Mambo (7) wasiyotaka Wanamke wakati wa tendo

muzi

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2016
Posts
1,048
Reaction score
1,479
  1. Mwanaume kumaliza sex na kuondoka. Unapomaliza kusex na kuinuka unaondoka anaumia, anahisi kukatiliwa vibaya kihisia, anaweza asije tena, mwanamke anahitaji angalau dk 20 za kuongea nawe, wako hivyo!
  2. Usifike kitandani na kuanza sex. Mwanamke anahitaji maongezi kiasi fulani ili akili yake iwe active kwaajili ya tendo, unapofika na kuanza tendo anajisikia kuvamiwa.
  3. Kukojoa na kuchomoa papo hapo. Wanawake wengi hutamani mwanaume unapomaliza usichomoe haraka, uendeleze kwa dk kadhaa 2 au 3 mpaka uume usinyae wenyewe, kwao inawapa raha fulani, ukichomoa haraka unamkosesha kitu fulani.
  4. Usimwage nje. Baadhi ya wanawake bila kukojolewa ndani hawajapata raha ya tendo, hao mara nyingi huwa makini na kalenda zao, ukipiga show ukamwaga nje anaumia sana, sometimes wengine kumwagiwa ndani huwasaidia kufika kileleni haraka.
  5. Epuka matumizi ya simu kitandani. Mwanaume kutumia simu wakati mmekubaliana mpo chumbani kwaajili ya sex, mwanamke anakwazika, unamfanya ahisi thamani yake akiwa uchi ipo chini kuliko simu yako, unamuumiza kutojaliwa.
  6. Kutozisoma nyakati zake kihisia. Kuna wakati atakuonyesha kwa matendo kuwa yupo tayari kwaajili ya sex, halafu wewe unapuuza, unakuwa kama unataka mpaka aseme kabisa "Njoo unit*mb*" inamkata sana, jiongeze
  7. Kutoshukuru au kutoonyesha.Appreciation. Mwanaume unamaliza kama bubu, hakuna "Asante" au hata kusema umefeel vipi au kwa kiasi gani umekuwa impressed na sex yake, anaweza kusema Asante yeye, basi na wewe sema kitu (rate/recommend/feedback) ajue alichofanya
 
  2. Usifike kitandani na kuanza sex.U Mwanamke anahitaji maongezi kiasi fulani ili akili yake iwe active kwaajili ya
Good
 
Hivi vitu hua havina formula! Mara nyingi aliependa sana ndo anakua na wishing nyingi ila aliependwa hua anafanya tu majukumu kama kawaida tu
 
Kumbuka Kunawa mikono na kusafisha meno ni muhimu kwasababu viungo hivyo vinatumika sana wakati wa tendo la ndoa,
 
  1. Mwanaume kumaliza sex na kuondoka. Unapomaliza kusex na kuinuka unaondoka anaumia, anahisi kukatiliwa vibaya kihisia, anaweza asije tena, mwanamke anahitaji angalau dk 20 za kuongea nawe, wako hivyo!
  2. Usifike kitandani na kuanza sex. Mwanamke anahitaji maongezi kiasi fulani ili akili yake iwe active kwaajili ya tendo, unapofika na kuanza tendo anajisikia kuvamiwa.
  3. Kukojoa na kuchomoa papo hapo. Wanawake wengi hutamani mwanaume unapomaliza usichomoe haraka, uendeleze kwa dk kadhaa 2 au 3 mpaka uume usinyae wenyewe, kwao inawapa raha fulani, ukichomoa haraka unamkosesha kitu fulani.
  4. Usimwage nje. Baadhi ya wanawake bila kukojolewa ndani hawajapata raha ya tendo, hao mara nyingi huwa makini na kalenda zao, ukipiga show ukamwaga nje anaumia sana, sometimes wengine kumwagiwa ndani huwasaidia kufika kileleni haraka.
  5. Epuka matumizi ya simu kitandani. Mwanaume kutumia simu wakati mmekubaliana mpo chumbani kwaajili ya sex, mwanamke anakwazika, unamfanya ahisi thamani yake akiwa uchi ipo chini kuliko simu yako, unamuumiza kutojaliwa.
  6. Kutozisoma nyakati zake kihisia. Kuna wakati atakuonyesha kwa matendo kuwa yupo tayari kwaajili ya sex, halafu wewe unapuuza, unakuwa kama unataka mpaka aseme kabisa "Njoo unit*mb*" inamkata sana, jiongeze
  7. Kutoshukuru au kutoonyesha.Appreciation. Mwanaume unamaliza kama bubu, hakuna "Asante" au hata kusema umefeel vipi au kwa kiasi gani umekuwa impressed na sex yake, anaweza kusema Asante yeye, basi na wewe sema kitu (rate/recommend/feedback) ajue alichofanya
Ngono inakuzwa sana. Utadhani kitu cha thamani saaana kumbe ni shimo tu
 
Back
Top Bottom