Insecure man - Mwanaume asiejiamini ushawahi ku date nae?

Ivi ushakutanaga na mwanaume ambae yuko insecure, hajiamini?

ikawaje?

ulitemana nae vepe?

ulitemana nae baada ya muda gan?

Hadithi kamili pita kwa youtube channel yangu¹
Mm ninautaratibu wangu na misimamo yanyu nilishajiwekea tangu teenager mwanamke nakuacha kwa mambo mawili tu uchawi na uzinzi basi mambo mengine ni yakurekebishana tu so hata kama unakipato kunizidi hakuna shida kwanza ndio naona kama nimepata mtu wa kunichallenge na mm nipambane mara 100 zaidi niwe comfortable kwenye mahusiano..
 
Aminaaaa mtumishi
 
Back
Top Bottom