Desemba 23, 2023 chungu kwa Man United, yapigwa 2-0 na West Ham

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,308
5,460
Ikicheza mchezo wake wa 18 katika Premier League msimu huu wa 2023/24, Manchester United imepoteza kwa magoli 2-0 dhidi ya West Ham United, ikiwa ni mchezo wa 8 kupoteza katika Ligi hiyo.

United ambayo imeshinda mchezo mmoja tu kati ya mitano iliyopita katika EPL, inazidiwa pointi 11 na vinara WA Ligi hiyo, Arsenal ambayo inatarajiwa kucheza baadaye dhidi ya Liverpool.

Mchezo ujao United ni dhidi ya Aston Villa ambayo imekuwa na matokeo mazuri msimu huu ikishika nafasi ya pili.
 
Man u ilishajifia kitambo.inasindikiza tu.na tajiri kasimika hivyo hivyo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom