Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 4,583
- 14,206
Ni muda mrefu naona watu maeneo mbali mbali mtandaoni wako serious na haya mambo kuliko miaka ya nyuma.Nadhani ukuaji wa Technology umechangia,watu wanasoma na kufuatilia tabiri viganjani mwao tofauti na enzi hizo unazikuta kwenye magazeti ama umfuate sheikh/maalim magomeni🙃
Imefikia hatua hata katika masuala ya kutafuta wenza wanaangalia nyota,kwenye masuala ya kazi,ajira,biashara nk.
Mfano mwenye nyota ya asili ya maji,unaambiwa upo compatible na unaendana mwenye nyota Fulani yenye asili ya maji au nyota Fulani yenye asili ya udongo nk
Mwenye nyota asili ya hewa unanendana na nyota Fulani -nyota Fulani na Fulani mkioana hamtisha kuelewana uwezekano wa mahusiano kudumu ni mdogo
-kwenye masuala ya kazi na biashara pia wanaaplly asili ya nyota mfano moto,udongo,hewa,maji nk.
Kazi ama biashara inayofanya iwe inaendana na asili yako ndipo utaona mafaanikio
Kuna baadhi ya watu wanaamini ni kweli na Kuna baadhi wanaamini ni ushirikina.
Je Kwa upande wako unafuatilia masuala yahusuyo nyota?
Tabiri zake
Elimu yake Kwa ujumla?
Je ni kweli ama utapeli?
Toa Maoni yako