Man Utd haitofungwa leo na Man City

Andre-Pierre

JF-Expert Member
Nov 4, 2019
328
1,209
Kutokana na elimu yangu ya unajimu niliyoachiwa na marehemu Sheikh Yahaya, Man Utd leo atashinda au atadroo.

Hivyo punguzeni matarajio ya kuwa atafungwa hasa nyie wadau wa mikeka.

Mechi itaamuliwa na mabeki zaidi na viungo kwa mbali.
 
FB_IMG_16985375101250557.jpg
 
Dhambi ndogo ndogo zitawapeleka wengi motoni.

Mbona yamesalia masaa machache tu mchezo uchezwe.
Kwanini uteseke na kujipa uungu ndani yako

Muda ndiye hakimu wa Kweli yeye huwa anahukumu kwa haki yote

Muda ndio utatwambia ukweli na sivibwengo na ushirikina.

PATHETIC
 
Asipatikane miongoni mwenu mtu yeyote anayefanya uaguzi, mtu yeyote anayefanya uchawi, mtu yeyote anayetafuta ishara za ubashiri, mlozi, mtu yeyote anayewafunga wenzake kwa uchawi, mtu yeyote etafuta ushauri kutoka kwa watu wanaowasiliana na roho, mpiga ramli, au mtu yeyote anayetafuta habari kuhusu wafu. Kwa maana mtu yeyote anayefanya mambo haya ni chukizo kwa Mungu

Kumbukumbu la Torati 18:10-12.
 
Kutokana na elimu yangu ya unajimu niliyoachiwa na marehemu Sheikh Yahaya, Man Utd leo atashinda au atadroo.

Hivyo punguzeni matarajio ya kuwa atafungwa hasa nyie wadau wa mikeka.

Mechi itaamuliwa na mabeki zaidi na viungo kwa mbali.
Mbili nunge hadi sasa dk. 62. Yaani Man City 2 vs Man U 0. Vipi mrithi wa Sheikh Yahaya unasemaje? Au tusubiri hadi dk.90, huenda wakapindua meza.
 
Dhambi ndogo ndogo zitawapeleka wengi motoni.

Mbona yamesalia masaa machache tu mchezo uchezwe.
Kwanini uteseke na kujipa uungu ndani yako

Muda ndiye hakimu wa Kweli yeye huwa anahukumu kwa haki yote

Muda ndio utatwambia ukweli na sivibwengo na ushirikina.

PATHETIC

HATIMAYE MUDA UMETOA MAJIBU MCHEZO UMEKWISHA KWA MANCHESTER UNITED ULIYEMPIGIA USWAHILI AMEFUNGWA 3-0

FULL TIME.

MANCHESTER CITY 3.
MANCHESTER UNITED 0

muwe mnaficha aibu kama hizi.

FICHA UPUMBAVU WAKO
 
Back
Top Bottom