mambo

The Museo d'Arte Moderna di Bologna or MAMbo is a purpose-designed museum of modern and experimental art in Bologna, Italy. The Museo Morandi, which displays a large collection of works by Giorgio Morandi, is temporarily housed in a part of it.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Takwimu zinaonesha yapo mambo ya kuipongeza Serikali na yapo ya kuisaidia ili tupige hatua zaidi

    Kwa mujibu wa takwimu za Nguvukazi na soko la ajira Tanzania (Bara na Visiwani) mwaka 2021/2022 lipo jambo ambalo tunapaswa angalau kuona jitihada na kulisema kwani ni hatua ya kuonesha jitihada za makusudi kufikia lengo. Takwimu zinaonesha umasikini Nchini Tanzania ulishuka kutoka asilimia...
  2. JamiiForums Tanzania Mambo unayotakiwa uyajue kwenye ndoa

    MAMBO UNAYOTAKIWA UYAJUE KWENYE NDOA. Anaandika, Robert Heriel i. Ndoa ni taasisi nyeti inayounda serikali ndogo iitwayo Familia. ii. Serikali(familia) lazima iwe na muundo wa utawala na mamlaka. Nature imempa Mwanaume nafasi ya kuwa Mtawala. Hivyo Baba ndiye Mtawala, Rais, alafu Mama ndiye...
  3. JamiiForums Tanzania Haya ndio mambo tunayoyahitaji-Balance of Power!

    Urusi, Afrika Kusini na China kuanza mazoezi ya kijeshi February 23. Urusi, Afrika Kusini zatetea mazoezi ya kijeshi na China Afrika Kusini na Urusi zimetetea uamuzi wa kufanya mazoezi ya pamoja ya kijeshi na China mwezi Februari, huku Waziri wa Mambo ya Kigeni wa Urusi, Sergei Lavrov, akianza...
  4. JamiiForums Tanzania Nimepiga chabo vitabu vya mchungaji, karibu 90% ni jinsi ya kutatua mambo ya ndoa

    Nilitegemea nikute vitabu Vingi vya Imani, kukwida na kufurusha mapepo cha ajabu karibu vyote vinahusu ndoa na migogoro. Wajumbe mtulie katika mahusiano mnawatoa mitume na wachungaji kwenye fokasi, wanaacha kujifua mambo ya maana ya kwenda mbinguni wanaishia Kutafuta namna ya kutatua migogoro...
  5. JamiiForums Tanzania Kijana mtaalam wa mambo ya chips na kuku anahitajika

    Kijana mtaalam wa kutengeneza na kuandaa kuku choma, lemon, sekela, na Aina zingine za kuku, Pia mwenye utaalamu mkubwa wa kuandaa na kutengeneza chips Kali, mzuri, Na kuandaa Yale makorombwezo masalad, makachumbari, ma ukwaju pilipili and mambo kama hayo Mtu mwenye rafiki au ndugu au kama...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Jifunze mambo yanayosababisha ushindwe kufanya jambo kwa viwango vikubwa

    Habarini, Ningependa tujifunze baadhi ya makosa tunayoyafanya,na husababisha tushindwe kufanya mambo kwa viwango vikubwa. Ningependa kutumia kitabu cha ONE THING. Kitabu kinachoelezea kuwa umuhimu wa kufanya mambo kwa mpangilio. Suala ni kwamba wote huwa tuna malengo,ila malengo au ndoto zetu...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Mambo yaiva ujio wa ndege tano zilizonunuliwa na serikali

    Ndege mpya moja kati ya tano ambazo serikali iliahidi itazinunua, inatarajia kuwasili nchini Machi au Aprili, huku nyingine nne zilizobaki zikitegemewa kuwasili nchini kwa nyakati tofauti mwaka huu. Aidha John Nzulule, Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ndege za Serikali (TGFA) anasema maendeleo ya...
  8. JamiiForums Tanzania Mambo ya Kuzingatia ili Wananchi watoe taarifa kwa Uhuru

    Wajibu wa kutoa taarifa juu ya uhalifu ni wa kila mmoja wetu ambaye anajua au amesikia kuhusiana na tukio lolote la kijinai. Tumeona katika makala iliyopita juu ya changamoto zinazowafanya watu au wananchi kutokuwa wepesi kutoa taarifa za uhalifu katika maeneo yao. Leo tunaangalia juu ya mambo...
  9. W

    JamiiForums Tanzania Ila mambo mengine bwana, sasa kuwalazimisha walimu waandike maazimio ya kazi (schemes of work) kwa mkono ndo nini? Inaongeza ufaulu?

    Sijawajua vizuri sana viongozi wa kada zingine, lakini nadiriki kusema hawa wanaopanda ngazi na kuwa viongozi wa walimu hubadilika na kuwa na roho ngumu sana! Katika karne hii ya sayansi na teknolojia, kizazi hiki cha computers ambapo hata vishikwambi vimeanza kufikiriwa kugaiwa kwa kila...
  10. JamiiForums Tanzania CHADEMA mnaweza kuchukua nchi 2025 ila kama mtafanyia kazi mambo yafuatayo

    CHADEMA kina nafasi kubwa sana ya kuchukua nchi iwapo tu itafanyia kazi mambo yafuatayo. 1. Mbowe aendelee kuwa Mwenyekiti. 2. Katibu mkuu awe Heche. 3. Mgombea Urais atoke CCM (Tulizeni kichwa hapa). 4. Kwenye Majukwaa sera zenu ziwe against awamu ya sita na sio awamu zilizopita. 5. Muwape...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha, ni wakati muhimu wa kukaa na wafanyabiashara wadogo kabla mambo hayajaharibika zaidi

    Sielewi ni suala la ukadiriaji wa kodi ndio unawafanya TRA wafunge kwa wingi maduka ya wafanya biashara nchini' sielewi labda TRA wana njama za kumkomoa na kumchonganisha mh Rais ili azidi kuchukiwa zaidi, si kwa kufunga biashara kwa kasi ya ajabu kama hiyo. Lakini, kwani uchumi kwenu ukoje...
  12. JamiiForums Tanzania Mambo niliodharau kwenye uchumba yananitesa ndoani

    Huyu mwanamke nilikua najiona kama najilazimisha kua nae ila sijui ni nini kilichokua kama kinaniforce kuwa nae, kwanza alikua anapenda kudanganya vitu vodogo vidogo, nikimuangalia naona kabisa hafai kuwa na mimi ila sasa sijui shida nini mpaka tukafika mbali, nilipaswa hufikia mwisho kipindi...
  13. JamiiForums Tanzania Miaka ya 30 ya vyama vingi, Ondoeni ruzuku tufanye mambo ya maana

    Katika kipindi cha miaka 30 ya vyama vingi, tumetumia mabilioni ya pesa za walipa kodi ili kusaidia vyama ambavyo vingine haviko tena mitaani. Vingine vipo kama maboya tu ya kupitishia ajenda za watawala. Kwa umri huu vyamna hivi vinatakiwa vijisimamie. Ni aibu kuendelea kuwa na wacheza siasa...
  14. JamiiForums Tanzania Utajiri unaohusisha mambo yoyote ya kishirikina ni ubinafsi na pigo kwa vizazi vyako

    "Satan can't and never gives a free gift" Atakupa wewe muhitaji materialist faraja lakini he must bite back your family later days! Through my studies msaada wowote utolewao na shetani, aidha katika biashara zako, kazini kwako, kwa lengo la promotion au kupanda cheo au biashara itoke kwa nguvu...
  15. JamiiForums Tanzania Nifanye nini ili kesho ninayoiwaza isiwe ya majuto?

    Habari wakuu, Hopefully wengi wenu mpo poa kabisa, Ikiwa basi una itilafu yoyote ya kiafya basi zingatia tiba na Mungu akufanyie wepesi ukae poa kabisa. As you know mimi kijana wenu sasa naelekea kutimiza 23yrs mwaka huu, Sasa lengo la uzi huu ni kwa sababu nafahamu humu kuna watu wengi sana...
  16. JamiiForums Tanzania Kwani wanaume ni mambo gani yanawapa amani mkifanyiwa na wake zenu?

    Wake zenu,siyo wapenz wala wachumba, wake zenu yaani. Amani ndiyo Nuru ya mafanikio kwa MTU yeyote awe mwanaume au mwanamke. Amani humpa nguvu mwanaume ya kuweza kupambana kutafuta pesa kwa ajili ya familia yake. Nyumba ikikosa amani tendo halifanyiki, nguvu za kiume hupungua(stress). Nyumba...
  17. JamiiForums Tanzania Ni jambo gani unatamani ungepata majibu toka kwa kiongozi wako wa aina yoyote ndani ya 2023 ambalo linaongoza kukukera toka 2022?

    Binafsi the most irritating question ambalo nimevuka nalo ni; 1. KADCO ni ya serikali ama si ya serikali? Hili swali linanisumbua sana japo likajitokeza la nyongeza huku tukiwa tunakatiza mwaka nalo ni, KADCO ikitoa ufafanuzi inaongea kwa niaba ya serikali ama kwa niaba yake? Mwenye most...
  18. JamiiForums Tanzania Ila nyie Dunia ina mambo, kuna watu kazi yao kukaa Mahakamani kusubiri wenye kesi wapate chochote!

    Yaani makubwa haya kama hujui kuna mengi ya ajabu sana kwenye hii dunia. Kuna wakati unashangaa Lakini ndio ukweli wenyewe. Binadamu ana namna mbalimbali za kujippatia Riziki. Utakuta vishoka. Hii ya vishoka mahakamani inatia woga. Wakati wewe unahangaika kutafuta Riziki kkwa njia zako wapo...
  19. JamiiForums Tanzania Ambao hamuamini uchawi naomba mnieleze mambo haya hutokeaje?

    Habari wapendwa, Kwa tafsiri yangu ambayo sio rasmi, uchawi ni jambo ambalo huwezi kulielewa kwa akili ya kawaida lakini binadamu hulifanya jambo hilo na hata mtu anaelifanya huwenda hajui hutokea vipi. Jambo hili la uchawi pia haliwezi kuelezewa kisayansi kwasababu sio jambo linalofuata kanuni...
  20. JamiiForums Tanzania Funga mwaka: Ukweli usemwe kuhusu mambo matatu yaliyomshinda Hayati Magufuli

    Habari zenu wana JF wenzangu. Hapo chini ni mambo 10 yaliomshinda raisi Magufuli enzi za uhai wake. 1) Alishindwa kuwa mnafiki 2) Alishindwa kushirikiana na mabeberu walioinyonya nchi yetu 3) Alishindwa kuwasujudia wazungu waliojifanya kutupa misaada mbali mbali ili aruhusu ndoa za jinsia moja...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…