mambo

The Museo d'Arte Moderna di Bologna or MAMbo is a purpose-designed museum of modern and experimental art in Bologna, Italy. The Museo Morandi, which displays a large collection of works by Giorgio Morandi, is temporarily housed in a part of it.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hivi stendi ya daladala Sabasaba Dodoma wameshindwa kuwatenganisha wauza bidhaa za sokoni na parking za daladala?

    Nashindwa kuelewa, yaani eneo la nyuma ya stendi kuna soko la vyakula, ila cha ajabu sehemu zinapopark daladala zimezungukwa kwa kupangwa nyanya, viazi, machungwa nk. Yaani njia ya kupita shida pindi unapanda daladala, hata madereva wanalalamikia hili. Pia hupelekea watu kupigana kwa kunyaga...
  2. JamiiForums Tanzania Kocha Nabi wa Yanga SC ni kama Kocha wa Simba SC naye anasubiri ruhusa (Approval) ya CAF

    Taarifa za uhakika zinasema kocha Nasreddine Mohamed Nabi, naye anasubiri ruhusa (Approval) ya CAF kumuwezesha kukaa kwenye benchi hapo kesho kwenye mchezo wa Champions League. Nabi ambaye msimu uliopita alikaa benchi kwenye mechi 2 dhidi ya Rivers United ana vyeti vya UEFA 'A' na UEFA-Pro...
  3. J

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mambo muhimu ya kuyafahamu kabla ya kuomba wazo la biashara mtandaoni

    Nifanye biashara gani? Nipeni wazo la biashara, nina mtaji wa milioni mbili nifanye biashara gani? Naomba wazo la biashara, biashara gani inayolipa? Haya ni maswali ambayo watu wengi hasa vijana wamekuwa wakiuliza au kuomba ushauri kupitia mitandao ya kijamii. Kuomba wazo la biashara mtandaoni...
  4. JamiiForums Tanzania Putin ashinda Vita ya kiuchumi kati yake na Ulaya: CEO wa kampuni ya mambo ya uchumi Ulaya asema Ulaya inaelekea kwenye mgogoro mkubwa wa kiuchumi

    Hatimaye Putin ameshinda Vita ya kiuchumi kati yake na Ulaya.C.E.O wa kampuni kubwa kabisa ya mambo ya uchumi Ulaya asema,"Ulaya hatimaye inaelekea katika mgogoro wa kibenki, kuanguka kwa viwanda, kaya na uchumi.Hii ni katika "wiki chache tu zijazo" amesema. 07 SEPTEMBA 2022  Tuomas Malinen...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Festo Sanga wewe ni mbunge mzuri sana usijiingize kwenye mambo ya Makamba yatakuchafua

    Mbunge wa Makete, Festo Sanga achana na mambo ya kushabikia mambo yasiyoeleweka ya Waziri wa Nishati, Januari Makamba yatakuharibia sifa uliyoanza kuijenga kwa wananchi wako. Jana wakati mjadala unaendelea kuhusu gharama za kuunganisha umeme, ulipost kwenye akaunti yako ya Instagram ukiituhumu...
  6. JamiiForums Tanzania Usahili: Tutorial Assistant, Kuna baadhi ya mambo kuhusu written interview ningependa kufahamishwa

    Habari za wakati huu my virtual family JF Nikienda moja kwa moja kwenye mada nina interview hivi karibuni ya TA(Tutorial Assistant) katika institute X kwahiyo naomba kufahamishwa kuwa hizi interview zinakuwa vipi. Accounting & Finance Hasa nazungumzia written tunayoanza nayo na oral pia...
  7. JamiiForums Tanzania Mambo kumi ya kuzingatia kwenye Blog yako kabla ua kuanza rasmi

    Hello, natumai mu wazima. Kwenye kujaribu kuiongelea Blogging kwa kina, kutokana na maombi ya baadhi ya wadau, nimeona mwanzo kabisa uwe na Basics, na hapa ntaongelea mambo ambayo utahakikisha umeyaweka sawa kabla hujaendelea na swala zima la Blogging. Mengi ya haya mambo yatakua sio mageni...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Mambo 10 yaliyofanyika katika Wizara ya Elimu ndani ya muda mfupi

    Tangu alipoingia madarakani juhudi za Rais Samia Suluhu katika kuboresha huduma kama vile Elimu, Afya na upatikanaji wa Maji safi na salama ni vipaumbele vilivyo wazi. Baadhi ya jitihada muhimu zilizofanyika ndani ya muda mfupi katika sekta ya Elimu ni pamoja na; 1. Ujenzi wa Shule mpya za...
  9. JamiiForums Tanzania Kutomsifia mpenzi wako ni kutengeneza urahisi wa kuachwa au kusalitiwa

    Unachohitaji kujua: Kinachosababisha mapenzi/mahusiano kufa wala sio mambo makubwa sana bali ni usimamizi mbaya wa kila siku wa mambo madogo madogo ya maisha. Hayo mambo unayoyaona kuwa madogo ndio mambo makubwa. Mfano, mawasiliano kati yenu, kujali, zawadi za hapa na pale kama maua, pipi...
  10. JamiiForums Tanzania Ogopa mambo haya matatu!

    Ogopa mambo haya matatu! Anaandika, Robert Heriel. Yawezakana kuna mambo yanakuogopesha sana katika maisha yako. Lakini lazima uelewe kuwa yapo mambo makuu unayopaswa kuyaogopa Sana, tena Sana! Mambo hayo ni: 1. Dhambi 2. Umasikini 3. Ujinga 1. Dhambi/Uovu/ uhalifu Katika maisha yako ogopa...
  11. JamiiForums Tanzania Mambo ipo huku

    Tanzania: Exchange rate to USD
  12. JamiiForums Tanzania Mageuzi yanaanzia juu. Je, Waziri wa Mambo ya Ndani yupo tayari kwa mageuzi?

    Kama kuna ajenda ambyo Mheshimiwa Rais wetu ameivalia njuga basi ni mageuzi kwenye vyombo vya ulinzi na usalama pamoja ni mifumo ya utoaji haki! Katika hilo wanao nyooshewa sana kidole hadharani ni Jeshi la polisi, magereza pamoja na kidogo mahakama. Na huko sirini inawezekana kuna wengine...
  13. JamiiForums Tanzania Tetesi: Waziri wa Kilimo aliagiza hivi kama sharti la kunufaika na pembejeo?

    Baadhi ya wilaya wanaoenda kujiandikisha kupata kunufaika na pembejeo wanaambiwa wawe na laini ya Voda na wanatakiwa kupiga picha. Mh wWaziri wa Kilimo tunaomba ufafanuzi upya kuhusu utaratibu tafadhali kuna watu wanajifanya miungu watu huku mtaani.
  14. E

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mila kandamizi katika jamii

    Jamii tunayoishi imekuwa na mambo mengi ya kustaajabisha ambayo ukikaa kuyatafakari Kwa undani yanatokana na mambo ya kimila, watu wamekuwa wakiishi Kwa mateso wakijua hayo ndio maisha Yao kumbe ni Mila gandamizi, mfano huku kwetu Kusini kumekuwa na Mila za kupeleka watoto wadogo umri wa miaka...
  15. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kule Kenya mambo ni moto

    Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi ya Kenya IEBC bwana Wafula Chabukati katika kiapo chake mbele ya Mahakama ya juu Kwenye kesi ya kupinga matokeo ya Urais yaliyompa bwana Ruto Ushindi alidai kwa alishinikizwa na deep state kubatislisha matokeo ya Urais. Hata hivyo hali ya hewa...
  16. JamiiForums Tanzania Messi hajaacha mambo yake, hatari sana.

    Huyu mwamba bado anaendeleza ubabe wake, huyo mchezaji nimemuonea huruma 😀😀 Kweli mpira una mtii huyu fundi Kwangu mimi MESSI ni Best player ever ever ever.. ibanezafrica
  17. J

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mambo 10 muhimu ya kuyajua ili uweze kuajirika ama kujiajiri mapema

    ZINGATIA HAYA KIJANA ILI UWEZE KUAJIRIKA AMA KUJIAJIRI MAPEMA Wimbi la ukosefu wa Ajira ni kubwa duniani kote sio tu Tanzania. Ni tatizo linalohotaji suluhisho la kimkakati ili kulipunguza kama sio kuliondoa kabisa. Wasomi kwa sasa ni wengi na kila mwaka wanaohitimu vyuo kwa ngazi mbalimbali ni...
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mambo 10 ambayo Magavana wa Kenya Hawaruhusiwi kufanya

    Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi (EACC) imebuni kanuni zitakazoweka kikomo na kuelekeza kile Magavana 45 walioapishwa hivi karibuni wanaweza kufanya na wasichoweza kufanya wanapokuwa Ofisini Kupitia Sheria ya Uongozi na Uadilifu, Magavana hawataruhusiwa kufanya biashara kama vile raia...
  19. JamiiForums Tanzania Mambo mamboo.. shida hizi!

    Huwa ni makusudi kabisa. Uchokozi
  20. JamiiForums Tanzania Video: Changamoto za makadirio ya kodi na Tozo na upigaji tra

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…