mapinduzi

  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Watangazaji wa Kipindi cha Asubuhi Wasafi FM punguzeni 'Kujikomba' kwa Viongozi wa Serikali na wa Chama cha Mapinduzi kwani 'Mnaboa' mno

    Huko mwanzo nilipokuwa nikiwasikia nikadhani labda mtajirekebisha nayo kwani hata Clouds FM na Clouds tv 360 walikuwa na 'Upuuzi' huu ila sasa naona nanyi mmeuiga 'Utamaduni' huu. Hii Nguvu ambayo Watangazaji wa Kipindi cha Asubuhi cha Wasafi FM mnaitumia kwa Kujikomba ( Kujipendekeza ) kwa...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ahudhuria Kikao cha Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi kilichoketi leo Dodoma

    Rais Samia Suluhu Hassani leo Aprili 28, 2021 amehudhuria Kikao Cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu Ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilichofanyika Dodoma. Kikao kinaendelea katika Ukumbi unaomilikiwa na Chama wa Jakaya Kikwete Convention Center Dodoma. Makamo wa Rais Dkt Philip Mpango na Rais wa...
  3. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Kama makubaliano juu ya muungano hayakuridhiwa na Baraza la Mapinduzi la Zanzibar, muungano wetu ni halali?

    Hili ni swali muhimu sana kwa mustakabari wa muungano wetu. Maana ni miaka 57 toka tumeungana lakini inasemekana articles of union ya awali haijawahi kuwekwa hadharani. Mbali ya hilo inasadikiwa kuwa haikupelekwa kwenye baraza la wawakilishi ili iweze kujadiliwa na kuridhiwa kama ilivyokuwa...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Hongera Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar - Mwandishi aliepigwa na askari afarijika

    Hongera sana sana Serikali ya Dr. Husein Mwinyi kuonyesha njia ya utendaji haki, Haki sawa kwa wote ni baada ya polisi kumpiga na kumtesa vibaya sana mwandishi kutoka Tanzania mainland wa gazeti la wananchi anaefanyia shughuli zake Zanzibar. Serikali kupitia Mawaziri wake wawili wa habari na...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kama utiifu wa Jeshi hutegemea viongozi wa juu wa Majeshi, kina Samweli Doe waliweza kufanya mapinduzi?

    Hii dhana kuwa Jeshi linapokuwa na utii ni matokeo ya viongozi wa juu wa Jeshi huwa inanifanya nijiulize kama huo ndio ukweli, mtu kama Samweli Doe aliwezaje kuongoza mapinduzi ya kijeshi akiwa na cheo Sergeant? Hata Idd Amini si alikuwa na cheo kidogo tu jeshini alipopindua serikali? Labda...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi kufanyika Aprili 30, 2021

    Tafadhali soma maelezo hapo chini
  7. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Nape: Kukosoa na kujikosoa ni silaha ya mapinduzi na kujiimarisha na si dalili ya udhaifu

    Mbunge wa Mtama (CCM), Nape Nnauye amesema kwa mujibu wa nyaraka za chama hicho tawala, kukosoa na kujikosoa ni silaha ya mapinduzi na kujiimarisha na si dalili ya udhaifu. Nape ameyasema hayo leo Alhamisi Aprili 15, 2021 wakati akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya ofisi ya waziri mkuu...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi tunaomba Serikali iruhusu kuingia kwa chanjo Zanzibar ili watu waweze kwenda Makkah

    Rais Ali H. Mwinyi kama unavyojua Zanzibar ni nchi ndani ya Muungano wa Tanzania lakini kwenye masuala ya afya kila upande una wizara yake. Sasa kwa kuwa wakazi wengi (Majority) yao tunaoishi Zanzibar na Pemba ni Waislamu na huu ni Mwezi Mtukufu Wa Ramadhan. Ombi letu kwako ni kuwa Wazinzibari...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Demokrasia ya Afrika matatani kufuatia Mapinduzi ya Katiba

    Demokrasia katika nchi nyingi za Afrika imekuwa ikilegalega kutokana na Sheria ambazo Bunge linatakiwa kumtii Rais hali inayopelekea Marais kutengua Katiba na kujiongezea muda wa kukaa madarakani. Suala hilo la kubadilisha Katiba kwa kuondoa ukomo wa muda au umri wa Urais linafahamika kama...
  10. MPUNGA MMOJA

    JamiiForums Tanzania Powertiller (kubota) trekta ya matairi mawili iliyokuja kufanya mapinduzi ya kilimo cha mpunga Tanzania

    POWERTILER ni aina ya trekta ya tairi mbili, kina uwezo wa kulima eneo kubwa kwa muda mfupi. Ni kifaa cha kulimia kilirichorahisishwa zaidi kusaidia Mkulima wa chini na kati. Ni kilimishi kilichokuja kufanya mapinduzi ya kilimo hasa Mpunga ingawa kinatumika kulima mashamba ya Mahindi, Maharage...
  11. bluetooth

    JamiiForums Tanzania Ni nani kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi baada ya kifo cha Dkt. John Magufuli?

    Rejea kichwa cha habari. Je, ni nani atachukua mikoba ya Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi aka chama tawala?
  12. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mapinduzi ya Myanmar: Jeshi latanda mitaani, intaneti yazimwa

    Magari ya kivita yakiwa katika mitaa kadhaa Magari ya kivita yametanda katika mitaa ya miji kadhaa nchini Myanmar huku kukiwa na ishara kwamba wanajeshi wanaandaa msako dhidi ya wale wanaopinga mapinduzi yaliyofanywa Februari 1. Mtandao wa interneti umezimwa nchi nzima licha ya juhudi za...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Taarifa: Chama cha Mapinduzi ( CCM) Mkoa wa Arusha chanunua Gari jipya la kisasa kurahisisha utendaji kazi

    Ni gari jipya kabisa aina ya Toyota V8 Landcruizer mbalo limenunuliwa kwa fedha halali za Chama Cha Mapinduzi ili kurahisisha Utendaji kazi wa kila siku Katibu Mkuu Dkt Bashiru Ally amehuhudhuria hafla hiyo na kukabidhi gari hilo kwa Uongozi wa CCM Mkoa wa Arudha akiambatana na Mh Humphrey...
  14. G

    JamiiForums Tanzania Gabriel Gavu: Mapinduzi ya Kifikra kwa sasa yanahitajika

    abriel Gavu MAPINDUZI YA KIFIKRA KWA SASA YANAHITAJIKA NA ; - GABRIEL GAVU (BSW) 2020 Nianze na kukubali kuwa dunia ni kijiji kwa utandawazi uliopo sasa. Tunahitaji nguvu ya pamoja kuitazama dunia ya leo. Ni dunia hii ambayo naamini hakuna mpaka wa magonjwa na au matukio ila mipaka iliyopo ni...
  15. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Jeshi laidhibiti Myanmar baada ya kumshikilia Aung San Suu Kyi

    Jeshi la Myanmar limethibitisha kulidhibiti taifa hilo baada ya kumuweka kizuizini kiongozi wa taifa hilo Aung San Suu Kyi pamoja na wanasiasa wengine mapema hii leo. Baada ya kumkamata kiongozi huyo kwa saa kadhaa, televisheni ya taifa imetangaza kuwa katika hali ya dharura kwa muda wa mwaka...
  16. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Simba tunaangalia zaidi michuano ya kimataifa , Mapinduzi cup haikuwa kipaumbele

    Huu ni ujumbe mahususi kwa Mashabiki wa soka nchini Tanzania , tunafahamu furaha ya Yanga (Kipofu kaona mwezi) , lakini sisi Simba tunalenga michuano ya CAF champions League tu. Sitaki maswali .
  17. Kurzweil

    JamiiForums Tanzania Yanga bingwa Kombe la Mapinduzi baada ya kuifunga Simba SC

    Yanga imeibuka na ushindi huo baada kuifunga Simba SC kwa mikwaju ya Penati. Yanga SC walifanikiwa kufunga mikwaju 4 kwa 3 ya Simba Sc Mchezo huo ulifikia hatua ya matuta Baada ya Dakika 90 kumalizika kwa matokeo ya 0-0
  18. T

    JamiiForums Tanzania Tuyaenzi Mapinduzi ya 12.01.1964 kwa kufanya kazi

    Na: MC Wenceslaus Dodoma. 12.01.2021 Habari za leo ndugu watanzania wenzangu na wazalendo wote wa Tanzania hii! Ni matumaini yangu kuwa tunaendelea kuwajibika vema katika ujenzi wa uchumi wa nchi yetu Tanzania. Nitumie nafasi hii kuwatakia mapumziko mema ya siku ya leo hasa tunapoadhimisha...
  19. EINSTEIN112

    JamiiForums Tanzania Baraza la Mapinduzi ambalo Rais wa Zanzibar ni Mwenyekiti wake linaundwa na watu gani?

    Naomba kujuzwa hili Baraza la Mapinduzi ambalo Rais wa Zanzibar ni Mwenyekiti wake linaundwa na watu gani? Wajumbe wa Baraza hili wanapatikanaje, kuchaguliwa au maveterani wa mapinduzi? Nani katibu wake? Vikao vyake hufanyika mara ngapi kwa mwaka? Agenda zao huwa zipi? Hivi vyeo viwili...
  20. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Kitabu katika kumbukumbu ya Mapinduzi ya Zanzibar sehemu ya kwanza. Pitio la kitabu: Mimi, Umma Party na Mapinduzi ya Zanzibar

    KITABU KATIKA KUMBUKUMBU YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR SEHEMU YA KWANZA PITIO LA KITABU MIMI, UMMA PARTY NA MAPINDUZI YA ZANZIBAR MWANDISHI: HASHIL SEIF HASHIL Kuandika historia ya ukombozi katika nchi za Kiafrika kunahitaji ujasiri mkubwa sana na sababu yake ni kuwa Afrika ina historia rasmi...
Back
Top Bottom