Laana ni nguvu ya kiroho inayoandama maisha ya mtu asifanikiwe kwenye maisha na kuwa na maisha magumu kupititiza.Kuna vyanzo mbali mbali vinavyoleta laana kwenyeaisha ya watu duniani,nitaorodhesha hapa chini kama ifuatavyo.
1.Kumwasi Mungu.Na kutumikia miungu mingine kwenye maisha yako ili upate fedha mali ,hili huleta maisha yenye manuto kwa watu wengi kwenye maisha.
2.ngono.uzinzi/ ulawiti au kulawitiwa kunaleta laana kubwa kwenye vizazi vya wanaotenda hivyo.Kama umewahi kulawiti au kulawitiwa jiandae kuwa na mtoto shoga.Jiandae kuwa na mtoto bahasha pia.pia mitala na michepuko huleta laana kwenye familia nyingi.ukiona mambo hayaendi kwenye maisha mpo pale pale kaeni chini chunguza ni wapi ulikosea.
3.kutambika kwenye mizimu na kwenda kwa waganga.familia za watu wa hivi hukumbwa na watu wanaochanginyikiwa na misiba kwao haikomi.
4.kupata utajiri kwa waganga kwa kafara .watu wanatoa watoto wao au sehemu ya mwili au kupewa sharti la kulawiti au kulawitiwa ili awe tajiri.ni kweli unakuwa tajiri kwa muda mfupi ila mwishoni ni majuto.
5.kudharau wazazi na kuwajibu hovyo.ukiona mzazi amekasirika kaa mbali naye,hutofanikiwa.Kama umekuwa mtuzima usikae karibu na wazaz.
6.kumwibia mtu mali zake.
7.kumwaga damu pasipo na hatia.kwa kifupi damu ya mtu mwenye haki ikimwagika huwa inadai kwa Mungu haki kutendeka mpaka siku ya hukumu.kwahiyo kichazi chako chote kinakuwa juu ya laana.
8.kudhum mali ya yatima na mjane./masikini.Hapa unakazi kubwa sana.
9.Kutukana na kudharau mtumishi wa Mungu anapokuonya.
10.Kuiba vitu vitakatifu ,vilivyowekwa wakfu mfano sadaka,ama kutumia sadaka vibaya.wakfu ni pamoja na watumushi wa Mungu na majengo ya ibada.
11.kuchepuka kwenye ndoa.Ndoa ni takatifu sana mbele za Mungu ,mnaopitiliza keenye michepuko na kudharau familia zenu mjitafakari.
12.Laana za kichawi.hizi huletwa na mashirikina kwenye maisha ya mtu.
Dalili za mtu/familia yenye laana .
1.kuachika kwenye ndoa.
2.maisha mafupi pamoja na vifo vya kufanana.
3.kutokufanikiwa kwenye mambo yoyote unayoanzishA iwe biashara kazi nak.
4.kuchukiwa bila sababu na watu,kukosa mvuto.
5.Kuchanganyikiwa ,
6.kuishi maisha magumu na hela unayo.
7.magonjwa yasiyoeleweka.
8.kusingiziwa mambo mazito.
9.kukutana na mambo magum hasa kipindi unakaribia kufanikiwa.siku unaenda interviw ndio unagongwa na boda.
10.kusumbiwa sana na nguvu za giza
11.umasikini na madeni.
12.migogoro kwenye familia isiyokoma.
13.kulawitiwa/kubakwa/kubaka.
14.watu kutokuwa na mwelekeo wowote kwenye familia wote pombe ,bangi ,kudanga.
15.ulevi na uraibu wa madawa,ukahaba.
16.kutokumaliza chuo,/shule kwa kufukuzwa au kuchangangikiwa.
17.kutafuta kwa bidii lakini bado upo kama mwanzo.
18.watoto wenye mapungufu au ulemavu.
19.ukipata hela na matatizo na misiba ndio inamuandama.
20.kudhumiwa mara kwa mara.
21.kama unawaza kujiua .
22.kukimbia nyumbani.
23.kutengwa na watu .
24.kuitwa mchawi.
25.kupigwa na chizi.
26.kuota upo uchi/unafanya ngono.
27.kukosa amani kwenye maisha.
Wewe mwenyewe unafahamu maisha yako ni wapi ulikosea kama nimekugusa nitafute.