mambo

The Museo d'Arte Moderna di Bologna or MAMbo is a purpose-designed museum of modern and experimental art in Bologna, Italy. The Museo Morandi, which displays a large collection of works by Giorgio Morandi, is temporarily housed in a part of it.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mwanasheria wa Yanga ashangazwa na mambo yanayoendelea soka la Bongo

    Tangu nimeingia kwenye mpira wa Tanzania, kitu ambacho nimekua sifurahishwi nacho ni kwamba Yanga ikiwa na jambo flani ikaenda kwenye taasisi yeyote hapa nchini, taasisi hiyo itapeleka jambo ambalo mnataka kufanya upande wa pili eti isionekane inapendelea upande mmoja. Nina mifano hai, Yanga...
  2. JamiiForums Tanzania Tutaje Mambo madogomadogo kuyafanya ila yanaongeza hamu ya kula.

    Kuna hii ishu ya kupoteza appetite ya kula inatukumba wengi hasa wanywa pombe ndo naona inawasumbua sana. Niliamua kufanya kautafiti kadogo ili nije na mbinu baadhi ambazo ukizitumia unaonja onja kidogo chakula. 1.kula Kwa uma na kisu. Vyakula kama mayai ya kienyeji ya kukaanga, matunda...
  3. JamiiForums Tanzania Ni mambo gani huwezi kufanya au kumwambia mama yako mzazi

    Kwa wale ambao mmepata neema ya kuwa na mama Mpaka sasa Hivi ni mambo gani haupo comfortable kabisa kuzungumza na mzazi wako labda itokee yeye aanzishe. Mimi binafsi yako mengi ila.:- 1.Siwezi kupiga picha na mama ya pamoja labda itokee bahati mbaya tumepiga ile ya familia pamoja ila sisi mimi...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Pale upinzani unapoacha kujadili mambo msingi na kuweka nguvu zao kumjadili Makonda! Tuna wapinzani wa ovyo sana!

    Naanza kuelewa Sasa, huwenda ni kweli kwamba Watanzania ni watu wa hovyo na ambao hawawezi Kila kitu na hawawezi Kuibadirisha nchi Yao kutoka Hali mbaya ya umasikini na kuwa nchi yenye neema na uchumi mkubwa Tumeshindwa kuendesha bandari zetu wenyewe, mbuga zetu tunawapa wageni, Bado tutawapa...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Ukiendekeza mambo ya duniani na woga wake utakufa maskini

    Hebu fikiri huu wizi ambao hautumii nguvu Bali akili tu. 1. Kanisani unapigwa hela kupitia sadaka na micahango mbalimbali wakiita zaka. 2. Mtaani unapigwa kwa michango mbalimbali ama harusi, vifo, sherehe kama mtoto amezaliwa au anabatizwa nk. 3. Serikalini ulipe Kodi napo kwa njia mbalimbali...
  6. JamiiForums Tanzania Ngoja niwahabarishe mambo kadhaa usiyo yajua katika ujenzi PART 2

    1. Mbao inaweza kufanya kazi sawa kama nondo au/chuma. Unabisha....? -Magorofa magofu ya Bagamoyo,zege zake zina mbao badala ya nondo. 2.Kadri jengo utakavyojenga karibu na bahari,ndipo unapunguza uwezo wa jengo kudumu mda mrefu. Unabisha....? -bati za nyumba za Dar nyingi zina kutu kuliko za...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Simba ni wakati sasa wa kupumzika na kupumzisha akili zetu kwenye mambo mengine

    Ukisikiliza propaganda za viongozi wa Simba unaweza sema timu ina maajabu ila kiuhalisia hakuna kitu. Masuala ya kusema kila mara tumejitahidi hayana tija. Mashabiki tunaumia sana na watoa maamuzi ndani ya club, mtu unaacha shughuli zako, unatoka mbali ili uisapoti timu ila unachokutanacho...
  8. JamiiForums Tanzania Maswali ya Interview (Written) Wizara ya Mambo ya Nje

    Habari za muda huu wakuu, Naomba kuuliza maswali gani kwenye interview za wizara ya mambo ya nje position ya Foreign Officer II, wanakua wanauliza kwenye ngazi ya written interview.
  9. JamiiForums Tanzania Mambo ni Shwari, Hakuna tena Matamko ya Pasaka kutoka kwa Wakatoliki na ACT(Umoja wa Makanisa).

    Naona mambo sasa yamekaa sawa. Yale matamko yaliyokuwa yanatolewa na Makanisa (TEC) na Ule Muunganiko wa Makanisa mengine hasa kipindi cha Pasaka, Yametulia kabisa. Huu Mwaka hakuna kanisa lenye tamko. Achilia mbali hali mbaya ya Uchumi inayolikumba taifa kwa sasa. Inamaana Wameshakubali...
  10. JamiiForums Tanzania Series, hadithi za mambo mbalimbali ya zama za uumbaji

    GALACTIC HISTORY Swerdlow anaandika kwamba kuna AINA SABA tofauti katika himaya ya DRACO. Aina moja ina ngozi nyeupe iliyogawanyika, macho kama ya paka, mbwa na Taya na meno yaliyotawanyika. The DRACO walitawala DUNIA maeneo ya Pacific HIVI leo ambapo kulikua na bara lililo potea au lililo...
  11. JamiiForums Tanzania Picha: Hii nchi imepitia mambo magumu mno

  12. JamiiForums Tanzania Mambo nyeti kuzingatiwa majadiliano ya gesi

    Na Mwandishi Wetu NI miaka kadhaa imepita kutoka majadiliano ya uchakataji wa gesi nchini Tanzania yaanze. Mara kadhaa majadiliano hayo yamesitishwa kutokana na makampuni ya kimataifa ya nishati kuwa na matakwa hasi kwa maslahi ya nchi. Kila kukicha makampuni ya kimataifa ya nishati yamekuwa...
  13. L

    JamiiForums Tanzania "Makubaliano ya Dar es Salaam" yazidi kuvunja fikra potofu kwamba "maendeleo ya kisasa ni sawa na mambo ya kimagharibi"

    Mkutano wa 13 wa Baraza la Washauri la China na Afrika ulifanyika hivi karibuni jijini Dar es Salaam, Tanzania. Mkutano huo ulifikia "Makubaliano ya Kukuza Maendeleo na Ushirikiano wa Kimataifa kati ya China na Afrika," unaojulikana pia kama "Makubaliano ya Dar es Salaam." Kama mafanikio muhimu...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Mlioko serikalini msijione 'Special' sana. Mambo wakati mwingine hubadilika kwa kasi usiyoitarajia

    Habari wana JF. Kuna baadhi ya watumishi wa serikali, kuanzia ngazi ya chini kabisa hadi ngazi ya juu kabisa huwa wanajiona wao ni watu maalum sana. Kama hujawahi kukutana na watu wa aina hiyo, basi nakuhakikishia iko siku utakutana nao. Wengi wao husahau ule usemi wa "cheo ni dhamana". Hao...
  15. Z

    JamiiForums Tanzania Kaka kimbia kabla mambo hayajawa mengi, jaribu bahati sehemu nyingine

    Una mpenzi wako na una matarijio awe mke wako wa ndoa, kazi unayoifanya anaijua vizuri tu kuwa kipato chake ni kidogo. ''Mnatoka out mara ya kwanza unatumia pesa nyingi kweli, mnakula , mnakunywa mna enjoy kweli. Mwenzio hata haulizi pesa umepata wapi ndo kwanza anaagiza bucket. ''Mara ya pili...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Tanzania waziri anafanya utani kwenye mambo yanayohusu diplomasia na hakuna anayemkanya wala kumtaka aombe radhi; tunakwama wapi?

    Msemaji wa serikali ametoka na kufafanua kauli ya Waziri kwamba watakaoshangilia timu ya kigeni au kuvaa jezi hawatavumiliwa na akaongeza mashabiki wataingia uwanjani na passport. Msemaji wa Serikali amedai ule ulikuwa ni utani, nakubaliana naye ila wanaamini waziri anaweza akafanya utani...
  17. JamiiForums Tanzania Mambo usiyoyajua kuhusu msitu wa Amazon

    (....Usipite bila Kusoma......) 1: Msitu wa Amazon ndio msitu mkubwa zaidi duniani unaopatikana huko America kusini. 2: kama ulifikiri msitu huu unapatikana Brazil pekee jibu ni hapana msitu huu umegawanyika katika nchi tisa nchi hizo ni Blazil 60% peru 13% colombia 10% na mataifa mengine kama...
  18. JamiiForums Tanzania Kama hujawahi kufika jiji la Tanga, basi haya ndio mambo yanayopatikana huko

    Ijue Tanga Mjini Na Maajabu Yake. Katika maisha yako jitahidi sana walau siku moja ufike Tanga, utakuja kunishukuru… Haya jionee maajab ya jiji la Tanga 1. Ikifika Saa 3 usiku Hakuna Daladala Utaona Barabarani. 2. Jiji Lina Watu 390K Lakini Ifikapo Saa 4 Huoni Watu Nje Usiulize Kwanini...
  19. JamiiForums Tanzania Mambo ya kutisha kuhusu Mamelod Sundowns "Masandawana"

    Wagumu nyumbani, sio wanyonge ugenini Mamelodi Sundowns ni miongoni mwa timu ambazo huwa sio rahisi kupoteza mechi kwenye uwanja wao wa nyumbani pindi inaposhiriki Ligi ya Mabingwa Afrika jambo linalochangia kuzipa presha timu nyingi ambazo huenda kukabiliana nayo. Tangu ilipofungwa mabao 2-1 na...
  20. JamiiForums Tanzania Mambo nayopenda kwa Waislamu japo ni Mkristo

    Pamoja na ukristo wangu yapo mambo kadhaa nayoyapenda kwa waislamu. 1. Kutoruhusu mtume wao adhalilishwe au kudhihakiwa. Huwezi kumkashfu mtume au kitabu chao cha Quran mbele yao halafu wakutazame tu. Lazima wakuletee noma 2. Mavazi ya staha kwa wanawake Napenda sana dress code kwa wanawake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…