Kwani wanaume ni mambo gani yanawapa amani mkifanyiwa na wake zenu?

To yeye

JF-Expert Member
Oct 4, 2022
28,209
65,805
Wake zenu,siyo wapenz wala wachumba, wake zenu yaani.

Amani ndiyo Nuru ya mafanikio kwa MTU yeyote awe mwanaume au mwanamke. Amani humpa nguvu mwanaume ya kuweza kupambana kutafuta pesa kwa ajili ya familia yake. Nyumba ikikosa amani tendo halifanyiki, nguvu za kiume hupungua(stress). Nyumba inakuwa kama jengo la Mahakama waingia kwa kunyata, kimahesabu.

Sasa kwa kuwa ndani hamueleweki, kila siku kusifia michepuko, kusifia mahousegirl, kusifia viuno vya wanaume wenzenu, wake zenu mnataka tuwatendee nn; ili tulipambanie life mpaka tufanikiwe pamoja na watoto wetu(Tulie kivulini)?
 
Kuna vitu vitatu wanaume wengi wanapenda kutoka Kwa wenzi wao iwe mke, girl friend, mchepuko, etc vitu hivyo ni ni
1. Heshima
2. Nafasi siyo kila mda mke anamchunga chunga, kukagua sim mara miamia, wivu uliopitiliza kutobadili au kuzuia rafiki zake.
3. Se_x Au mbususu, Tena umpe bila masharti Wala kinyongo na isiwe ndio fimbo akikuudhi humpi hapana, pia wakat unampa unampa ushirikiano kama wote.
 
Demand za binadamu hazina kikomo , Binti fanya unachoona sahihi kwako !! Yeye akitaka atakaa akiona haimpendezi ataondoka !

Mungu mwenyewe ameshindwa kuaccomodate mahitaji yetu anajua kabisa tabia ya binadamu haridhiki ukishika hapa anataka huku !! Akakaa mbali ndo maana tunasemaga "utakalo lifanyike duniani kama mbinguni" na "mapenzi yako yatimizwe" atakavyopenda yeye !!

Kwahiyo wewe mtendee kwa uwezo wako ila eti utamkalisha labda apende yeye 😀😀
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom