Toa Maoni yako Kuhusiana na Mchezo wa Koinange utakaoanza hivi karibuni nchini Sweden

Mr Why

JF-Expert Member
Nov 27, 2019
1,125
1,922
Yapi maoni yako kuhusiana na mchezo wa Koinange utakaoanza rasmi nchini Sweden hivi karibuni. Je unafaa kushiriki ama haufai kushiriki? Kwako habari hizi zinakupa picha gani?
 
Yapi maoni yako kuhusiana na mchezo wa Koinange utakaoanza rasmi nchini Sweden hivi karibuni. Je unafaa kushiriki ama haufai kushiriki? Kwako habari hizi zinakupa picha gani?
Ni kama ndondo tu, ila wao hawachezi kwa miguu ila wanatumia vikojoleo.

Ndugu mlta maada huu mchezo utakuwa ubarushwa channel gani vile?
 
Back
Top Bottom