mapenzi

  1. JamiiForums Tanzania Ndugu yangu, mtoto wa mama mkubwa alichizi kisa mapenzi

    Kila nikimfikiriaa si mmalizi, huyu kaka, alikua na demu na wakazaa mtoto, baada ya demu kuondoka ghafla jamaa hakukubaliana na Hilo jambo akabaki kua mtu wa mawazo hali iliyo mpelekea kuchizi, AKITAKA mkewe arudi, yani Kuna muda anacheka Cheka, au anaweza kuongea mambo yasiyo eleeweka, akidai...
  2. JamiiForums Tanzania Ukimuona binadamu ambaye hajawahi kujishughulisha na mapenzi mtazame vizuri huenda hana akili vizuri au anamapungufu kwenye akili yake.

    Hii bahari ya mapenzi lazima kila mtu mwenye akili timamu aogelee maisha yenye karaha na maumivu
  3. JamiiForums Tanzania Unamuonea huruma mtu kufiwa kufiwa na mumewe unakuta kumbe huyo bibi fudenge anashiriki mapenzi ya jinsia moja.

    Unakuta bibi fudenge amefiwa unamuonea huruma na wengine kufurahi kumbe huyo bibi fudenge alisha move on kitambo na anafurahia mapenzi ya jinsia moja kwa kuwahonga vibinti vidogo na ni mlevi kupindukia. Bibi fudenge makazi yake yatakuwa jahanamu milele na milele.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mapenzi yanavyo haribu afya ya mwili na akili

    Ipo hivi jamaa yangu anaishi na mke ambaye tayari Wamejaaliwa kupata watoto wawili ,sasa anasema mwaka jana waliingia kwenye mgogoro mkubwa baada ya kugundua mke wake alikuwa akimsaliti japo huo usaliti ulitokea kipindi cha nyuma hili suala limefika pabaya jamaa aliamua kumufukuza waifu...
  5. JamiiForums Tanzania Mapenzi ya U-Kimada, mwisho wake mchungu!

    Mwanaume unaishi na mwanamke kimapenzi, mara baada tu ya kuingia chuo kikuu kutoka kwenu Ushetu. Mwanaume , huyo mwanamke akifa ukiwa naye anazikwa kwao, maana si mkeo bali ni mzinzi mweznio. Mwanamke , ukiumwa utakuja kusalimiwa na wazazi wako kwa mzinzi mwezio ama utasema ulikuwa unaishi...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Ibrahim ambokile wa EFM, ni mshabiki au mwana habari wa michezo mwenye mapenzi ya dhati na Yanga?

    Kuna huyu jamaa alikua pale abood fm na ss yuko EFM redio, jamaa akiwa ktk kipindi Chake anaikebehi sana simba na kusema kila kitu ni kibaya, kwani changamoto yake ni nini uyu mchambuzi?
  7. E

    JamiiForums Tanzania Je, ni salama kuanzisha mapenzi na rafiki yako wa karibu (Best Friend)? Shuhuda na Changamoto zake

    Wakuu salama, Kuna hili suala limekuwa likinitofautisha sana mawazo na marafiki zangu, nikaona si vibaya tukaleta hapa jukwaani ili tupate uzoefu wa pamoja na kubadilishana mawazo. Wote tunajua kuwa urafiki wa dhati ndio msingi mkuu wa mahusiano yoyote imara ya kimapenzi yanayodumu. Lakini...
  8. JamiiForums Tanzania Kijana adaiwa kutekwa na wasiojulikana kwa kumkasirisha binti wa kigogo katika mapenzi!

    Wanaripoti Jambo TV Irene Mziray, mama mzazi wa kijana mwenye umri wa miaka 22, Junior Joyful Jonathan, ameiomba serikali kusaidia katika jitihada za kumpata mwanawe ambaye amepotea na kudaiwa kutekwa na watu wasiojulikana. Irene amesema mwanawe hana ugomvi na mtu yeyote na familia haijawahi...
  9. JamiiForums Tanzania Digidigi wa mapenzi.

    Kwa vijana wa kiume, acha kupenda wanawake wabovu wa sura na umbo , wao vigezo vyao ni pesa , hivyo jichimbie ,saka pesa , ukizisaka tafuta mwanamke mzuri wa sura na umbo. Kwa wanawake acha kusaka wanaume kisa tu ana pesa bila kufikiri future ya mtoto utakae zaa nae inakuaje 🤔...
  10. JamiiForums Tanzania Dalili za mwanaume maskini ni hizi

    Ukiona unahangaika sana na mapenzi yakujionyesha kuwa unaweza kufanya jamboo kwa mpenzi wako . WEwe jua wewe ni maskini . Eti mtu unajifanya uko updated eti maji nimelipa babe eti umeme nimeweka dstv nimelipa nimekununulia simu huo ni ujinga . Hayo ni maisha ya wanaume wa Dar na wa chuo...
  11. JamiiForums Tanzania Story bora za mapenzi nilizowahi kuzisoma hapa JF ❤️📖

    Mimi napenda sana kusoma love stories, na kwa hapa JamiiForums nimewahi kusoma stories kadhaa za mapenzi. Lakini kuna story tatu ambazo kwangu mimi nimeziona ni best kabisa. Hizi ndio top 3 zangu: 1. Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na mwanamke wa ajabu – INSIDER MAN 2. How I Met My...
  12. JamiiForums Tanzania Kete za Mapenzi: Hakikisha Mkeo au mwanamke wako anawekeza kiuchumi kwenye mahusiano yenu. Hii ni mbinu ya uhakika.

    KETE ZA MAPENZI: HAKIKISHA MKEO AU MWANAMKE WAKO ANAWEKEZA KIUCHUMI KWENYE MAHUSIANO YENU. HII NI MBINU YA UHAKIKA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Unajua Pesa inauma kuliko mapenzi? Hili wengi hawalijui. Hasa wale watoto wadogo au wenye upeo mdogo. Sehemu yoyote ambayo hukuweka pesa...
  13. JamiiForums Tanzania Picha Nilizopiga Na Ma Ex Zangu, Nimeshindwa Kabisa Kuzifuta Kwenye Gallery, Nimezihifadhi Kwenye Locked Folder

    Siyo kwamba nawa-miss ex, hapana, bali kila nikiangalia zile style za picha tulizopiga kwa kipindi kile, aina ya mifumo ya zamani ya maisha iliyokuwa tofauti, huwa nabaki natabasamu tu. Kuna mda ma ex huwa wananipgia simu na kuniuliza "ivi zile picha bado unazo" nawajibu ndiyo, wakisikia hivyo...
  14. JamiiForums Tanzania Ni unyama, ndivyo unavyoweza kusema baada ya House Girl, mtoto wake kukatwakatwa kwa mapanga na House Boy kisa mapenzi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linamsaka kijana mmoja aliyetajwa kwa jina la Emmanuel Elisante Mariki, mkazi wa kijiji cha Lyasongoro, kata ya Marangu, Wilaya ya Moshi kwa tuhuma za kujeruhi watu wawili . Tukio hilo limetokea usiku wa saa kumi na nusu alfajiri ya Agosti 24 katika kijiji...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Ni mwaka gani ulihisi mapenzi yangekuua?

    Habari za muda wakuu, Leo nimefikisha anivessary ya miezi nane ya worst heartbreak, hadi nikapakumbuka JF:D Nakumbuka kuna siku nilianzisha uzi hapa yaliyonikuta baada ya kudumu na mtu kwenye mahusiano kwa miaka mitatu, itoshe kusema huu mwaka sitausahau Kwa sasa nimemove on niko vizuri na...
  16. JamiiForums Tanzania Kwa nini mapenzi ya kwanza hayasahauliki kirahisi?

    Umeshawahi kujiuliza kwa nini mapenzi ya kwanza husalia akilini kwa miaka mingi? Na kwa nini ni vigumu kwa watu wengi kuwasahau wapenzi wao wa kwanza? Pamoja na kwamba maisha yanaendelea na mtu anaweza kupata mahusiano mengine, kuna kumbukumbu fulani za mapenzi ya kwanza ambazo huonekana kugoma...
  17. JamiiForums Tanzania Labda niwe muwazi juu yako ShesRise_1

    Kuna msemo mmoja unaenda hivi "when a guy has a crush on a girl every one knows knows but the crush, but when a girl has a crush on a guy no one knows but the crush" Hivyo ndugu zangu ni kheri nikawa muwazi tu maana, hisia hazijifichi.. Na mimi ego yangu sio mbaya niseme nimezee ndani hisia...
  18. JamiiForums Tanzania Kwasasa mapenzi siyo kipaumbele changu tena

    Nimekutana na mtu sijui niseme ni mtu sahihi, lakini najiona siko tayari kabisa kuingia kwenye mahusiano wala ndoa bado nina safari ndefu sana ya kuboresha maisha yangu. Hata hisia za kumpenda mtu nakosa kabisa, namuonea huruma huyu kijana tuliamua tuwe marafiki badala ya kushindikana kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Siri kubwa 2 zilizojificha nyuma ya maumivu ya mapenzi unayokutana nayo

    Watu wengi hukutana na maumivu ya mapenzi. Kila mmoja anakutana nayo kwa namna tofauti. Wapo ambao wanapenda wasipopendwa. Wengine husalitiwa wakiwa ndani ya uhusiano. Wengine huachwa baada ya kuwa pamoja kwa muda mrefu. Kuna watu ambao hawajawahi kabisa kuyafurahia mahusiano. Kila wanapoweka...
  20. JamiiForums Tanzania Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…