Simba ndio timu peke Tanzania kupata nafasi ya kuanzisha mambo,na wengine hufuata baadae.

lee Vladimir cleef

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
9,159
33,389
Ni karama itokananyo na bidii,haiji hivihivi.
Simba ndio timu pekee kwa Tanzania kupata nafasi nyingi za kuweka historia.kisha timu nyingine hufuata baadae sana.
Mfano,kombe la Afrika mashariki lilipoanzishwa timu ya Simba kwa tanzania Ikawa ya kwanza kulitwaa.

Simba Ikawa ya kwanza kuingia katika fainali katika michuano mikubwa ya kombe la CAF mwaka 1993.
Na Sasa Simba imekua timu ya kwanza kwa Tanzania kufungua mashindano ya lingi ya Afrika ya vilabu.
Hata hivyo hutuwezi kupenda soka bila kuwajua na kuwaheshimu Viongozi wakubwa wa vyama vikubwa vya soka hapa duniani kama CAF na FIFA.
Hakika kwa mara ya kwanza kupitia Simba watanzania walipata nafasi ya kuwaona baadhi ya Viongozi muhimu na maarufu kabisa hapa Duniani katika upande wa soka,na wachezaji wa Simba wakiwa ninwachezaji wa kwanza kabisa hata kupiga picha na wakuu hao.
Kwa kweli aliejaaliwa amejaaliwa TU.


FOOTBALL Arsene Wenger: Former Arsenal boss to watch Simba against Al Ahly in Tanzania
Allan Damba • 13:03 - 18.10.2023
Currently, the FIFA Chief of Global Football Development, Wenger, will be at the Benjamin Mkapa Stadium for the showdown.



FOOTBALL African Football League: Arsene Wenger, Gianni Infantino in the stands as Simba, Al Ahly play out an entertaining draw
Allan Damba • 11:44 - 21.10.2023
The game lived up to the prior billing, with former Arsenal manager Arsene Wenger and FIFA president Gianni Infantino all in the stands at the Benjamin Mkapa Stadium.
 
Kumbukumbu hazifutiki
 

Attachments

  • F85p7I6W8AARhJo.jpg
    F85p7I6W8AARhJo.jpg
    373.8 KB · Views: 1
  • images (3).jpeg
    images (3).jpeg
    13.5 KB · Views: 1
  • images (2).jpeg
    images (2).jpeg
    12.6 KB · Views: 1
  • images (1).jpeg
    images (1).jpeg
    10.6 KB · Views: 1
  • F85p7I9XsAA7gJ4.jpg
    F85p7I9XsAA7gJ4.jpg
    110.8 KB · Views: 1
  • Thanks
Reactions: BRN
Simba sc ndio timu ya kwanza kutoka Tanzania kucheza hatua ya Robo fainali ya michuano ya AFRICAN FOOTBALL LEAGUE
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Nimeacha kusoma uzi baada ya kuona neno "CUF"
Utakua mjinga sana katika Maisha yako.
Makosa ni kitu Cha kawaida.
Hata wewe umeshakosea mara nyingi TU.
Nimerekebisa tayari.
Jitahidi kuchukua ujumbe sio kuangalia vijimakosa.
 
Back
Top Bottom