The Museo d'Arte Moderna di Bologna or MAMbo is a purpose-designed museum of modern and experimental art in Bologna, Italy. The Museo Morandi, which displays a large collection of works by Giorgio Morandi, is temporarily housed in a part of it.
Habari wapendwa,
Kwa tafsiri yangu ambayo sio rasmi, uchawi ni jambo ambalo huwezi kulielewa kwa akili ya kawaida lakini binadamu hulifanya jambo hilo na hata mtu anaelifanya huwenda hajui hutokea vipi. Jambo hili la uchawi pia haliwezi kuelezewa kisayansi kwasababu sio jambo linalofuata kanuni...
Habari zenu wana JF wenzangu.
Hapo chini ni mambo 10 yaliomshinda raisi Magufuli enzi za uhai wake.
1) Alishindwa kuwa mnafiki
2) Alishindwa kushirikiana na mabeberu walioinyonya nchi yetu
3) Alishindwa kuwasujudia wazungu waliojifanya kutupa misaada mbali mbali ili aruhusu ndoa za jinsia moja...
Huu ni mfano mdogo tu unaoonesha hatujui tunachokifanya kielimu!
Tazama majina ya sayari kwa kingereza halafu ulinganishe na kiswahili chake, huu ni mzigo kwa watoto lakini hatuoni kama taifa!
Miaka saba asome majina kwa Kiswahili halafu tena kitu kilekile aje aanze upya kukisoma secondary...
Waziri wa Mambo ya Nje ya Marekani (U.S. Secretary of State) Blinken ameachia orodha ya ngoma alizozizimia kwa mwaka 2022 ambapo miongoni mwa ngoma hizo, ameitaja Yataniua yake Mbosso Khan akimshirikisha Diamond Platnumz aka Simba.
1. Epuka na ujitoe kabisa kutoka katika Kundi la watu wenye mitazamo hafifu juu ya maisha yao.
2. Acha kuwa king'ang'anizi kwa wale waliokutenga katika maisha yako.
3. Kuwa mtu wa haki na upendo hata kwa watu usiowajua.
4. Kuwa mtu wa heshima na upendo kwa kila mtu.
5. Kubali kuishi na watu...
Popote pale, muda wowote haiwezekani kutokea mjadala kuhusu nani ni mchezaji wa soka bora zaidi bila jina la Pele kutajwa.
Mshambuliaji huyo wa Kibrazili amefanya alama yake kuwa mashine ya kufunga mabao ambayo ilitoa mambo muhimu sana, na kasi ya ushindi wa ajabu ambayo ilianzia katikati ya...
Naaam heri ya sikukuu za Krismasi na Maandalizi ya Mwaka Mpya 2023. Achana na mambo ya kulilia jezi nyeusi leo nakupa uchawi wa Yanga walioufanya kwa takribani mwaka mmoja Uchawi namba moja. AZIZ K -baada ya kuisumbua Simba walipokutana na Asec Mimosas...
Anaandika Robert Heriel.
Leo tutajadili ishu ya UONGO dhidi ya UKWELI.
Katika Mantiki/Logic Ipo Hivi;
Ukweli + Ukweli = Ukweli
Ukweli + Uongo = Uongo
Uongo + Uongo = Uongo
Uongo + Uongo = Uongo
Mara nyingi ukweli hujulikana zaidi kwenye matokeo/mwisho wa Jambo au muda.
Ukweli huwaga hauna...
HII NDIO MAANA HALISI YA MWANAUME NI KICHWA CHA FAMILIA
Anaandika, Robert Heriel
Ukiwa kama kijana unayetarajia kuwa Baba, au ambaye tayari ni Baba na upo kwenye Familia yako. Shika Kwanza hizi nyundo;
i. Kuna mambo unapaswa kuwa nayo lakini Mkeo asijue unayo.
ii. Kuna mambo unapaswa kuwa...
Hawa jamaa sijui huvuta bangi ya aina gani, eti hawana historia au desturi ya kuingilia mambo ya nchi za watu, ilhali kule Ukraine wanaiba hadi ardhi.....
Russia has said it is invariably committed to its principle of not interfering in the domestic affairs of other countries, including...
Mimi kama mkristo wa imani ya kikatoliki ninaiomba Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iangalie namna ambayo wasanii wa maigizo muziki nyimbo ngoma nk wanapotaka kufikisha ujumbe kwà jamii unaogusa imani basi watumie imani yao binafsi ili hata ujumbe huo UKIWA hasi basi viongozi wa dini...
Karibuni nyote wanachama wa jukwaa hili.
Kuna mambo makuu mawili ambayo ningependa kuzungumza pamoja nanyi wanachama wa jukwaa hili yahusuyo Ndoa & Mahusiano ya kimapenzi.
Jambo la msingi hasa ambalo ningependa kuligusia ni kuhusu ukosefu wa fikra mpya na zilizo bora ndani ya jamii kupelekea...
Ukiizima kwa Remote baada ya muda unakuta imejiwasha. Sijui shida ni nini. Na ni mpya haijaharibika kitu. Nazima kila napomaliza kuangalia....lakini baada ya sekunde nakuta ipo On.
Ukija kwenye remote nayo ina mauza uza sana. Unaweza ongeza sauti yenyewe ikabadili channel. Ukabonyeza Menu...
Leo majira ya saa 12 jion kwa saa za Afrika Mashariki kutakua na tukio la kidunia pale Nchini Qatar. Mchezo wa leo utapigwa katika Dimba la Lusail.
Match itakua baina ya Miamba ya Ulaya France dhidi ya Miamba ya Amerika kusini Argentina.
Katika kuelekea Fainali hii yafuatayo ni mambo 5 Ya...
Nina ushahidi tosha juu ya ulimwengu wa kiroho sana ila sasa ningependa kukushirikisha juu ya watoto wa kiroho na jinsi wanavyopatikana .
Mara nyingi wanapatikana katika ndoto pale unapoota unazini au unafanya mapenzi huwa no kweli katika ulimwengu wa kiroho na unapata watoto kabisa niamini...
Mkurungenzi wa TBC, Dr Ayuob Ryoba amesema nchi nyingi duniani hutumia teknolojia kudhibiti baadhi ya mambo.
Amesema hayo akijibu hoja ya mmoja wa washiriki wa Kongamano la Maendeleo ya Sekta ya Habari ambaye alihoji nini kilitokea 2020 Oktoba ambapo mitandao ya kijamii ilikuwa haipatikani...
Ninaposema nabii wa kizazi kipya namaanisha nabii ambaye amekuja kwa lengo lake mwenyewe, yaani hajatumwa.
Sasa nini unatakiwa uwe navyo ili usichokwe haraka?
1. Sauti ngumu.
2. Kuwa mbunifu wa kutafuta majina mazuri ya ibada. Kila wiki unaleta jina jipya, mara ibada ya ukombozi, ibada ya...
Staki nirudie mambo mengi tu ambayo kila leo yanasemwa na kuandikwa hapa jukwaani kuhusu ughali wa maisha n.k nadhani mh Rais ameamua kuyaacha ili kuandikwe historia nyingine mpya Katika nchi yetu, ambapo watanzania watakuwa kila wakikumbuka kuhusu hayo, basi linatajwa na jina la mh Rais wetu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.