Kisesetusese
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 546
- 887
El Niño na maandalizi ya mvua kubwa
Muhimu. Gesi, mahindi ya kusaga na maharagwe, makande yatakisaidia, cabegi weka sehem nyenye ubaridi hayataoza, mchele, unga wa ugali na ngano, mafuta, sukari, viberiti, mgaa gunia mbilinhadi tatu, samak weka Kwenye friza, powerbenk, generater full tank, bears za tochi za kutosha. Matunda na nyanya manga chini tandika mfuko biloba Kwenye tiles weka nyanya matunda juu haziharibiki haraka.
fanya ibada
- Nyumba: Kagua paa, mifereji ya maji na sehemu zinazovuja.
- Mafuriko: Ondoa taka kwenye mitaro na epuka kujenga/kukaa kwenye maeneo yanayotuamisha maji.
- Maji: Hifadhi maji safi ya matumizi endapo huduma itakatika.
- Chakula: Kuwa na akiba ya vyakula visivyoharibika haraka.
- Umeme: Weka tochi, betri/power bank na vifaa vya kuchaji.
- Nyaraka: Hifadhi vyeti na nyaraka muhimu kwenye sehemu kavu na salama.
- Dawa: Hakikisha dawa za kawaida ulizoandikiwa hazikosekani.
- Mawasiliano: Simu iwe na chaji na uwe na namba muhimu za dharura.
- Kama una kilimo: Fuata utabiri wa mvua na panga upandaji kulingana na ushauri wa wataalamu.