UMUGHAKA
JF-Expert Member
- Sep 1, 2021
- 2,157
- 10,718
Nsikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane!
Sitarajii tena kumpa mimba mwanamke wangu Rehema, akifanikiwa kujifungua salama mwezi wa 10 basi hawa ndio watakuwa watoto wangu wa mwisho na sitotarajia tena kupata watoto kwasababu ni kujifunga kwa mambo yangu!.
Kwanza kabisa nipende kumshukuru Mungu kwa kunipatia mwanamke mzuri wa sura na umbo, pili namshukuru Mungu kwa kunipatia watoto wawili ambao wako hai ukiacha huyo anayetarajiwa muda si mrefu, mimi UMUGHAKA nimebahatika kupata watoto wawili kwa mwanamke wangu Rehema ambaye nilimuelezea vizuri kwenye simulizi yangu ya
- Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani
Mtoto wangu wa Kwanza niwa kiume na wa pili niwa kike,huyu mwingine tunayetarajia kumpata niwa kike pia baada ya kuthibitisha kutoka kwa wataalamu.
Kilichofanya kuandika hapa ni kwasababu kuna mambo siyaelewi,wakati mwanamke wangu amepata mimba ya mwanangu wa kwanza mambo yalikuwa hayaendi kabisa lakini kwasababu sikuwa na ili wala lile sikuelewa chochote, sasa kuna mama mmoja ni jirani yangu hapa ninapoishi nimejaribu kumshirikisha ndipo ni kama kanifungua macho ya kiroho na kimwili pia.
Mimi " Mama yaani mambo yamegoma kabisa,kila dili zinakataa na mipango pia haiendi kabisa"
Mama jirani " Shida ni nini mwanangu?"
Mimi "Mambo yamegoma kabisa Mama,sipati pesa kama miezi ya nyuma"
Mama Jirani "Wewe si mkeo mjamzito,sasa unategemea mambo yanyooke wakati una kikwazo kwenye tumbo la mkeo!"
Mimi " 👀"
Mama Jirani " Unashangaa!,ndo hivyo mambo yako yatanyooka baada ya mkeo kujifungua!"
Nilidhani yule mama anatania lakini nilipomuuliza maswali zaidi aliniambia nijaribu kurudisha akili nyuma kabla ya kupata watoto wangu,ndipo nikagundua ya kwamba wakati mke wangu mzuri Rehema ana mimba zote mbili kabla ya hii aliyonayo mambo pia yalikuwa magumu mno hadi alipokuwa anajifungua,kiukweli mimi sikuwahi kufahamu lolote kuhusu hii sayansi hadi mtu mzima huyu alipokuja kunifungua macho!.
Aisee nimekaa chini na kutafakari nimegundua ni kweli kabisa ya kwamba kila wakati mwanamke wangu anapobeba mimba huwa napitia wakati mgumu sana lakini akishajifungua mambo huwa tambarare kama kumsukuma mlevi.
Baada ya kuligundua hilo nimepanga kwasasa itakuwa mwendo wa mizagamuano tu na shemeji yenu lakini kupata mtoto ni NO KUBWA!.
Sitaki tena mateso ya kukaa miezi kadhaa mambo yangu yakiwa yame-staki!.
Hivi ndugu zangu na nyie huwa mnapitia hii hali?,au ni maneno tu ya wanadamu?