man

A man is an adult male human. Prior to adulthood, a male human is referred to as a boy.
Like most other male mammals, a man's genome typically inherits an X chromosome from his mother and a Y chromosome from his father. The male fetus generally produces larger amounts of androgens and smaller amounts of estrogens than a female fetus. This difference in the relative amounts of these sex steroids is largely responsible for the physiological differences that distinguish men from women. During puberty, hormones which stimulate androgen production result in the development of secondary sexual characteristics, thus exhibiting greater differences between the sexes. However, there are exceptions to the above for some transgender and intersex men.

View More On Wikipedia.org
  1. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Nevada Man Leap and Attack Clark County Judge After Being Denied Probation

    A Clark County, Nevada judge and a marshal were injured on Wednesday afternoon after a defendant who was denied bond threw himself over the bench and attacked the judge, video shows. It is reported that the public information officer for the Clark County District Court said the incident...
  2. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Man Utd yafikia makubaliano na Sir Jim Ratcliffe, ambapo atamiliki 25% ya hisa za Klabu hiyo

    Hatimae kile kitendawili cha umiliki wa Man Utd kimeteguliwa leo kwa ambapo klabu hiyo imefikia makubaliano na Sir Jim Ratcliffe ambaye ni Mwenyekiti wa Kampuni ya INEOS kumiliki asilimia 25 Klabu hiyo. Ikimbukwe wamiliki wa Man Utd bado watabakia familia ya Glazzer kwa asilimia 75. Sir Jim...
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Desemba 23, 2023 chungu kwa Man United, yapigwa 2-0 na West Ham

    Ikicheza mchezo wake wa 18 katika Premier League msimu huu wa 2023/24, Manchester United imepoteza kwa magoli 2-0 dhidi ya West Ham United, ikiwa ni mchezo wa 8 kupoteza katika Ligi hiyo. United ambayo imeshinda mchezo mmoja tu kati ya mitano iliyopita katika EPL, inazidiwa pointi 11 na vinara...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Meet Putin’s bodyguard ‘Mr Button’ who carries his nuclear briefcase and could be the man who triggers World War 3

    Meet Putin’s bodyguard ‘Mr Button’ who carries his nuclear briefcase and could be the man who triggers World War 3 the-sun.comDec 13, 2023 1:17 PM VLADIMIR PUTIN'S bodyguard dubbed Mr Button could literally hold the fate of the world in his hands at all times as he carries Vlad's ultimate symbol...
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Kwa kikosi hiki cha Man United unadhani dhidi ya Liverpool itakuwaje?

    Jumapili ya Desemba 17, 2023, Saa 1:30 Usiku, Kocha wa Manchester United, Erik ten Hag anatarajiwa kuwa na mtihani mgumu wa kuivaa Liverpool katika mchezo wa Premier League kwenye Uwanja wa Anfield, huku akiwa na orodha ndefu ya wachezaji wa kikosi cha kwanza anaotarajiwa kuwakosa. Marcus...
  6. Suley2019

    JamiiForums Tanzania FT: Man United 0 - 1 Bayern | UEFA CL | Old Trafford | 12.12.2023

    Haya kwa wale wapenzi wa Ligi ya Mabingwa Ulaya leo kwa upekee kabisa tunawaletea kitakachojiri live wakati wa mchezo huo. Mchezo huu wa mwisho kabisa wa hatua ya Makundi unabeba hisia nyingi za wapenzi wa soka kutokana na uhitaji wa ushindi kwa Timu ya Man United ili aendelee kubaki kwenye...
  7. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Aibu Old Trafford, Bournemouth yaipiga Man. United 3-0

    Uwanja wa Old Trafford umekuwa mchungu kwa wenyeji Manchester United baada ya kukubali kichapo cha magoli 3-0 kutoka kwa Bournemouth katika Premier League. Kipigo hicho ambacho ni cha 7 katika mechi 16 za United katika EPL 2023/2, kimekuja siku moja tangu Kocha Erik Ten Hag na Harry Maguire wa...
  8. M

    JamiiForums Tanzania 4 Reasons Why You Should Not Marry A Pakistani Man (Warning)

    4 Reasons Why You Should Not Marry A Pakistani Man (Warning) lovedevani.comDec 5, 2023 7:20 AM Marriage is not something to look down on. It's very serious and requires quite a lot of efforts to make it works. When two people fall for each other and decided to become one in a relationship called...
  9. Mr George Francis

    JamiiForums Tanzania Sex is no more an issue, know how to handle your man

    SEX IS NO MORE AN ISSUE, KNOW HOW TO HANDLE YOUR MAN. Leo katika pitapita zangu nimekutana na wadada fulani hivi wanapiga story. Mmoja nilisoma nae sekondari lakini hatukuwahi kuonana tangu siku tumehitimu kidato. Sikuwa na uhakika kama ni yeye, nilisimama kwa muda kiasi nikiwatazama huku...
  10. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Man City na Liverpool ngoma yaisha kwa sare ya 1-1, Guardiola na Nunes warushiana maneno

    ManchesterCity imeendelea kushika usukani wa Premier League kwa kufikisha pointi 29 licha ya kulazimishwa sare ya goli 1-1 katika mchezo dhidi ya Liverpool yenye alama 28 kwenye Uwanja wa Etihad, leo Novemba 25, 2023 Erling Haaland amecheka na nyavu upande wa City dakika ya 27 huku...
  11. yvee

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Manchester United imewahi kufungwa 39-0 na Arsenal mwaka 1920

    Arsenal inashikilia rekodi ya kuichapa Man U kichapo kikubwa zaidi kwenye ligi ya Uingereza cha Magoli 39-0 mwaka 1920. Habari hii inasambaa sana mtandaoni, JamiiCheck tunaomba mtusaidie kuifuatilia.
  12. Money Penny

    JamiiForums Tanzania Insecure man - Mwanaume asiejiamini ushawahi ku date nae?

    Ivi ushakutanaga na mwanaume ambae yuko insecure, hajiamini? ikawaje? ulitemana nae vepe? ulitemana nae baada ya muda gan? Hadithi kamili pita kwa youtube channel yangu
  13. ANT DRUGS

    JamiiForums Tanzania Napata raha sana kuona mashabiki wa Simba na Man U wakiwa hawana raha

    Yaani katika maisha yangu naweza kupata hela nyingi tu na nikaona kawaida yaani. Ila Mashabiki wa Simba na Man wakiishi kwa stress napata faraja sana na naona nina kila kitu katika maisha. Hasa hasa hawa watu wa Msimbazi wanapoanza kunyosheana vidole, kukamatana uchawi, kufukuzana na kusutana...
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Majina 7 yanayopewa nafasi ya kumrithi ten Hag ndani ya Man United

    Kocha Erik Ten Hag yupo katika hatari ya kupoteza kibarua chake ndani ya Manchester United kutokana na matokeo mabaya na kiwango kibovu kinachooneshwa na timu hiyo tangu kuanza kwa msimu huu hasa baada ya kufungwa magoli 3-0 mfululizo na Manchester City na Newcastle United. Gazeti la The Sun...
  15. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Man Utd ya 2008 Vs Man City ya 2023 | Nani angeibuka na ushindi kutokana na ubora wa vikosi vyao?

    Chukulia vikosi vote katika ubora wake, Man Utd iliyoshinda Uefa Champions League 2008 Vs Man City iliyoshinda UCL 2023 nani angeibuka na ushindi?
  16. M

    JamiiForums Tanzania Grooming essentials for the bedroom: What a man should and shouldn't do

    Men and grooming have finally become great friends in the last few years. Ever since the likes of Saif Ali Khan made meterosexuality a fashion statement, men have been rushing to salons, spas and surgeons, trying to look their best, both for themselves and their significant others. It’s cool to...
  17. Mwanadiplomasia Mahiri

    JamiiForums Tanzania Man Utd haitofungwa leo na Man City

    Kutokana na elimu yangu ya unajimu niliyoachiwa na marehemu Sheikh Yahaya, Man Utd leo atashinda au atadroo. Hivyo punguzeni matarajio ya kuwa atafungwa hasa nyie wadau wa mikeka. Mechi itaamuliwa na mabeki zaidi na viungo kwa mbali.
  18. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Man United yafikiria kumrejesha David de Gea

    Miezi mitatu tangu Kocha wa Manchester United, Erik ten Hag amruhusu David De Gea kuondoka inadaiwa kuna uwezekano wa kipa huyo kurejea klabuni hapo ikiwa Andre Onana ataondoka kwenda kwenye michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON). Onana raia wa Cameroon ambaye alisajiliwa kwa Pauni...
  19. BARD AI

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mchezaji wa zamani wa England na Man United, Sir Bobby Charlton afariki dunia

    Mchezaji huyo mkongwe amewahi kuisadia Timu ya Taifa ya England kwa kucheza Mechi 106 na kufunga Magoli 49, pia alicheza michezo 758 na kufunga Magoli 249 katika kipindi cha miaka 17 akiwa mchezaji wa Manchester United, akishinda Kombe la Europa, Mataji 3 ya Ligi na Kombe la FA Baada ya...
  20. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Man United kuongeza ulinzi Uwanja wa Old Trafford ili kudhibiti wanaowapinga wamiliki wa klabu

    Uongozi wa Manchester United unatarajia kuongeza ulinzi katika mchezo ujao dhidi ya Copenhagen katika Ligi ya Mabingwa Ulaya kwenye Uwanja wa Old Trafford ili kudhibiti mashabiki wanaodaiwa kujipanga kufanya vurugu. Inadaiwa kuna kundi la mashabiki linalopanga kuonesha hisia za kuchukizwa na...
Back
Top Bottom