Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 5,360
- 11,510
Zipo namna nyingi mojawapo ni pamoja na kuuliza maswali ya kawaida ya uelewa. Uwezo wakujieleza kwa kuongea na kuandika pia.
Umakini katika maandiko na kugundua makosa, ufahamu katika taarifa muhimu za kitaifa, kimataifa, uchumi, afya, siasa na utamaduni.
Uelewa wa katiba ya nchi na kufanya maamuzi sahihi kwa kuzingatia katiba, sheria, utamaduni, busara na hekima.
Haya mambo nmeona ni muhimu maana kwa sasa every tom,dick and harry could be a president of tanzania provided kuna watu wameamua akae pale.
Unakuja msikia rais anaongea unashangaa, jana alisema hili na leo anasema lile. Unakuta zamani aliwahi fanya/sema lile leo anasema hili. Rais hajielewi hata urais unataka aweje.
Hafahamu katiba inamtaka aamue vipi. Anayumba anaendeshwa,ana mihemko hayupo smart katika mambo mengi.
Hii inasababisha Taifa liwe na Rais ambaye tutamtetea ana shauriwa vibaya, anahujumiwa na hajazoea bado urais.