Kuna moto mkubwa umezuka katikati ya manispaa ya Tabora eneo la Salmini Toronto.
Kwa mujibu wa chanzo cha moto huo huenda ikawa ni hitilafu ya umeme kwa kuwa duka hilo lilikuwa la uuzaji wa vifaa vya umeme na nyumbani.
Kitengo cha Zimamoto kilifika kwa wakati ila bahati mbaya gari lilishindwa...
Wasalaam!.
Kuna ndugu wa Mfanyakazi mwenzangu alipatwa na maradhi, akalizimika kulazwa ili kuendelea kupata matibabu zaidi katika moja ya Hospital za Rufaa hapa nchini.
Nilikuwa na ratiba ya kwenda kumuona baada ya ibada. Hivyo nilipotoka kanisani nilienda sokoni kununua baadhi ya vitu vya...
Katika Hali isiyo ya kawaida Manispaa ya Kinondoni imeonesha ubaguzi wa Hali ya juu, hii imetokea katika Mradi wa ujenzi wa Stand Mpya inayojengwa eneo la Mwenge Dar es Salaam, ambapo katika eneo hilo taasisi Mbili za kiislam na kikristo zinamiliki maeneo ya Ibada.
Picha na video ni matukio ya...
Habari ndugu.
Nina fremu ya biashara nauza maji na vinywaji kwa bei ya jumla lakini kwa sababu ya ufinyu wa nafasi nimeamua kujengea nondo mbele ya frem ili angalau kuweka bidhaa ambazo zimekosa nafasi ndani (nadhani wengi tumeona maduka mengi ya vinywaji wanavyofanya.).
Sasa, kama kichwa cha...
Katika hali isiyo ya kawaida, mwalimu wa shule ya msingi Moshi Manispaa amewekwa lokapu kituo kikuu cha polisi Moshi na afisaelimu sekondari Moshi Manispaa, bila mwajiri wake ambaye ni Mkurugenzi wa Moshi Manispaa kujua mwalimu aliko kwa muda wa siku mbili.
Kwa maelezo ya mwalimu huyo...
Kwanza kabisa Nianze kwa kukupongeza kwa namna unavyotekelaza majuku yako kwa namna ya kipekee kiasi kwamba nchi imetulia. Kama ilivyo kwaida ya Binadamu, wapo wanaobeza utendaji wako, wapi wanaofurahia,wapo wanaotoa ushauri, wapo wanaokosoa na wapo wapambe ambao kazi yao ni kukusifu mchana lkn...
Kwanza kabisa Nianze kwa kukupongeza kwa namna unavyotekelaza majuku yako kwa namna ya kipekee kiasi kwamba nchi imetulia. Kama ilivyo kwaida ya Binadamu, wapo wanaobeza utendaji wako, wapi wanaofurahia,wapo wanaotoa ushauri, wapo wanaokosoa na wapo wapambe ambao kazi yao ni kukusifu mchana lkn...
Habari wadau,
Nina kiwanja changu kimepimwa na manispaa ya Ubungo.
Jirani yangu naepakana nae ameamua kujenga msingi wa ukuta wake kati kati ya jiwe linalotutenganisha..
Je, yupo sahihi? Sheria ya Ardhi inaruhusu hili kutokea?
Wataalamu na wazoefu naombeni ushauri
Tazama picha. Kiwanja...
Nimesafiri kwenye maeneo tajwa hapo juu katika siku za hivi karibuni na ninathibitisha kwamba hayo sio majiji.
Hizo ni halmashauri tu na labda juu sana ni manispaa lakini sio zaidi ya hapo. Vigezo viboreshwe ili nchi itoe hadhi ya mahali kulingana na uhalisia.
Nyumba zimesambaa kama takataka...
Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (LAAC) imemuagiza Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kufanya ukaguzi maalum kwenye ujenzi wa stendi ya Kimataifa iliyopo kata ya Mfumuni, Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro baada ya maelezo ya mradi kujikanganya.
Makamu Mwenyekiti wa...
Idadi kubwa sana ya watu wanaingia katika jiji la Dar es Salaam kila siku. Ninaona hiki kigeuzwe kuwa chanzo cha tozo.
Asiwepo wa kubaguliwa hata wale wanaopita na misafara na ving'ora. Wekeni toll gate pale kiluvya, Bunju, Kongowe, ya Kilwa road na hapo Azam Ferry.
Nimeona sana toll gates...
Nimecheka sana ITV karne hii kuna watu hawajui Kiswahili.
Karani wa sensa amekuwa katika wakati mgumu leo kuelewana na mwananchi.
Kila akiulizwa anajibu nahene jawiza mayo. Hapo ni Kisesa, ndani ya manispaa kabisa; nauli 600 kwenda mjini, sio kijijini.
Nina wazo ila sijajua kuhusu watu wa mazingira kwao wataonaje hili jambo ila tu nawaza kile ambapo manispaa ya kigamboni mji mwema wanapogombana na wananchi kila mwaka na kupelekea kujua watu kwanini manispaa wasianzishe dampo ambapo watapata pesa na pia lile eneo litafukiwa na kupata eneo kama...
Ni Manispaa ya ajabu sana ukitembea mita 500 kutoka katikati ya mji unakutana na mashamba ya mahindi. Nyumba zimechanganyikana na mashamba
Iendelee tu kuwa Manispaa haifai kuwa jiji inapitwa mpaka na Kahama
STENDI ya mabasi ya Magufuli iliyopo Manispaa ya Ubungo, Dar es Salaam, imekusanya Sh bilioni 3.4 katika kipindi cha miezi 10 cha mwaka wa fedha 2021-22, zinazotumika kuimarisha miundombinu mbalimbali ya huduma kwenye stendi hiyo.
Hayo yamebainishwa na Ofisa Habari wa Manispaa ya Ubungo, Joina...
Kuna taarifa kuwa siku ya kesho mkurugenzi wa manispaa ya Kinondoni anaenda kufuturisha wenyeviti wa serikali za mitaa yote ya Kinindoni zaidi ya 150.
Nauliza haya ndio matumizi sahihi ya kodi zetu?
Je, akitokea mwingine akaamua kipaimara cha mtoto wake alishe wajumbe wote kwa hela za umma...
Kura 18 zimemkataa.
Alikuwa na kashfa ya kushiriki birthday ya shoga mmoja hapo Moshi.
Ni kashfa iliyotrend sana kwenye vyombo mbalimbali vya habari kama magazeti.
Nafikiri ndio hiyo imemng'oa labda kama kuna sababu nyingine tutajua
Kapigiwa kura Leo, 18 zimemkataa na 10 zimemkubali...
Mnada au gulio la Kunduchi unaofanyika mara moja kwa wiki ni kero kubwa sana kwa watumiaji wa barabara kuu ya Kunduchi na bahari beach!
Kero hii pia inapatikana maeneo ya Boko katika mnada wa chama!
Hivyo kwa wakazi wa Mbweni Ununio na maeneo ya Bunju wanakumbwa na dhahama ya foleni Mara mbili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.