mambo

The Museo d'Arte Moderna di Bologna or MAMbo is a purpose-designed museum of modern and experimental art in Bologna, Italy. The Museo Morandi, which displays a large collection of works by Giorgio Morandi, is temporarily housed in a part of it.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mambo niyaogopayo kwenye maisha

    Katika maisha yangu mambo ambayo kwangu ni hatari na ambayo nayaogopa. 1. Uzinzi (uasherati) 2. Kula jasho la mtu 3. Kumuuzunisha mtu Sijui nyie wenzengu mambo yepi kwenu mna yaogopa Intelligent businessman Poor Brain mshamba_hachekwi Extrovert
  2. JamiiForums Tanzania Waziri wa mambo ya Nje Danmark alisaini mkataba akiwa kalewa wa kuipa Norway utajiri

    Hækkerup is most widely known for the agreement he reached with the Norwegian Minister Jens Evensenthat gave Norway the oil-rich Ekofiskoil field in the North Sea. According to an urban legend, Hækkerup was drunk when he signed the agreement.
  3. JamiiForums Tanzania Wanawake wa Maduka ya Mavazi na Ukahaba mambo leo

    Salamu wamebaki nazo Wazanzibar, huku bara salamu ni utumwa. Juzi wakati natoka zangu Hifadhi ya Taifa ya Lake Manyara nikiwa zangu kwenye gari ikiniwahisha Airport ikabidi nichukue simu nitazame ambayo yanajiri kila uchwao, nilipowasha simu nikazama Instagram ili kujionea habari kwa picha za...
  4. JamiiForums Tanzania Umewahi kutamani Kuhama mtaa kwasababu ya mambo ya Majirani zako?

    Kwenye kuishi tunakutana na mengi sana. Unaweza kuwa na nyumba yako kali na maisha yako safi tu ila aina ya Majirani wanaokuzunguka wakafanya uone kero ya maisha na kutamani kuondoka eneo hilo ila unashindwa kwasababu ndio ushajenga hapo. Tupe experience yako eneo unapoishi au wewe naye ndio...
  5. JamiiForums Tanzania Mambo yanayo shusha thamani ya mwanamke katika jamii(Duniani)

    Haya ni mambo kadhaa yanayo mfanya mwanamke thamani yake ishuke katika jamii. 1. Mahari 2. Ndoa 3. Kutegemea mwanaume kumhudumia( wenyewe wanaita kucare) 4. Haki sawa( wenye wanaita 50/50) 5. Kukosa akili timamu (kwa wanawake wa kisasa) Note: kutakuwa na nyongeza ( update ipo stay stunned )
  6. JamiiForums Tanzania Mambo (7) wasiyotaka Wanamke wakati wa tendo

    Mwanaume kumaliza sex na kuondoka. Unapomaliza kusex na kuinuka unaondoka anaumia, anahisi kukatiliwa vibaya kihisia, anaweza asije tena, mwanamke anahitaji angalau dk 20 za kuongea nawe, wako hivyo! Usifike kitandani na kuanza sex. Mwanamke anahitaji maongezi kiasi fulani ili akili yake iwe...
  7. JamiiForums Tanzania Mimi Ndiye Mshamba au ni Kwamba sifuatilii mambo ya Miziki?

    Aisee sikuwahi kujua kama wimbo wa Maria ulioimbwa na mwanamuziki Fally Ipupa umetoka miaka 4 iliyopita,mimi nilipousikia mwaka huu na ulipovuma sana nikadhani ni wimbo mpya kumbe ushakula chumvi za kutosha. Ni kitu gani kimefanya huu wimbo mwaka huu umekuwa na umaarufu mkubwa kiasi kwamba watu...
  8. JamiiForums Tanzania Hongereni Wizara ya Mambo ya Nje. Sasa mnafanya mambo kisasa kweli!

    Namna nchi inavyojibrand kwenye masuala ya Kimataifa ni jambo la muhimu sana. Sio tu inatengeneza picha nzuri juu ya hiyo nchi kwa wageni ila inawafanya wageni waamini kuwa wanajihusisha na mtu / nchi makini sana Hivi karibuni nimetokea kuvutiwa sana na namna Wizara ya Mambo ya Nje wamekuwa...
  9. F

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aepuke kufanya mambo ya kitaifa kimyakimya ni ishara ya kukosa uwazi na kutokujiamini

    Juzi tumemsikia Raila Odinga akisema rais Samia alikwenda Nairobi kwa lengo la kuwapatanisha Raila na Odinga katika tafrani zao za kisiasa. Sisi watanzania tunajiuliza inakuwaje rais wetu kwenda nchi nyingine kufanya jambo la kisiasa mathalani kufanya upatanishi kimyakimya? Kwani kulikuwa na...
  10. JamiiForums Tanzania Tutakuheshimu Mzazi kwa yaliyo Mema na sio Mambo ya kishenzi na kidhalimu

    TUTAKUHESHIMU MZAZI KWA YALIYO MEMA NA SIO MAMBO YA KISHENZI NA KIDHALIMU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Angalizo: Lugha itakayotumika inaweza kuwa Kali. Hivyo kama sio Mpenzi wa Lugha Kali, na unahitaji Roho yako iwe na utulivu nakuomba usisome, uishie hapahapa. Kukaidi, madhara yoyote...
  11. JamiiForums Tanzania Ni mambo gani ambayo ukifanya kwa kutumia pesa yako nafsi yako hupatwa na furaha sana na amani?

    Hallo Wakuu, Baridaaa! Ni Mambo gani ambayo ukitumia pesa (money) yako.. nafsi yako (roho yako) hupatwa na furaha sana na amani ndani yake? Binafsi; 1. Ninapo mpa pesa mke wangu, hunifanya kusikia furaha ya ndani sana moyoni mwangu na ninakuwa na amani. 2. Kujaza wese na kukimbia (napenda sana...
  12. JamiiForums Tanzania IGA ya DPW imetusaidia mambo mengi. Kwanza kuonyeshea tuna wanasheria wa aina gani, pili kuidogosha fani ya sheria na sasa kila mtu ni Mwanasheria?

    Wanabodi Hii IGA ya DPW Imetusaidia sana kujua mambo mengi, sio tuu imetusaidia kutuonyesha matundu kwe paa la nyumba yetu kwa kutuonyesha panapovuja, pia umetufungua macho kuona tuna wanasheria wa aina gani, wenye uwezo gani, ndio maana tunaingia mikataba ya hovyo!, tukishtuka, tunavunja hiyo...
  13. JamiiForums Tanzania Jiunge Na Familia Ya Zaidi Ya Watu 750 Inayojadili Mambo Ya Ardhi Na Majengo BURE.

    Tumekuwa na masomo mazuri kuhusu uwekezaji kwenye ardhi na majengo. Tumekuwa na mijadala ya motomoto kuhusu uwekezaji kwenye ardhi na majengo. Tupo watu wa makundi tofauti tofauti kutoka mikoa tofauti tofauti. ✓ Wapo mawakili wazoefu humu kundini, ✓ Wapo wachoraji wa ramani nzuri za...
  14. JamiiForums Tanzania Mambo ya Yanga Day

  15. JamiiForums Tanzania Mwanamke Akiwa Mjamzito Mambo na Mipango yote Huvurugika!

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane! Sitarajii tena kumpa mimba mwanamke wangu Rehema, akifanikiwa kujifungua salama mwezi wa 10 basi hawa ndio watakuwa watoto wangu wa mwisho na sitotarajia tena kupata watoto kwasababu ni kujifunga kwa mambo yangu!. Kwanza kabisa nipende kumshukuru Mungu...
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Habari ya Kenya na waarabu sio justification

    Rais wa Kenya, William Ruto leo Jumamosi ametangaza kuwa amefanya mazungumzo Ikulu ya Nairobi na Waziri wa Mambo ya Nje wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), Sheikh Shakhboot bin Nahyan Al Nahyan, kujadili fursa za uwekezaji nchini humo.
  17. JamiiForums Tanzania Mungu yupo, fikiria kuhusu mambo haya, usiseme hakuna ushahidi

    Hello wanaJF, Nimepata thread ama post nyingi Sana zikihofia kuhusu uwepo wa Mungu. Unapozidi kujifunza na kufahamu zaidi sayansi tunategemea uwe shuhuda mkubwa kuhusu uwepo wa Mungu lakini unexpectedly ndio unaanza kusema sayansi haiamini Mungu yupo. Ona hizi facts za kisayansi 👉...
  18. JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alikosea kwenye mambo mengi mno. Kubwa mojawapo ni kumchagua huyu mtu

    Mtu huyo ni Rais Samia! Nashawishika kabisa kuamini kuwa huyu Samia alichaguliwa kutokana na jinsia yake tu [kama ilivyojuwa kwa Kamala Harris…the word salad queen…kule Marekani]. Ref: Uchaguzi 2020 - Mkutano Mkuu wa CCM 2020 wamchagua John Magufuli kuwa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa...
  19. 4

    JamiiForums Tanzania Askofu Maximillian Machumu: Mkataba wa Bandari tunasema HAPANA

    Sina mengi ya kusema sikiliza hiyo video ya mwanamapinduzi ndio mjue wale wauza bandari za watu walivyoyakanyaga, maskini wee mwafaa.
  20. D

    JamiiForums Tanzania Fatma Karume ana uwezo mdogo sana wa kuchambua mambo, anaongoza kwa ubishi

    Hopefully wote mtakuwa salama. Nisiwachoshe na mimi msinichoshe. Leo asubuhi bwana nilikuwa bored sana na idle as of tangu nime retire, i just decided kupumzika nyumbani na familia. Basi bwana nikajikuta nipo YouTube naangalia video mbalimbali, kuangalia hivi kidogo nakuta clouds wako live na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…