mambo

The Museo d'Arte Moderna di Bologna or MAMbo is a purpose-designed museum of modern and experimental art in Bologna, Italy. The Museo Morandi, which displays a large collection of works by Giorgio Morandi, is temporarily housed in a part of it.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Waziri wa mambo za nje wa Kenya amewasili Mogadishu kwa mazungumzo na jirani

    Hakuna nchi ambayo Kenya imekuwa na mahusiano hasi nayo kushinda Somalia. Nafurahi kuona hatua zikichukuliwa na pande zote mbili kurudi mezani na kufanya mazungumzo. Mazungumzo ni muhimu katika kuleta upatanisho kati ya nchi hizi mbili.
  2. I

    JamiiForums Tanzania Mambo muhimu ya kuzingatia unapomualika mpenzi nyumbani kwa first dinner date

    Mpaka unaamua kumkaribisha nyumbani first dinner mpenzi wako ni lazima umemuamini na kuna vitu vimekuvutia kwake. Hii ni nafasi yako ya kujionyesha kwake uhalisia wako. 1. Nyumba iwe kwenye mpangilio mzuri. Hata kama unaishi kwenye chumba kimoja, tandika kitanda na uandae sehemu za kukaa...
  3. JamiiForums Tanzania Nimeliona hili mara Mbili karibu na Jengo la VIP Mortuary ya Lugalo Hospital hasa wakifa Viongozi je, lina maana au 'tunakompliketi' tu mambo?

    Alipokufa Hayati Rais Dkt. Magufuli na Kuhifadhiwa hapo kwa Siku kama Mbili au Tatu hivi barabara ambayo si tu hutumiwa na Wanajeshi lakini hata Raia ( akina GENTAMYCINE ) ilifungwa huku 'Makomandoo' wakirandaranda japo baadhi yao mida ya Usiku tulikuwa tukipishana nao mno tu katika 'Korido' za...
  4. JamiiForums Tanzania Marekani yajitosa kesi ya Freeman Mbowe

    Kukamatwa na kushitakiwa kwa Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe kumeibua mjadala, ambapo nchi ya Marekani imeshauri kuwepo na majadiliano kati ya Rais Samia Suluhu Hassan na vyama vya upinzani. Hayo yameelezwa jana na Naibu Waziri wa Nchi wa Masuala ya Siasa wa Marekani, Victoria Nuland...
  5. JamiiForums Tanzania Tanzania na Marekani kuimarisha ushirikiano

    Marekani imesema itaendeleza kushirikiana na Tanzania katika maeneo mbalimbali ikiwemo Sekta ya Afya. Hayo yameelezwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani anayeshughulikia Siasa, Balozi Victoria Nuland leo Agosti 04, 2021 Akizungumza na Rais Samia Suluhu Hassan, Balozi Nuland pia amesema...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Mambo ya usanifu na mapambo

    Habari jamaa. Ninatumai mko njema. Ningetaka kushare hapa ladhaa yangu kwenye architecture and decoration. Labda mtaipdenda na kupata wazo chache. Nipe maoni yako. Kama hautapenda, haina shida, labda siku itakuja , utabadilika wazo. Kama wewe pia, una elements you want to share with me, karibu...
  7. JamiiForums Tanzania Kwenye Katiba mpya kiwekwe kipengele cha kupima IQ ya Mgombea Urais na Makamu wake

    Zipo namna nyingi mojawapo ni pamoja na kuuliza maswali ya kawaida ya uelewa. Uwezo wakujieleza kwa kuongea na kuandika pia. Umakini katika maandiko na kugundua makosa, ufahamu katika taarifa muhimu za kitaifa, kimataifa, uchumi, afya, siasa na utamaduni. Uelewa wa katiba ya nchi na kufanya...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Taja Mambo Mazuri na Mabaya ambayo Tanzania inaongoza

    Tanzania kama nchi inayo mambo mengi inaongoza. Yapo mazuri na mabaya. Taja mambo ambayo unaona ama unajua kuwa Tanzania inaongoza Afrika Mashariki, Afrika na duniani kwa ujumla. Kwa kuanza.. 1. Tanzania ndiyo nchi yenye wazungumzaji wengi wa lugha ya Kiswahili duniani. Ikifuatiwa na Kenya..
  9. JamiiForums Tanzania Ukiona unafundishwa mambo haya ujue unatatizo la msingi

    Wakuu Kwema!! Taikon sina mengi. Leo ni haya tuu. 1. Ukiona unafundishwa namna ya kuishi na Mumeo au Mkeo, basi jua unatatizo la msingi. 2. Ukiona unafundishwa namna ya kuweka akiba, jua unatatizo la msingi. 3. Ukiona unafundishwa namna ya kutafuta Utajiri, Jua unatatizo la Msingi. 4...
  10. JamiiForums Tanzania Mambo 3 ninayotamani Kila mwanafunzi wa mwaka wa kwanza ayafahamu

    Katika kila hatua mpya ya maisha kuna mambo usiyoyajua kwa sehemu, ambayo ukiyajua na kuzingatia kwa asilimia kubwa yatakuwezesha kuwa na matokeo bora ya maisha tofauti na asiyeyajua kabisa. Katika Makala hii nataka kuzungumza na mwanafunzi mpya wa chuo kikuu na hata wale wanaoendelea na masomo...
  11. JamiiForums Tanzania Baada ya Kutuaminisha kuwa Hukumu ya Bernard Morrison ni leo, hatimaye mambo yawa Magumu kwa Yanga SC mpaka 14 Agosti, 2021

    Ushauri wangu wa bure tu Kwenu huu muda mwingi ambao mnautumia kutaka Kuwaaminisha Mashabiki zenu kuwa mnashinda Kesi dhidi ya Mchezaji Bernard Morrison na leo imegonga mwamba tena kwa Hukumu yake kutolewa mngeutumia katika Kusaka Wachezaji wazuri wa Kukiimarisha Kikosi chenu Kibovu. Ndani ya...
  12. W

    JamiiForums Tanzania SoC01 Nguvu ya baadhi ya mambo katika shughuli za kiuchumi

    NGUVU YA BAADHI YA MAMBO KATIKA SHUGHULI ZA KIUCHUMI Nitaeleza ni nguvu gani iliyo ndani Ya baadhi ya mambo kwa wewe unaesoma nakala hii ambayo unaweza kuitumia katika Nyanja ya uchumi na ukaleta mabadiliko yako binafsi na jamii kwa ujumla ,sanasana nalenga vijana maana wao ndo wenye...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Mbunge wa Mlimba akikagua Daraja la Sh. Milioni 31 lilojengwa kwa miti

    PICHA YA SIKU: Hili ni Daraja jipya katika Mto Mngeta uliopo katika mji wa Mlimba wilayani Kilombero. Daraja hili limejengwa kwa miezi 7 kwa thamani ya shilingi milioni 31, na limejengwa kwa miti. Pichani ni mbunge wa jimbo la Mlimba, Godwin Kunambi, akikakagua mradi.
  14. JamiiForums Tanzania Benki ya Posta mna mambo ya kizamani. Mnataka viambata vingi kutoka kwa Watumishi ili muwakopeshe. Ambao hatutaki usumbufu tutaendelea kuwakimbia

    Wiki iliyopita nilienda Benki ya Posta kuomba mkopo ili nifanye miradi yangu. Dhamana kuu ni mshahara wangu. Sasa cha ajabu naambiwa nilete Picha zangu Barua yangu ya mkono Nakala ya kitambulisho cha NIDA NAKALA YA KITAMBULISHO CHA KAZI. Barua ya mwajiri Barua ya kuajiriwa Barua ya...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Pale Rais Samia anapoazima mbinu za Sabaya ili kufanikisha mambo yake

    Sabaya analaumiwa na wananchi namna alivyokuwa akitumia mbinu za kubambikizia watu makosa ya uongo ili apate anachokitaka. Wakati mwingine alikuwa tayari hata kublackmail watu kwa kuwapandikizia madawa ya kulevya ili awatoze pesa. Samia alivyoingia madarakani, tulimuona kama Mtenda haki...
  16. JamiiForums Tanzania Watanzania na kupinga vitu vipya bila elimu yake

    Nawasalimu katika jina la jamhuri ya muungano wa Tz (Hata usipojibu mi naendelea tu) Mwanzoni mwa miaka ya 2000 wakati Tv ndo zinapata umaarufu hapa nchini watu walipinga sana hii issue wakisema itatuharibu macho, maadili na pia ni kazi ya shetani Wakati simu za mkononi zinashika kasi pia watu...
  17. JamiiForums Tanzania Mambo ya kuzingatia kabla hujaanzisha biashara

    Ninaongelea hizi biashara ndogo ambazo hazihitaji uwekezaji mkubwa au kuajiri wataalamu wa kukusaidia mambo ya marketing, accounts ana vitu vingine. 1. Angalia unachoweza kufanya kutoka moyoni mwako, mfano kushona, kupika, kusafisha nyumba na kupamba. Wewe mwenyewe ni mzuri kiasi gani katika...
  18. I

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali hufanya mambo nyeti bila kupata public opinion?

    Inashangaza na kusikitisha lakini ni kweli. Serikali imekuwa ikijiita sikivu lakini nyuma ya pazia masuala mengi tu yanayohitaji public opinion kabla ya yamekuwa yakitekelezwa kienyeji. Tozo miamala ya simu Chanjo ya korona Kitabu cha historia ya tanzania Ununuzi wa ndege SGR endelea... Kwa...
  19. E

    JamiiForums Tanzania SoC01 Teknolojia ndio sulushisho la mambo yote yanayotukabili hapa nchini Tanzania kuanzia ajira, afya, elimu nk.

    Suluhisho la kudumu kuhusu changamoto nyingi zinazotukumba hapa nchini zinaweza kupunguzwa kwa kiasi kikubwa kwa kuwekeza kwenye teknolojia. Leo nitazungumzia teknolojia kwenye nyanja tofauti tofauti kama vile kwenye ajira, afya,kuleta nidhamu kazini,vyuoni,kuongeza mapato serikalini ,kupunguza...
  20. JamiiForums Tanzania Hakuna Pro-CCM mwenye uwezo wa kujadili mambo ya maana hadi sasa

    Hili liko wazi kabisa, CCM wote ni low minded pakubwa sana, huwezi kusikia wanakuja na mijadala makini yenye maslahi kwa Taifa, huwezi kamwe kuwasikia wakijadili kuhusu hatma ya Taifa, huwezi kuwasikia wakizungumzia mapungufu ya Katiba, huwezi kuwasikia wakizungumzia kwa mfano kuhusu Ujinga wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…