mapenzi

  1. cacutee

    JamiiForums Tanzania Mapenzi na masharti vinaendana? Mkishanijibu tu narudi

    Guys Natumaini kila mtu yuko salama. Naomba kuuliza tu kwamba ni sawa kuwa na mahusiano ambayo kuna masharti .... Kwamba ili uhusiano uwepo lazima usifanye ABC.... Na ili uwepo lazima ufanye ABC...otherwise get lost. Hivi huwa yapo hayo au Mimi ndio sielewi.
  2. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Wivu wa mapenzi wasababisha familia nzima ifukuzwe kutoka Uingereza

    Serikali ya Uingereza iliwafukuza baba, mama, na watoto wao watatu kurudi Nigeria baada ya kuuza mali zao zote na kukopa 40,000,000Tsh ili kuhamia Uingereza. Tobore aliuza nyumba yake huko Otokutu, ardhi yake huko Opete, Lexus 330 yake nyeusi, duka lake kubwa la maduka, na pia alikopa...
  3. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Umeshiriki mapenzi na mwanamke kisha mwezi au miezi miwili, anakuambia “Nimepiga hesabu nimeona hii mimba ni yako” na wewe unakubali? Sawa bro

    Ifahamike siwezi kukataa mimba iwapo nilishiriki na mwanamke ngono zembe yaani bila puto. Ikitokea nikaambiwa moja kwa moja kuwa nina mimba yako nitalea na nimewahi fanya hivyo pasina shida yoyote Ile. Kifupi ieleweke siwezi kukataa damu yangu. Napinga kukubali kwa namna yoyote Ile kupewa...
  4. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Ukifanikiwa kimaisha kabla ya kuoa kuna uwezekano mkubwa ukaoa mwanamke asiye na mapenzi nawe

    Ukisikia mtu anasema wanawake wengi wanaolewa na mwanaume wasiempenda, usifikiri anachekesha. Uhalisia ni kwamba, mwanaune anaoa mwanamke anaempenda, mwanamke anaolewa na mwanaume ambae yupo tayari. Utakapoweka maisha yako kwenye mstari wanawake watakuona na watakujia na mitego ya kila mamna...
  5. Baba mtakatifu91

    JamiiForums Tanzania Nguvu zitokanazo na kutokufanya mapenzi kwa muda mrefu(celibacy)

    Natumai mmeshinda salama salimini. Jioni hii ningependa kuwashirikisha mambo kadhaa kuhusu dhana ya celibacy Celibacy ni neno lenye maana ya kutawala tamaa za ngono kwa muda mrefu aidha kwa kufuata utamaduni fulani au utaratibu wa mtu binafsi Zifuatazo ni baadhi ya faida zitokanazo na Celibacy...
  6. Baba mtakatifu91

    JamiiForums Tanzania Nimezama kwenye mapenzi na single mother

    Wadau natumai mko poa kabisa na wale wagonjwa wote Mungu awape uponyaji. Kufupisha habari mimi ni kijana ambaye nipo kwenye 3rd floor agewise kipindi bado nasoma sikuwa mtu wa mademu sana mara nyingi watu waliniita baba paroko au kwa sasa church boy. Najuta kwanini nimejitunza miaka yote 10...
  7. O

    JamiiForums Kenya Hatutakula mapenzi

    Oya mwanaume amka ukatafute pesa kama unataka mapenzi
  8. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Maumivu ya mapenzi

    Uliacha au uliachwa? Kwanini? Mliachana? Kwa vurugu au kimyakimya? Uliachwa na faida au na hasara? Mlijaribu kurudiana? Mliweza?
  9. Pakome

    JamiiForums Tanzania Mwanamke anamtafsiri Mwanaume kawaida kisia ndiyo sababu anaweza kuishi zaidi ya miaka 40 bila kushiriki mapenzi

    Mwanamke ni kiumbe mwenye uwezo wa kuishi zaidi ya miaka 20-40 pasipokushiriki mapenzi kwasababu anamtafsiri Mwanaume kama mtu wa kawaida kihisia na wala hashawishiki na uchi wa Mwanaume ikiwa anakubali basi ni kwa mapenzi ya kumhurumia Mwanaume anayemshawishi Mwanamke anaweza kumpa Mwanaume...
  10. Kitomai

    JamiiForums Tanzania Mjadala wa leo: Mapenzi au biashara?

    🔥 Kuna kauli imeibua mjadala mzito: Mtu hakupatiwa mapenzi kwa wiki mbili hadi aliponunua iPhone! 😳 Swali ni hili👇 Je, mapenzi ndani ya ndoa yanapaswa kuwa na masharti? 👉 Je, ni sawa kusema: “Nifanyie hiki ndipo upate mapenzi”? 👉 Au hii ni dalili ya mapenzi kubadilika kuwa biashara? 👉 Je...
  11. haszu

    JamiiForums Tanzania Mgongo ni sehemu yenye hisia iliosahauliwa sana kwenye mapenzi

    Watu wanazungumzia mapaja, sijui kifua n.k ila hawajui mgogo unahisia kali sana, kwa jinsia zote. na unakua na raha ya kukufaya u relax. we jaribu leo ulale, kisha mwenza wako akushike shike mgongoni uone, au afanye kama anakutumbua chunisi au vipele, kisha utaona relaxatio and stimulation...
  12. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Amani ni kichocheo muhimu sana kwenye kufanya mapenzi kwa usahihi na katika ukamilifu wake

    Bila ya kua na amani ya uhakika kijamii, kisiasa na kiuchumi kamwe huwezi kufanya mapenzi kwa usahihi na katika ukamilifu wake, na badala yake wapenzi waliokosa amani, huishia kugusanagusana au kunyonyana via vyao vya uzazi, huku miguno ya kinafiki ikitumika kudanganyana wao kwa wao. Kwahiyo...
  13. haszu

    JamiiForums Tanzania Kuna siku unaamka tu, unajikuta na hamu kali sana ya mapenzi

    Yani hakuna vishawishi vyovyote uivyopitia, umelala vizuri, ila unaamka, unahali mbaya sana, unahamu kali sana ya kufanya mapenzi, nini kinakua kimetokea? kama hii sku ya leo ni hatari sana
  14. M

    JamiiForums Tanzania Nasumbuliwa sana na mke wa mtu alienidhamiria bila kuchoka, nawezaje kumfanya ajue haitawezekana bila kuvunja urafiki wetu?

    Kuna binti mmoja, ni mke wa mtu, lakini ananiumiza kichwa sana siku hizi. Mume wake alimfungulia duka kubwa tu awe anakuwa bize, na kwa kuwa hata mimi nina duka katika mitaa hiyo, tulianza kuzoeana kama majirani. Kila nilipopita na kumuona, sikusita kumsalimia na mara nyingi tulikuwa tunapiga...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mnasema mapenzi yanauma? Hivi umewahi poteza pesa ya mkopo ukaona maumivu yake?

    Kuna watu utawasikia Oooo Mapenzi yanauma hakuna mfano wake, mara ukiachwa mapenzi yauma usiku, wewe wewe Kijana mwenzangu hivi ushawahi poteza pesa ambayo umetoka kuikopa utatue changamoto zinazokukabili, ukajua namna maumivu huwa? Kama bado usiombe likukute maana maumivu yake unaweza hisi...
  16. Jephta2003

    JamiiForums Tanzania Je, mapenzi ya kweli yanaweza kustahimili "mifuko mitupu" katika uchumi huu wa 2026?

    Wakuu, kumekuwa na mjadala kuwa mwanamke hawezi kuvumilia mwanaume asiye na mwelekeo wa kifedha hata kama ana upendo wa dhati. Je, ni kweli upendo pekee unatosha kulinda ndoa au mahusiano, au pesa ndiyo gundi inayoshikilia hisia?"
  17. Tundusami

    JamiiForums Tanzania Usikubali kufanya mapenzi bila kondomu

    Usidanganywe ukafanya mapenzi bila kondomu.
  18. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Nimekaa miezi 6 bila kufanya mapenzi nilikuwa na furaha na amani, wiki iliyopita nimefanya nilijisikia vibaya siku 4.

    Hapo vip! Ipo hivi mimi ni mwanaume ambaye mapenzi sana sio kipaumbele kwangu. Na nikikaa muda mrefu bila kufanya mapenzi nakuwa na amani na furaha sana kwenye maisha yangu pia nakuwa mtu wakufocus sana na mipango yangu,najiamini sana,najiona nipo salama sana,pia spirituality nakuwa na nguvu...
  19. O

    JamiiForums Kenya Mapenzi Yageuka Moto – Valentine’s Eve Shock

    On the eve of Valentine’s Day, a 3rd year student alichomwa na girlfriend wake kwa hot water after she suspected him of talking to his ex. Msichana huyo amekimbia na KSh 318,000, akiacha mwanafunzi huyo akiwa na majeraha. Tukio hili linaonyesha hatari za toxic relationships na kwanini safety...
Back
Top Bottom