Miaka ya 30 ya vyama vingi, Ondoeni ruzuku tufanye mambo ya maana

MchunguZI

JF-Expert Member
Jun 14, 2008
4,006
2,166
Katika kipindi cha miaka 30 ya vyama vingi, tumetumia mabilioni ya pesa za walipa kodi ili kusaidia vyama ambavyo vingine haviko tena mitaani. Vingine vipo kama maboya tu ya kupitishia ajenda za watawala. Kwa umri huu vyamna hivi vinatakiwa vijisimamie. Ni aibu kuendelea kuwa na wacheza siasa wengi kuliko hata madaktari tiba tulionao nchini.

Ni wakati sasa Bunge liondoe sheria ya ruzuku. Ondoeni ruzuku ili tujue nani anaweza kusimama peke yake kwa niya yake njema. CCM pia wasitumie nafasi ya serikali kuchota pesa za bajeti kama wanavyofanya huko kwenye serikali za mitaa.
 
Sukuma Gang..hadi 2030 mtaandika nyuzi nyingi sana humu za malalamiko

CCM ndio chama kinachochukua ruzuku kubwa sana licha ya kuwa bado inajichotea kwenye coffers za serikali
Yaani ruzuku za Chadema+act+cuf+nccr hazifikii hata robo ya anachochukua CCM
 
Back
Top Bottom