mambo

The Museo d'Arte Moderna di Bologna or MAMbo is a purpose-designed museum of modern and experimental art in Bologna, Italy. The Museo Morandi, which displays a large collection of works by Giorgio Morandi, is temporarily housed in a part of it.

View More On Wikipedia.org
  1. Nyuzi za wafuatao zinaashiria ni watu wenye akili nyingi wanaojua mambo mengi. Nyuzi zao sio za kupita bila kuzisoma

    Wakuu leo nimeona huu ukweli niuseme kwamba hapa JF bila kujali itikadi, dini wala jambo lolote binafsi la mtu tukubali kwamba kuna wanaJF wanajua vitu vingi. Ingawa baadhi huandika kiujanja ujanja kwa nia ovu ya kuwavuruga watu na kupotosha ila bado wanaonyesha wapo contented. Kwa mfano bibi...
  2. Makonda anaposema hatalipa kisasi, kwani alifanyiwa mambo gani mabaya na kina nani?

    Bila shaka Mko Pouwa! Makonda amesema mbele za Watu kuwa hatalipa Kisasi, kumaanisha kuwa kundi kubwa la Watu analoliambia kuwa hatalipa Kisasi linajua mabaya aliyofanyiwa Makonda. Hapo kwa upande wangu nimeachwa kidogo kwa sababu sijui nini na kina nani walimfanyia ubaya Makonda mpaka kufikia...
  3. Watanzania wawili ni miongoni mwa mateka wa Hamas, yasema Israel

    Wanaukumbi. Watanzania wawili na raia mmoja wa Africa Kusini ni miongoni mwa mateka 224 wanaoshikiliwa na Hamas baada ya mashambulizi ya Oktoba 7 nchini Israel, serikali ya Israel inasema. Hakuna hata mmoja kati ya hao watatu aliyetajwa. Mamlaka ya Tanzania hapo awali ilikuwa imethibitisha...
  4. Kuna sheria inayohusika na mambo ya ugoni?

    Kama mtu kaingilia ndoa ya mtu akazaa na mke wa mtu,ikathibika kwa ushahidi wa mdomo, message,video na picha. Sheria inasema Nini kuhusu hili. Je Pana haki ya Mume ikiwemo fidia kwa mgoni. Kama mgoni amesambaratisha familia kwa maana watoto wanaenda ishi bila malezi ya wazazi wa pande mbili,mme...
  5. Naomba mwenye Notes au Books za mambo ya umeme wa majumbani

    Naomba mwenye access ya vitabu vinavo husu namna ya kusuku umeme wa majumbani
  6. Hawa watu wakirudishwa chamani historia ya nchi itabadilika ghafla

    Kikosi kazi 1. Makonda 2. Polepole 3. Ally Hapi 4. Sabaya Ili kikosi kicheze vizuri tunahitaji hawa: 1. Bashiru 2. Kabudi 3. Chalamila 4. Gambo 5. Majaliwa 6. Ndugai
  7. KWELI Mtanzania Bara huruhusiwi kuendesha gari Zanzibar bila kuwa na kibali maalum

    Huu Muungano ni chenga kabisa una kero nyingi mno, naona kwa Zanzibar wao ni raha kwenda mbele. Sisi wote ni Watanzania lakini ajabu Mtanganyika akienda Zanzibar endapo atahitaji kuendesha gari basi atatakiwa kuomba kibali maalum kinachotolewa na mamlaka za huko, vinginevyo utakuwa unavunja...
  8. Kama haufanyi mambo haya hauna haki ya kumiliki pesa au mali; utaishia kutamani tu na umasikini hautakuacha

    Ukweli mchungu lakini ndivyo ulivyo, Ili dawa iingie wakati mwingine sindano kwanza. Moja kwa moja kwenye hoja ni kwamba kwamba kama hakuna huduma au bidhaa unayoizalisha na kuitoa kwa jamii kama mbadilishano kutafuta utajiri bila njia hiyo ni kujighilibu akili. Mahitaji ya jamii yako ndiyo...
  9. Migogoro mingi ya kijamii na kitaifa ni matokeo ya migogoro ya familia (mke na mume)

    Niliwahi kukaa katika taasisi moja. Kulikuwa na mazali kila siku. Chuki kutuhumiana, kuviziana na kila namna ya fyokofyoko kati ya wahusika. Nilipozama kutafiti nikagundua chazo ni nyumbani hawa jamaa wanapotokea. Hawana amani, familia zimejaa magomvi, kufumaniana, mivurugano na taabu za kila...
  10. Simba ndio timu peke Tanzania kupata nafasi ya kuanzisha mambo,na wengine hufuata baadae.

    Ni karama itokananyo na bidii,haiji hivihivi. Simba ndio timu pekee kwa Tanzania kupata nafasi nyingi za kuweka historia.kisha timu nyingine hufuata baadae sana. Mfano,kombe la Afrika mashariki lilipoanzishwa timu ya Simba kwa tanzania Ikawa ya kwanza kulitwaa. Simba Ikawa ya kwanza kuingia...
  11. Takasa na safisha vitu na mambo yako kwa usalama wako

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Vita ya Maisha ni baina ya makundi hasimu mawili. Nuru na Giza, Juu na chini, Uchafu na usafi, Wema na Ubaya, Inuko na anguko, Mng'ao na mfubao. Kwa watu makini wanajua wazi kabisa kuwa ili mambo yako yaende lazima yasafishwe, yatakaswe, na ili mambo yako...
  12. W

    Dunia hakika ina mambo. Tumekutana na mganga ambaye sharti lake uitikie 'beeee' kila akikuita!

    Baada ya mgonjwa wetu kurudishwa hospitali kutokana na kushindwa, ikatulazimu kujaribu upande mwingine, sasa zunguka weeee bila bila, afadhali hakuna. Jana tukatonywa juu ya uwepo wa mtaalamu mwingine kijiji fulani, tukaondoka huko tulikokuwa na leo asubuhi tumefika kwa huyo...
  13. Mambo 05 ya kujifunza maishani kutoka kwa mitume na manabii wa uongo nchini Tanzania

    1: Uwe msiri na usiwe unapatikana kirahisi wakati wote au kuwa adimu( do not be too available). Huwezi kumkuta nabii wa uongo anatembeatembea hovyo au anapatikana kirahisi. Watu wanatafuta kitu adimu sio kinachopatikana kila mahali. 2: Usijibujibu tuhuma. Usiongee au kujitetea unaposhambuliwa...
  14. Tunoposema ACT Wazalendo wanafanya mambo kwa maonesho na kuwakomoa CHADEMA ona sasa

    Hii ofisi ya ACT wazalendo ilifunguliwa mwezi wa6 imekuwa wazi kea miezi3tu,na wakati huo aah pilika za wadau kuingia na kutoka zikijuwepo,lakini sasa kwisha ofic mwezi sasa imefungwa nadhani mshahara hakuna watumishi wameghairi kuja.
  15. TCRA hili la VPN nalo litawashinda kwa sababu hamtaki kuukabili uhalisia wa mambo

    Swali kwa TCRA: Mnajua sababu ya matumizi ya VPN kuwa makubwa nchini? Uhalisia ulivyo: Kwenye teknolojia ukiwabinya sana wananchi pale, wao wanatokea kule kwa sababu ya kukua kwa teknolojia kila siku, kila kitu kina option B. Katika mambo ambayo serikali ilikuwa haijawahi kuwaza basi ni...
  16. MTU anaaweza akapigwa juju mambo yake yakasimama? Tiba kuu pamoja(kisuna) na Dua kwa mungu. Naomba msada wenu wa kitaalam

    Jamani hii dunia Ina mengi. Hujafa hujaumbika, ukiwa juu Leo kesho unaweza kushuka chini. Unaweza ukawa na cheo Leo,kesho ukamaamuma(backbencher) , uwezo sio jambo la univunia ni kushukuru na kuwa moderate. Nirejee kwangu, Sina kipato kikuuubwa Sana. Na Wala sikiwa na kipato kidichi, ni...
  17. Suala la VPN walengwa ni wapinzani, watumia VPN kuepuka gharama za mabando na kucheki mambo binafsi ondoeni hofu

    Sheria hii lengo lake ni kutoa kibali cha kuwakamata watu wa kuitwa "wachochezi" pindi mitandao kama Twitter inapokuwa haiingiliki kwa mitandao ya simu ndani ya nchi, hali hii ikitokea jua ya kwamba chochote utachoposti mtandao usioingilika ni ushahidi tosha umetumia VPN. Ila kwa wengine vpn...
  18. Video: Huyu kijana wa Arusha kaongea mambo makubwa tofauti na matarajio ya wengi

    Tazama video usikilize. Kaupiga mwingi.
  19. Mimi ni mkristo lia lia ila mambo anayoongea Mohamed said kabla ya uhuru yanafikirisha yasipuuzwe na yafanyiwe kazi

    Nimesoma mabandiko mengi ya mzee Mohamed Said kuhusiana na uhuru ni ukweli usiopingika historia ya Tanzania imechakuchuliwa sana ni fupi sana kitu ambacho kinaleta doubt. Sitaki kumlaumu Julius Kambarage Nyerere ila nachojua alikuwa mwerevu sana kuliko wenzake yaani wakati wapo kwenye harakati...
  20. O

    Rais Samia: Nitaifumua Wizara ya Mambo ya Nje

    Rais Samia Suluhu Hassan ameweka wazi kuwa ataifumua na kuisuka upya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, ili kuirudishia hadhi baada ya kuwa na utendaji usioridhisha kwa muda mrefu. Hatua hiyo imekuja kutokana na wizara hiyo kupoteza ushawishi kwenye medani za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…