Tetesi: Shamsi Vuai Nahodha Kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani tena?

Changalucha

JF-Expert Member
Oct 19, 2011
503
580
Mwanasiasa huyu kutoka visiwani aliwahi kushika wadhifa wa juu kabisa katika Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar alipoteuliwa na Rais Aman Abeid Karume mnamo mwaka 2000 kuwa Waziri Kiongozi wa SMZ akiwa na umri wa miaka 38.

Mnamo mwaka 2010-2015 aliteuliwa na Rais Jakaya Kikwete kuwa mbunge (wa kuteuliwa) na baadaye Waziri wa Mambo ya Ndani wa Serikali ya Muungano.

Wakati tukisubiri taarifa ya Tume maalumu iliyoundwa kufuatiliaji mauaji yaliyofanywa na Polisi kwa kijana mfanyabiashara wa madini baada ya kuporwa mamilioni ya fedha zake na polisi huko Mtwara (na kwingineko), mabadiliko makubwa yanatarajiwa na watanzania kufanyika katika Wizara ya Mambo ya ndani na Jeshi la Polisi hapa nchini.

Je, Uteuzi huu wa Mbunge Shamsi Nahodha ni maandalizi ya kushika tena nafasi ya Wizara hiyo?
 
Nimekumbuka komenti hii!mtu humble,intelligent,calm,visionary,patriotic atafanikisha next stage!

Pia nimekumbuka hii!!"hatma' ya ujumbe ipo katika Raisi ambae hamjawahi kugombea ilitokea Marekani itatokea na kwetu pia!

SIJUI KWANINI NIMEWAZA HIVI!

Waziri kiongozi wa smz na Waziri wa mambo ya ndani vinambeba Sana!!
 
Mwanasiasa huyu kutoka visiwani aliwahi kushika wadhifa wa juu kabisa katika Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar alipoteuliwa na Rais Aman Abeid Karume mnamo mwaka 2000 kuwa Waziri Kiongozi wa SMZ akiwa na umri wa miaka 38.

Mnamo mwaka 2010-2015 aliteuliwa na Rais Jakaya Kikwete kuwa mbunge (wa kuteuliwa) na baadaye Waziri wa Mambo ya Ndani wa Serikali ya Muungano.

Wakati tukisubiri taarifa ya Tume maalumu iliyoundwa kufuatiliaji mauaji yaliyofanywa na Polisi kwa kijana mfanyabiashara wa madini baada ya kuporwa mamilioni ya fedha zake na polisi huko Mtwara (na kwingineko), mabadiliko makubwa yanatarajiwa na watanzania kufanyika katika Wizara ya Mambo ya ndani na Jeshi la Polisi hapa nchini.

Je, Uteuzi huu wa Mbunge Shamsi Nahodha ni maandalizi ya kushika tena nafasi ya Wizara hiyo?
Kwani Aliyopo ANAENDA WAPI?
 
Okay
 
Asalaam Aleikum
 
Time will tell!
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom