mambo

The Museo d'Arte Moderna di Bologna or MAMbo is a purpose-designed museum of modern and experimental art in Bologna, Italy. The Museo Morandi, which displays a large collection of works by Giorgio Morandi, is temporarily housed in a part of it.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mambo machache bora ya kuirudisha CCM katika misingi yake

    Hakuna haja ya kuunda tume wala kamati Hizi ni action zinazotakiwa kuchukuliwa 1. Zuia machawa katika chama 2. Rudisha mamlaka kwa wanachama wa chini ( wananchi), mambo ya watu wachache kukata majina na kuamua nani akagombee yasiwepo tena. 3. Zuia rushwa katika chama, hiyo ndio inaleta...
  2. JamiiForums Tanzania Mambo Kwa ushahidi

    Fikiria huyo mgonjwa ndiyo za Tanzania halafu huyo jamaa ni CCM 👇
  3. M

    JamiiForums Tanzania Pale unapokataliwa kazini nini cha kufanya ?

    Miaka kadhaa mara baada ya kuangaika hapa na pale kutaguta ajira nikafanikiwa kuajiriwa ofisi moja ya umma Kwangu lilikuwa jambo la heri sana kupata kazi, na kwa wazazi wangu walifurahi sana kijana wao kupata kazi. Mara baada ya taaribu za ajira nilipangiwa kituo cha kazi mkoa jirani na...
  4. JamiiForums Tanzania Msumari wa TEC: Mambo Muhimu Yaliyojiri Kwenye Mkutano wa Hivi Karibuni wa TEC (Agosti 2026)

    Mkutano huu na waandishi wa habari ulifanyika mara baada ya viongozi wa TEC kukutana na kufanya mazungumzo na Samia Suluhu Hassan katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma. Lengo la Kukutana na Rais: Padre Dkt. Charles Kitima alibainisha kuwa mkutano huo ulitokana na ombi la maaskofu wenyewe...
  5. JamiiForums Tanzania Unaamuliwa mambo au unajiamulia mwenyewe?

    Leo nimekaa nikawaza hivi najiamulia mambo au naamuliwa sababu toka utoto naamuliwa mambo hata wakati nasoma kwenda kukojoa, kula, kucheza tulisubili kengele nilivyomaliza shule nimekuja kujua ugumu wa kujiamulia mambo kinachofata ni kuiga yale wengine wanafanya ndo nikajua kumbe bado naamuliwa...
  6. JamiiForums Tanzania Mambo muhimu unayotakiwa kuonesha kwenye madai ya Talaka

    1. Kwamba kulikuwa na Ndoa halali 2. Kwamba, kuna mgogoro kati yenu wanandoa na jitihada za kusuluhisha zimefanywa lakini imeshindikana. 3. Orodha ya watoto wa ndoa na umri wao. 4. Orodha ya mali zenu wanandoa mlizochuma pamoja wakati wa ndoa yenu. Kgm Attorneys Chamber ☎️ 0755 395572 / 0761...
  7. JamiiForums Tanzania Mambo 7 niliyojifunza kupitia maandamano ya 29 Oktoba 2025

    MAMBO 7 NILIYOJIFUNZA KUPITIA MAANDAMANO YA 29 OKTOBA 2025 Anaandika, Robert Heriel Mtibeli 1. HASIRA ZA WANANCHI PEKEE HAZITOSHI KUANGUSHA SERIKALI. Maandamano yanaweza kuonyesha ukubwa wa hasira na kutoridhika kwa wananchi, lakini hilo pekee halimaanishi serikali itaondoka madarakani...
  8. JamiiForums Tanzania Mambo yanaendelea kutokota

    Chadema shikilia hapo hapo kama Iran pale Homz. Kusikilizwa kabla ya makubaliano ndio jambo la msingi. Mioyo ya wanachadema imejaa makovu waombwe msamaha kwanza ndipo wahitajike . Toa boriti kwenye mboni yako kwanza .
  9. JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina: Serikali ijiondoe kwenye mambo ya kuunda Tume ya Uchunguzi kwani Mtawala aliyopo madarakani anahusika na Vurugu za 2025

    Luhaga Mpina atema Cheche tena DW Radio . Akosoa Samia kuunda tume. Amesema ana masha nayo. Akosoa Tume kuelekezwa cha kufanya. Mfani; Kachunguze nani katoa hela. Kakosoa Hahdidu za Rejea Hadidu za rejea ndio huleta maana. Haziwezi kuwa siri kwani mambo kama haya yanatakiwq yawe wazi...
  10. JamiiForums Tanzania Kwa Wazalendo Wanao Angalia TBC, Usikose Kuangalia Mambo Mazuri ya UDSM, UDOM, IGOABROAD na Mbolea ya FEMI Leo Saa 4:00 usiku na kesho saa 3:00 Asbh

    Wanabodi, Niko hapa jijini Dodoma kwenye maonesho ya 88 kitaifa, uwanja wa Dr. J.S. Malecela, Nzunguni Dodoma, ambapo kuna mambo mazuri sana. Asubuhi niliwaletea https://www.jamiiforums.com/threads/live-from-uwanja-wa-dr-j-s-malecela-nzuguni-dodoma-kilele-cha-nane-nane-dodoma-kuchele.2460870/...
  11. JamiiForums Tanzania Kamati ya Wamiliki wa Nyumba Sinza: Tumeazimia kusitisha ushiriki wetu kwa muda katika Mradi wa Sinza

    Kamati ya Wamiliki wa Nyumba Sinza inaendelea kusisitiza kuwa haipingi maendeleo wala uendelezaji wa eneo la Sinza. Hata hivyo, tunaamini mchakato huu unapaswa kufanyika kwa kuzingatia sheria, taratibu na mawasiliano rasmi. Baada ya Waziri kutangaza kuwa mchakato wa awali umefutwa na kwamba...
  12. JamiiForums Tanzania Mangungu na Magori waweka mambo sawa Simba, wasitisha Mvutano wa Baraza la Wadhamini

    Bodi ya Wakurugenzi ya Klabu ya Simba imefikia uamuzi wa kusimamisha kwa muda masuala na matukio yote yaliyokuwa yakiendelea kuhusiana na Baraza la Wadhamini la klabu hiyo, ili kutoa fursa kwa uongozi kuangazia maandalizi ya msimu mpya wa mashindano. Uamuzi huo umefikiwa katika kikao cha Bodi...
  13. JamiiForums Tanzania Unamuelewaje tajiri anayesisitiza watu wajali mambo ya mbinguni kuliko duniani?

    Tajiri au Bilionea kabisa anaposisitiza watu wajali zaidi maisha ya mbinguni ambayo ni ya kufikirika zaidi yasiyo na uthibitisho kuliko maisha ya sasa ya duniani ambayo ni halisi anakuwa anamaanisha nini?
  14. JamiiForums Tanzania Uhusika wa vyombo vya dola kwenye siasa

    Naomba wajuvi wa sheria mtufafanulie Inawezekana labda hatujui sheria au labda tunalalamika na kunung'unika bila sababu
  15. JamiiForums Tanzania Ndugu yangu epuka mambo haya (7) kiroho sio mazuri

    NDUGU YANGU EPUKA MAMBO HAYA (7) KIROHO SIO MAZURI 1)USIPENDE KUFAGIA USIKU 🌘kufagia usiku kiroho nikutupa baraka za mafanikio gizani 2)KUSHIKWA KICHWA 💆ukiona nafasi yako ya mafanikio ipo sawa epuka kabisa mtu kushika kichwa chako mtu anaweza kukugeuzia mambo kupitia kichwa chako 3)SEHEMU...
  16. JamiiForums Tanzania Ni kwanini Media za Bongo zinatoa sana airtime kwa mambo yasiyo na tija kwa jamii kuliko yale ya msingi? Nimeamini kupitia sakata la Doto Magari

    Habarini wakuu.. Siku za hapa karibuni kumekuwa na mambo ya ajabu ajabu yanayotembea sana mitandaoni kuhusiana na hawa machawa. Kuna sakata la yule wa kuitwa Doto Magari kusambaa kwa taarifa zake kuwa ni muathirika na kumekuwepo na kurushiana maneno kati yake na waanzilishi wa hizo tuhuma jui...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Mimi haya mambo ya CCM yananichanganya. Ona picha hii na linganisha na hotuba ya Nchimbi. Unàfanya deduction ipi

    Wako pamoja wameapisha wateule. Kwa hotuba ya Nchimbi inavyotafsiliwa na wengi kuwa hawaivi, si kweli. Hapa kuna mchezo mchafu wanacheza Samia na Nchimbi na CCM in general. Hii ni jana tarehe 27 Chadema kuweni macho na udanganyifu wa CCM
  18. N

    JamiiForums Tanzania Sometimes mambo yanaenda kombo

    Heir ya jumapili ndugu zangu wa Jf mko poa nyie sometimes mambo yanaenda kombo sana wadau, naombeni mnisaidie kifedha japo ata ya siku hii wakuu napitia magumu yaliyo nje ya uwezo wangu kwa heshima yenu naomba mnisaidie 😔
  19. JamiiForums Tanzania Ni rahisi kuwateka akili wa Tanzania ukiwaambia mambo ambayo masikio yao yanataka kusikia

    Ni rahisi kuwateka akili wa Tanzania ukiwaambia mambo ambayo masikio yao yanataka kusikia na ndioomaana Mitume na manabii uchwara wanafanikiwa sana wameshaijua code ya kuchezanayo
  20. JamiiForums Tanzania Sometimes mambo yanakwama hautamani kuamshwa ukilala

    Hellow JF. Unakuta. Unajiheshimu/Umejitunza vizuri unakuja kuoa/olewa na Malaya sugu. Umepambana umejinyima ukalima nyanya zako vizuri siku unaenda shambani nyanya zimeungua nusu shamba. Umesoma vizuri mpaka chuo lakini hauoni fursa wala haupati ajira(kulala/kula yako ya shidashida). Upo kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…