mara

Māra is the highest-ranking goddess in Latvian mythology, Mother Earth, a feminine counterpart to Dievs. She takes spirits after death. She may be thought as the alternate side of Dievs (like in Yin and Yang). Other Latvian goddesses, sometimes all of them, are considered her assistants, or alternate aspects. Māra may have been also the same goddess as Lopu māte, Piena Māte (Mother of the Milk), Veļu māte or Vélių motę (mother of the souls/spirits), Zemes māte (Mother of the Earth), and many other "mothers", like of Wood, Water, Sea, Wind.

View More On Wikipedia.org
  1. G

    JamiiForums Tanzania Mara ya kwanza kupima ukimwi

    Wasaalam! Leo imekuwa siku yangu ya kwanza tangia nizaliwe kupima ukimwi! Na kupata majibu! Aisee roho kidogo iache mwili! Nakumbuka Kuna siku nilinunua kipimo nikajipima Geto! Lakini kuangalia majibu ikawa ni ngum! Nikaamua nijifunge kitambaa usoni nikakafata kakipo bila kuona nikakafulashi...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Utafiti unavyoonesha jinsi ambavyo wanandoa wengi hukutana ama kujuana kwa mara ya kwanza

    UTAFITI UNAVYOONESHA JINSI AMBAYO WANANDOA WENGI HUKTANA MARA YA KWANZA 1. hujuana kupitia marafiki zao wa pamoja ( mutual friend) = 32 % 2. Kazini ( kufanya kazi sehemu moja) = 18% 3. Shuleni ama Chuoni kusoma pamoja = 17 % 4. Sehemu za ibada ( kanisani ama Msikitini) = 8 % 5. kwenye...
  3. JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza ibada yafanywa kwa utulivu kwenye msikiti wa Al-Aqsa, baada ya Israel kuwa makini

    Ilizoeleka kila wakifanya ibada huwa wanaingiwa na mzuka fulani hivi wanaliamsha amsha, ila kipindi hiki Israel imekua makini na kuzuia vijana na kuachia akina mama na wazee tu ndio waliingia pale kwa maelfu kufanya ibada zao kwa utulivu....... Yaani mapolisi yalijaa pale na kusubiri mmoja aseme...
  4. JamiiForums Tanzania Kuna wanaume wanafeli sana, hawala anakula vyakula vya nyota 5 nyumbani wanaishia kuviangalia kwenye TV

    Sikatai chakula ni chakula tu, ila hakuna asiyependa kula mapocho pocho. Usijitetee eti hautaki kulisha masumu ya kizungu watoto wako hahahah, mara nyingi msosi nyumbani kwao hawa jamaa inabaki tu basic ya Mtanzania wa kawaida: Ugali dagaa tembelee, Chai na vitumbua vya mama salma mtaani, Wali...
  5. JamiiForums Tanzania BoT, je kuna uwezekano wa kuongeza quality za noti zetu ili kupunguza gharama za kuchapisha mara kwa mara?

    Leo nimepokea huu ujumbe kutoka benki kuu. "Ewe Mwananchi Benki kuu ya Tanzania inakukumbusha kutunza vyema Noti na Sarafu zetu ili taifa lisipate gharama kuchapisha fedha kila mara kufidia uharibifu" IPi ni nafuu zaidi? waongeze ubora ili kuchelewa kuchakaa kwa noti zetu au quality iendelee...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Ni mara 100 ukutane na Chui kuliko Mamelod Sundown

    Nasema hivi ni afadhali ukumbane na Chui atakuchuna atakuacha lakini sio Mamelodi, huyu ni zaidi ya mnyama. Kwanza akitua tu unazimika mwenyewe sembuse kukabiliana naye.
  7. G

    JamiiForums Tanzania Huu Mjengo wa Boniface Jacob ni kwa kuuza mayai? Mbona watu kibao wa mkoa wa Mara ni wakongwe tunasikia wana maisha ya kawaida?

    Siwezi kuliita kasri lakini itoshe kusema kijana angalau kajenga nyumba nzuri. Mayai naona ni zuga tu, watu kibao wa Mkoa wa Mara wanaoishi Dar wanapiga hii business ila wana maisha ya kawaida.
  8. R

    JamiiForums Tanzania Kuna kipindi wasanii, viongozi wa dini na CHAWA wamewahi kuingia mara nyingi Ikulu kama sasa hivi?

    Ikulu ya Magogoni imewakarimu sana viongozi wa dini na wasanii wakiambatana na CHAWA. Nadhani hiki ni kipindi ambacho kila mwezi hata makundi lazima yawe Ikulu. Je, huu ni ukarimu? Na ukarimu huu unamchango wowote kwa wananchi maskini? Lengo la huu ukarimu ni nini kitaifa? Maskini waliopo...
  9. JamiiForums Tanzania Aliyemleta Fredy Michael akamatwe mara moja

    Huu ni utapeli wa wazi,wachezaji wa aina ile hata wa ndani wapo na hawezi kusajiliwa na timu zingine ndogo. Wanaosajili Simba wanafaa wawe nyuma ya nondo sahizi kwa utapeli wa wazi.
  10. G

    JamiiForums Tanzania Sometimes ujivuni ya kusoma chuoni ni mzigo, vijana wengi wanaohitimu vyuo wanachelewa sana kustuka kwamba tunaishi mara moja tu na miaka hairudi

    Kijana kamaliza degree yake akiwa na 23, mindset yake imekuwa tuned kujiona yeye ni special keki kwamba inabidi asubiri kazi za ofisini zenye ulaji mnono, ujinga huu huwa wanajazana sana vyuoni. kijana anamaliza chuo yupo kitaa anazungusha barua kwa kutafsiri msemo "one day yes" ndivyo sivyo...
  11. JamiiForums Tanzania Mara nyingi mwanamke unamuona mzuri kabla hujamtongoza, ukishamtongoza ndio unagundua lilikuwa ni wenge lako tuu

    Kwema Wakuu!. Kwa sisi wazoefu wa haya mambo. Kama unatafuta mchumba au mke ambaye utataka umuone mzuri daily basi haishauriwi umtongoze vuupuu! Utakwama! Haina tija kwako. Labda awe demu wa eat and drink then pita hivi. Demu ukimuona first day one time, unaweza ukapagawa kwa First impression...
  12. JamiiForums Tanzania FT: Al Ahly 1-0 Young Africans | CAF CL | Cairo International Stadium | 01.03.2024

    𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇𝐃𝐀𝐘🔰 🏆 #CAFCL ⚽️ Al Ahly FC🆚Young Africans SC 📆 01.03.2024 🏟 Cairo International 🕖 6PM🇪🇬 7PM🇹🇿 TimuYaWananchi DaimaMbeleNyumaMwiko Karibu katika mechi ya sita na ya mwisho ya makundi ligi ya mabingwa Africa ungana nami katika Uzi huu kwa update za mechi hii Kila la kheri Yanga SC...
  13. JamiiForums Tanzania Hivi kwa week inatakiwa kufanya mapenzi mara ngapi?

    Hivi kwa week inatakiwa kufanya mapenzi mara ngapi?
  14. B

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Bunge ya nishati na madini yatembelea mgodi wa Barrick North Mara, yavutiwa kwa kuendeshwa kwa viwango vya kimataifa

    Meneja wa Barrick nchini Tanzania, Melkiory Ngido (katikati) akitoa ufafanuzi katika kikao na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini ilipotembelea mgodi wa Barrick North Mara ,(kushoto) ni Meneja wa mgodi wa North Mara, Apolinary Lyambiko,(kulia) ni Meneja wa Mahusiano ya Jamii wa mgodi...
  15. JamiiForums Tanzania Prof. Janabi: Nakula mara mbili kwa siku

    Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Prof. Mohamed Janabi, amesema katika maisha yake na kile anachoishauri jamii anamaanisha na kukiishi. Amesema kwa siku anapata mlo mara mbili, na kila mlo unapishana kwa saa kadhaa, akijieupusha kula mara kwa mara. Prof. Janabi...
  16. JamiiForums Tanzania Vodacom nawapa onyo kwa mara ya mwisho kabla sijafuata hatua mpya

    Ndugu zangu hamjambo ? Natumia ukurasa huu kuwaambia watumishi wa Vodacom na wahusika wote wa MGODI kuwa mtamponza mtumishi wenu kwa hizi sarakasi zenu . Mimi natumia laini ya voda mwaka jana nilijiunga na huduma ya MGODI specifically nilipendelea kuweka kiasi cha akiba kwenye akaunti ya akiba...
  17. JamiiForums Tanzania Raheem Sterling akataa ofa ya kwenda Saudi kulipwa mara tatu ya mshahara wake wa sasa

    Mshambuliaji wa Chelsea, Raheem inadaiwa amekataa ofa ya kwenda kucheza Soka Nchini Saudi Arabia ambapo aliahidiwa kulipwa takribani mara tatu ya kiasi anacholipwa kwa sasa. Ikiwa angekubali ofa hiyo angeweza kuwa mmoja wa wachezaji wanaolipwa mshahara mkubwa zaidi katika Ligi ya 'Saudi Pro...
  18. JamiiForums Tanzania Hivi chuoni watu hawasomi bila "discussion"? Kila mara naambiwa niko discussion

    Kila mara unaambiwa nipo discussion subiri kidogo, sasa najiuliza huko chuo watu hawana muda wa kusoma wenyewe? Au discussion ni lazima chuoni?
  19. J

    JamiiForums Tanzania Bashungwa aiagiza TANROADS kufanya tathmini ya maeneo yanayoathiriwa na mvua mara kwa mara

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amewaelekeza Mameneja wa TANROADS nchi nzima kuhakikisha wanabainisha na kufanya upembuzi yakinifu kwa maeneo yote ambayo yamekuwa yakiathiriwa na mvua mara kwa mara ili Serikali iweze kuyatafutia suluhisho la kudumu kwa pamoja. Agizo hilo limetolewa na...
  20. JamiiForums Tanzania Fahamu: Mara nyingi Wabunge hupeleka maoni yao binafsi bungeni badala ya maoni ya wananchi

    Huu ni mwendelezo wa mada zangu za kuwatambuza juu ya mizizi ya mambo ya hovyo yanayoendelea serikalini na nchi kwa ujumla. Bunge ni Chombo cha uwakilishi wa Wananchi kama Ibara ya 62 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 inavyotumika: “Kutakuwa na Bunge la Jamhuri ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…