Sas kama walioandaliwa na Nyerere mwenyew kuja kuitumikia nchi ndo kina msoga, Samia na wemzao.
Hao watakaoandaliwa na kina babalevo pale ccm na kina ulega? Sindo watakuwa wehu kabisa kulko makombo ya mkapa legacy @tlaaah tlaaah na Lucas mwashamba
Uchawi nadhani ni neno la kiswahili linalojirudia sana mpaka linakera
Ila yawezekana ni kwa ufinyu wa lugha kugusa maana halisi
Binasfi nikisikia neno uchawi akilini inakuwa mbali na mazoea ya kusikia neno lenyewe tena na tena mpaka linachosha.!
Mf kwetu afrika kulingana na masimulizi yenye kujirudia imefikia mtu akisikia neno uchawi mara nyingi anawaza hirizi na wanga matako wazi.!
Ila kama kweli unalengo la kulielewa neno uchawi vizuri lazima ujiweke mbali na attachment za kiswahili
Vile mtu hujiwazii kuwa chochote duniani zaidi ya vile wewe ulivyo
Mfano ni muhimu kujiweka kwa unganishi wa maisha na kujiona huna tofauti na wengine.. Ila ajabu maisha hayakubali kivitendo jambo hili zaidi ya nadharia tu
Namaanisha kujua neno uchawi asili yake kulianza kwa sababu ya watu kujiwekea madaraja na hadhi
Mpaka watu wakatafuta maana ya mtu kukosa na kudhalilika mpaka kufa huku wengine bila jitihada wakihodhi mpaka kufa kwao na vizazi vyao
Ni rahisi kujibu ni hila za mifumo ya kiutawala ila undani wake ni zaidi ya uhalisia
Itoshe kusema Kuna nguvu nje ya ufahamu wa kawaida inahusika kusukuma gurudumu la maisha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.