and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,210
- 39,687
Mkali inakuajeTatizo hao wakupinga wenyewe ndio wanapewa masharti hayo na waganga wao ili utajiri uendelee
Kwema kabisa vipi wikend inaendajeMkali inakuaje
fresh,zee la toto members waliogopa sana wakidhani umelala mbele..Mo29Kwema kabisa vipi wikend inaendaje
Hman lolote members wote humu nimekuja kugundua ni kama marafiki wa bar tuu....wapo nawe ukiwa na hela ya kuzungusha round ila kwenye majanga wanakukwepa kama ukoma. Yaani nilitegemea pm itakuwa imefurika mweee! Hamna ata meseji moja.fresh,zee la toto members waliogopa sana wakidhani umelala mbele..Mo29
Mzeiya upo? Ulipotea sana tukajua Oct 29 iliondoka na weweTatizo hao wakupinga wenyewe ndio wanapewa masharti hayo na waganga wao ili utajiri uendelee
Umemaliza mkali maana ukisema unapinga kama anavyotaka mleta mada unaambiwa unafanya unyanyapaaKijamii ishakuwa ngumu, hapa kila mtu apambane kwenye familia yake, tupo kwenye level ya kupambana kifamilia
Nilikuwa napambania uhai. Mzee wa kupambania amepotea pia?Mzeiya upo? Ulipotea sana tukajua Oct 29 iliondoka na wewe
Mwanao Mzee wa kupambania mpaka leo haonekani majukwaani tangu October last year