mambo

The Museo d'Arte Moderna di Bologna or MAMbo is a purpose-designed museum of modern and experimental art in Bologna, Italy. The Museo Morandi, which displays a large collection of works by Giorgio Morandi, is temporarily housed in a part of it.

View More On Wikipedia.org
  1. Beberu

    JamiiForums Tanzania Watanzania na kupinga vitu vipya bila elimu yake

    Nawasalimu katika jina la jamhuri ya muungano wa Tz (Hata usipojibu mi naendelea tu) Mwanzoni mwa miaka ya 2000 wakati Tv ndo zinapata umaarufu hapa nchini watu walipinga sana hii issue wakisema itatuharibu macho, maadili na pia ni kazi ya shetani Wakati simu za mkononi zinashika kasi pia watu...
  2. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Mambo ya kuzingatia kabla hujaanzisha biashara

    Ninaongelea hizi biashara ndogo ambazo hazihitaji uwekezaji mkubwa au kuajiri wataalamu wa kukusaidia mambo ya marketing, accounts ana vitu vingine. 1. Angalia unachoweza kufanya kutoka moyoni mwako, mfano kushona, kupika, kusafisha nyumba na kupamba. Wewe mwenyewe ni mzuri kiasi gani katika...
  3. I

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali hufanya mambo nyeti bila kupata public opinion?

    Inashangaza na kusikitisha lakini ni kweli. Serikali imekuwa ikijiita sikivu lakini nyuma ya pazia masuala mengi tu yanayohitaji public opinion kabla ya yamekuwa yakitekelezwa kienyeji. Tozo miamala ya simu Chanjo ya korona Kitabu cha historia ya tanzania Ununuzi wa ndege SGR endelea... Kwa...
  4. E

    JamiiForums Tanzania SoC01 Teknolojia ndio sulushisho la mambo yote yanayotukabili hapa nchini Tanzania kuanzia ajira, afya, elimu nk.

    Suluhisho la kudumu kuhusu changamoto nyingi zinazotukumba hapa nchini zinaweza kupunguzwa kwa kiasi kikubwa kwa kuwekeza kwenye teknolojia. Leo nitazungumzia teknolojia kwenye nyanja tofauti tofauti kama vile kwenye ajira, afya,kuleta nidhamu kazini,vyuoni,kuongeza mapato serikalini ,kupunguza...
  5. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Hakuna Pro-CCM mwenye uwezo wa kujadili mambo ya maana hadi sasa

    Hili liko wazi kabisa, CCM wote ni low minded pakubwa sana, huwezi kusikia wanakuja na mijadala makini yenye maslahi kwa Taifa, huwezi kamwe kuwasikia wakijadili kuhusu hatma ya Taifa, huwezi kuwasikia wakizungumzia mapungufu ya Katiba, huwezi kuwasikia wakizungumzia kwa mfano kuhusu Ujinga wa...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe, nchi kuongozwa na Mwanamke siyo fursa ya kutaka mambo kwa pupa

    Kuna wakati kila jambo linahitaji kufikiriwa kwa undani sana, kila mtu katika taifa ana haki yake lakini katika kudai haki yako kuna taratibu nyingi za kufuata pamoja na kufanya uzingativu hivyo ukikosea katika utaratibu huo basi haki yako inageuka kuwa kaa la moto hata kama ni jambo la faida...
  7. Hamayser hamisi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mambo 5 ya kuyajua kwenye mapenzi pindi yanapobadilika usipate athari kubwa

    Hukizunguzia mapenzi hakuna yaliyomuacha kila mtu yamemgusa kwa namna moja au nyingine. hapa chini nmeandika mambo 5 ambayo unatakiwa kuyajua ili uhepukane na athali kubwa za mapenzi. 1) MWAMINI MWENYEZI MUNGU Ukimuamini mwenyezi mungu utakuwa mtu wa subla, na subla...
  8. Kifaru86

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kabla ya kuoa ni mambo gani mnatakiwa kuzingatia wewe na mchumba wako

    Wakuu nina mpango wa kuoa ifikapo mwakani ila naombeni muongozo ni mambo gani ya kuzingatia wewe na mpenzi wako kabla ya kufikia hatua ya kuoana? Kwa wale mnaofahamu nitashukuru mkinipa mwongozo.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Mambo ya Ndani asonga ugali wa wafungwa katika gereza la Isupilo wilayani Mufindi mkoani Iringa

    Hawa ndio viongozi wa kuivusha Tanzania! Waziri wa Mambo ya Ndani, George Simbachawene, akisonga na kula ugali wa wafungwa katika Gereza la Isupilo, Wilayani Mufindi, Mkoa wa Iringa, alipolitembelea gereza hilo katika ziara yake ya kukagua utendaji kazi wa taasisi zake mkoani humo.
  10. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Clouds 360: Mahojiano na Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa, akifafanua mambo mbalimbali

    "Hayati Magufuli alikuwa anafanya kazi sana. Alikuwa analala akiwa na usingizi tu kama hana basi alikuwa halali. Na asipolala hata sisi hatuwezi kulala". "Rais Samia anafanya kazi sana. Ukiona anapanda ndege anashuka unaweza ukahisi ni maisha mazuri lakini hapumziki. Tuna bahati ya kuwa na...
  11. Ndokeji

    JamiiForums Tanzania Serikali angalieni suala la Tanesco, maji , miamala na vifurushi vya simu

    TANESCO hili shirika limekuwa likilalamikiwa na watu katika changamoto mbalimbali 1) Kufunga nguzo Bila kuunganisha 2) Rushwa kwa surveyor ili watembelee eneo husika 3)USambazaji wa Nguzo umeanza kudolola 4)Customer care Mbovu mfano mzuri Nyakato Mwanza wanamajibu ya ovyo kweli kuanzia Manager...
  12. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mambo unayopaswa kuyafahamu kuhusu mahusiano na ndoa

    1. Mwanaume kuna aina fulani ya wanawake kwa namna yoyote ile uliyotakiwa uwaepuke. Wanawake wanaodhani uzuri wao ni zaidi kuliko tabia zao. 2. Mwanamke Tafuta mwanaume atakukuongoza na kumtumikia Mungu, sio yule atakayekumbusha kutaka ngono pekee. 3. Mwanaume Usimpe MIMBA mwanamke kabla ya...
  13. V

    JamiiForums Tanzania Ulaji wa Panya mikoa ya Kusini: Safari yangu ya siku 37 ilivyonifungua mambo mengi

    Safari yenye takribani kilomita 600+ hadi Mkoani Mtwara wilaya ya Masasi kijiji cha Nangoo napata fursa ya kuifahamu jamii ya watu wa mikoa hii japo kwa uchache. Nikiwa eneo hilo nilipata fursa ya kufahamu baadhi ya tamaduni za kule, baadhi tu kama vile Unyago na aina ya vyakula ambavyo vipo...
  14. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Kama nguvu kubwa ikitumika kunyamazisha mijadala Basi Mambo yanarudi Kama awali

    Ukiona hakuna Uhuru wa kukutana Hadi vikao vya ndani ujue Hali unarudi kuwa ngumu soon as possible. Kuna unafuu ulianza kuonekana kwenye uchumi. Watu kuachiwa, kesi kufutwa, Wakulima kulipwa mazao ya biashara kwa keshi haswa pamba na Bei kupanda kutoka 800 kilo Hadi 1500. Ilikuwa NI dalili...
  15. Tusker Bariiiidi

    JamiiForums Tanzania Dar: Mauaji Lemax Bar Sinza kwa Remmy. Kabla ya kujiua, Alex Korosso alimpiga risasi Gift Mushi

    Watu wawili wamefariki Dunia jioni hii Saa 11...baada ya Jamaa anayejishughulisha na Biashara ya Madawa ya Binadamu Alex Koroso kumpiga risasi Jamaa ambaye jina lake halijajulikana lakini anasadikika ni Mziba Pancha wa Maeneo hayo na kisha yeye kujiua kwa kujipiga Risasi kwenye shingo na...
  16. Ethan Cruz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mambo ya kuzingati wakati unamnunulia msichana zawadi

    MAMBO YA KUZINGATI WAKATI UNAMNUNULIA MSICHANA ZAWADI 1. Vyema ufahamu aina gani ya zawadi msichana hupendelea. Yaani inafaa ujue interest za msichana wako. 2. Zawadi utakayompatia isiwe chakula au kinywaji atakachokimaliza na isibaki kumbukumbu ya kudumu kuwa uliwahi kumpa zawadi. Jiahidi...
  17. hp4510

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mtaalam wa mambo ya sacket

    Wakuu habarini za kazi Nina Gari yangu ni Fuso Super great, ilikuwa na shida ya kukosa nguvu ikitembea Kwa kilometres kadhaa. Sasa fundi amekuja kupima akasema kuna baadhi ya sacket kwenye control box zimekufa. Sasa naomba msaada wa mtaalam yoyote wa mambo ya electronics ambae anaweza...
  18. David M Mrope

    JamiiForums Tanzania Je, umemaliza chuo na unataka ujiajiri?

    Mhitimu wa chuo kikuu ni mtu mwenye elimu ya juu kulinganisha na sehemu kubwa ya jamii. Hawa watu wanakitu cha kipekee japo wengi wao wamefumba. Sasa haya ndio mambo makuu,ya kukusaidia ujitambue na ujiajiri. 👉TENGENEZA NJIA YA ZIADA KATIKA MAISHA. Hii ni hatua ya kwanza kabisa,jaribu kuwaza...
  19. 6WaS9

    JamiiForums Tanzania Changamoto za safari nje ya nchi na covid19 | delta, chanjo, cheti mambo yako vipi?

    Habari, Kufuatia wimbi jingine la ugonjwa huu na maambukizi mapya ya covid19 delta. Baadhi ya Nchi zimeingia kwenye travelling ban , mfano nchi kadhaa zimeiban India , Kenya na nyinginezo kusafiri... Karibu uwasilishe changamoto zozote ulizokutana nazo hivi karibuni kama ulisafari kutoka tz...
  20. T

    JamiiForums Tanzania CCM ifanye nini ili hata isipoondoka madarakani iwe ni sawa tu?

    Kuna kila dalili kwamba CCM itaendelea kututawala watanzania kwa namna yoyote kwa miaka mingi ijayo, na ukizingatia kwamba mtaani njaa ni kali sana. Hata kama ingekua ni wewe ndugu yangu, katika mazingira kama ya Tanzania ambapo chama tawala kinahodhi kila kitu serikalini, ungeacha kutumia...
Back
Top Bottom