ya watu wa Kaskazini hugeuka kuwa bonge la party mara tu baada ya watu kuzika!

    Nimeshuhudia misiba mingi ya watu wa kaskazini mwa nchi hii. Kama safari inaanzia Dar, basi safari hiyo hugeuka kuwa tour kwa baadhi yao hasa wale wasindikizaji wasiokuwa na uhusiano wa moja kwa moja na wafiwa. Utakuta watu wapejipachika na vistarehesha kibao, ndani ya magari kumesheheni vilevi...
  5. JamiiForums Tanzania Mwanamke anakuzimia simu mara tatu bado anakwambia hataki kukupoteza

    Katika harakati za maisha imekuwa na ukaribu na mwanasheria mmoja smart sana kijana. Bahati nzuri ana girl friend wake Tupo office Moja. Yule girlfriend wake ni mwanamke anataka pesa. Ukiwa na pesa tu unaondoka nae. Huyu wanasheria mdogo wangu alikuwa analalamika Tabia za kushangaza za mpenzi...
  6. JamiiForums Tanzania Putin kuwania tena Urais kwa mara ya 5 mwaka 2024

    Kiongozi huyo aliyetawala tangu mwaka 2000 akichukua madaraka kutoka kwa Boris Yeltsin ametangaza nia yake leo Desemba 8, 2023 huku akidai ana uhakika wa kushinda Urais kwa zaidi ya 80% ya Kura. Mwaka 2020, Serikali ya Putin mwenye umri wa miaka 71 ilifanya mabadiliko ya kuondoa ukomo wa mihula...
  7. JamiiForums Tanzania Naomba mawasiliano ya Maafisa hawa wa Halmashauri ya Wilaya ya Rorya, Mara

    Kwa mwenye nazo naomba anisaidie namba za simu za Mkurugenzi Rorya DC, Afisa Utumishi Rorya, Afisa Elimu Secondary na kama unazo za staff wengine nitashukuru ukishea nami, ninashida nazo. Natanguliza shukrani zangu.
  8. JamiiForums Tanzania Kilichotokea Kateshi, Hanang kitatokea tena Same na vitongoji vyake mara nyingine. Msije kushangaa

    Kwanza nawapa pole wote waliokumbwa na janga lililotokea wilaya ya Hanang mji mdogo wa Kateshi. Jambo la kujiuliza tutaendelea na majanga ya aina hii mpaka lini kwanini hatujifunzi? Mwaka 2009 lilitokea janga kama hili kule Same...
  9. JamiiForums Tanzania Msaada kwenye hili maana nishafika hospitali mara 2 lakini suluhisho bado

    Vinatokea ghafla tu kama vile umeng'atwa na kutolewa ngozi na sehemu vinapotokea ni usoni na mikononi tu. Mwanzoni dr alisema ni fungus nikatumia dawa lakini haikufanya kazi, niliporudi wakanambia ni scabies nikapewa dawa lakini bado sioni mabadiliko, vinapona hapa na kuibuka kwingine. Ni...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Mara ya kwanza kutongozwa na Mke wa mtu na baada ya kushiriki tendo ananiambia amenasa mimba

    Ilikuwa mwaka huu huu unaoishia na kama sijakosea ilikuwa mwezi wa sita. Kwenye page yangu ya facebook nikianza kuona pale kwenye messangers notifications za salamu za mwanamke fulani na wala nilikuwa sizitilii maanani. Kila nikiingia facebook tu, lazima nikute yeye kanitafuta kwa vijisalamu...
  11. JamiiForums Tanzania Iran kwa mara ya kwanza imefanya jambo kwa US ambalo China na Russia hawajawahi kuonyesha uwezo wa kufanya

    Iran imerusha drones zake na kurekodi misafara ya meli kubwa za kivita za Marekani. https://x.com/EbneHava/status/1729892586578452954?s=20 Wachambuzi wanasema huu ni mwanzo wa kufeli kwa ubabe wa US kwenye maji. Kama drone zimekaribia na kuchukua picha kwa kuzoom karibu muda mrefu, basi...
  12. JamiiForums Tanzania Mara paaap ushuru wa kuagiza magari 2024 umeshuka

    Nitafurahi sana. Hasa ukishuka kwa angalau 20%. Huu ushuru wa magari chakavu wa sasa hauna uhalisia. Uzi tayari
  13. JamiiForums Tanzania Nimesikitika baada ya kuona Nigeria ina GDP karibu mara tano ya Tanzania

    Kumbe nchi yetu imezidiwa kiasi hiki na nchi yenye boko haram? Yaani kweli wao wanakaribia gdp ya bilioni 400 usd wakati sisi tupo kwenye bilioni 80s usd?
  14. JamiiForums Tanzania Nini kilikuvunja moyo ulipofika Dar es Salaam kwa Mara ya kwanza?

    NINI KILIKU- DISAPPOINT ULIPOFIKA DSM KWA MARA YA KWANZA? Anàandika, Robert Heriel Mtibeli Huenda uligugumia kimoyomoyo na hukumwambia yeyote. Ulijakaza kisabuni ili mwenyeji wako asigundue hila ya moyo wako. Jinsi matarajio yalivyoangusha shukrani zako. Najua. Na kama utanibishia shauri...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Siyo mara ya kwanza kwa CCM kumtumia mtu na kumtupa. John W. Malecela alitumika mpaka akajiita "Tingatinga"

    CCM imekuwa na tabia ya kuwatumia baadhi ya wanasiasa nyakati za mawimbi makali ya kisiasa na kisha kuwatupa. Malecela miaka ya nyuma alikuwa na nguvu sana ya kisiasa. Kwa taarifa yenu tu ni kwamba mzee Mwinyi hakuwa chaguo la Nyerere la kurithi kiti cha urais baada ya yeye kung'atuka. Lkn ni...
  16. JamiiForums Tanzania Sagini aagiza Polisi Mara kutoa gari kwa ajili ya kubeba Mahabusu Gereza la Bunda

    Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi (Mb), Jumanne Sagini ameliagiza Jeshi la Polisi Mkoa wa Mara kutoa gari la kusafirisha mahabusu waliopo katika Gereza la Wilaya Bunda na kuwapeleka kwenda Mahakama ya Wilaya Butiama ikiwa ni pamoja na kuwarudisha ili wapate haki yao. Sagini alitoa maagizo...
  17. JamiiForums Tanzania Huwa unafuata Sheria zipi au Utaratibu upi Mara uitwapo kwenye Mjumuiko (Jamii ya watu) ya watu au Date?

    Ni swali kwa wote ila Nitaanza na Sheria chache najua kuna wajuzi wengi wataziongezea.. Ukiomba kuonana na mtu eleza shida yako usimletee aliyekuita/Waliokuita umbea. Fika eneo la kukutania Kabla yake na Kama utachelewa mjulishe mapema ukiwa na sababu za msingi. Ukiwakuta watu wamekaa mahali...
  18. JamiiForums Tanzania Shetani kashindwa kwa mara nyingine kesi ya Sabaya

    NA HAYA NDIO MAAMUZI YA MAHAKAMA YA RUFAA KATIKA KESI YA LENGAI OLE SABAYA. Well,Kwanza Nitangulize Kusema kwamba Mahakama hii ya Rufaa ndio Mahakama ya Mwisho Kabisa katika Ngazi ya Maamuzi ya Kimahakama Nchini Tanzania, Shauri hili baada ya hapa limefungwa Rasmi....tuendelee..👇 Hili Ni...
  19. JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza Dar joto linasoma 27 degree

    Haya ni maajabu Muda huu huu imefika 26
  20. K

    JamiiForums Tanzania Sugu ana nguvu mara 100% kuliko Tulia na sababu ni moja tu - USA!

    Raisi Samia, usalama wa taifa, Chadema wenyewe, Spika Tulia wote wanajuwa ukweli. Katika viongozi wa kisiasa wenye nguvu Tanzania kwa sasa ni Sugu. Sababu kubwa ni mmoja tu Serikali ya USA mabalozi wote wa USA wa kotoka maraisi wa vyama vyote vikubwa repuplicans na democrats ndiyo mtu wao na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…