Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 3,076
- 5,868
Hapo vip!
Binafsi naheshimu na kuamini dini zote zinazomtambua na kumuamini Mungu.
Ila binafsi nimejikuta mimi ni mkristo na naamini nipo eneo au katika imani sahihi na ya kweli pasina shaka.
Ila nina swali huwa najiuliza,biblia yetu pendwa na iliyojaa hekima,unabii,upendo ,unyenyekevu na uzuri usio na kifani haijataje kimahususi kama mwadamu atakuja kuibadilisha dunia kwa kugundua vitu kama magari,ndege,simu,computer,mabomu ya hatari kama nyuklia n.k,watu kusafiri kwenda sayari nyingine na technlogia zingine za hali ya juu....
Na,je vip upande wa wenzetu waislamu, Qur'an umeyaona mambo haya?
Nakuja kuna majibu ya maarifa yataongezeka ila hili jibu lipo general sana,halipo specific ikatoa basi mfano wa maarifa hayo.
Nb.Naomba usichangie kwa lengo la kukejeli imani au kitabu cha imani yeyeto tafadhali.