mambo

The Museo d'Arte Moderna di Bologna or MAMbo is a purpose-designed museum of modern and experimental art in Bologna, Italy. The Museo Morandi, which displays a large collection of works by Giorgio Morandi, is temporarily housed in a part of it.

View More On Wikipedia.org
  1. comrade_kipepe

    Mpaka siku muafrika aachane na mambo ya dini, ndio siku atakayoendelea

    Wanaosema dini ni nusu ya uchizi hawajakosea. Fikiria, kabla dini haijaletwa mtu mweusi ulikua na maisha yako na namna ya kuomba Mungu kwa dini zako za asili. Baada ya kuletewa dini leo hii wewe ndio unajikuta unaijua zaidi ile dini kuliko walioileta, Kwamba wewe ulie Maneromango ndio unamjua...
  2. M

    Dunia ina mambo! Eti kuna watu wapo kwenye sababu wanawadai wenza wao vinginevyo wangeshaachika

    Kumbe kuna watu wanabaki ndoani kisa wanawadai wenza wao, yaani mtu kashaona hapa hapakaliki ila sababu aliwahi kumkopesha mwenza wake pesa anaona akimuacha na pesa itapotea hivyo anaendelea kubaki kusubiri mpaka alipwe ndio kama kuondoka aondoke. Sikiliza mwenyewe
  3. Pascal Mayalla

    Shuhudieni Mambo Makubwa Mazuri ya Bonge wa Zimbabwe, Wicknell Chivayo Akifanya Makubwa!, Je Hapa Kwetu Alifanya Nini?

    Wanabodi Shuhudieni mambo makubwa mazuri ambayo ni super, ya huyu Bonge wa Zimbabwe, Bilionea Wicknell Chivayo wa Zimbabwe, akifanya mambo makubwa mazuri kwa nchi yake Zimbabwe!, Hili limjamaa, bonge la Zimbabwe, limekuja hapa nchini kwetu mara 4, likitua airport yetu kwa private jet yake na...
  4. L

    Ushirikiano kati ya China na Afrika kwenye mambo ya mtandao wa Internet waendelea kupunguza pengo la kidigitali barani Afrika

    Mwezi Agosti mwaka 2021, kwenye mkutano wa kwanza wa Maendeleo na Ushirikiano kwenye mambo ya mtandao wa Internet kati ya China na nchi za Afrika, China ilitangaza kuzindua mpango wa ushirikiano na nchi za Afrika kwenye eneo hilo, ukihusu ujenzi wa miundo mbinu ya mtandao wa Internet pamoja na...
  5. L

    China na nchi za Afrika kushirikiana kwenye kujenga Jumuiya yenye mustakbali wa pamoja kwenye mambo ya mtandao wa Internet

    Mwezi Agosti mwaka 2021, China ilizindua Mpango wa China na Afrika wa Kujenga Jumuiya yenye mustakbali wa pamoja kwenye mambo ya mtandao wa internet, na kuwa jukwaa la kwanza la Maendeleo na Ushirikiano kwenye mambo ya mtandao wa Internet kati ya China na Afrika. Ushirikiano huo ni mwendelezo wa...
  6. Echolima1

    SI KWELI Jenerali wa IRGC Mohammad Zolghadr aliyeshika nafasi ya larjan aangamizwa

    .Jenerali wa IRGC Mohammad Zolghadr, aliyechukua nafasi ya Larijani, kuna uwezekano mkubwa aliangamizwa jana usiku baada ya maficho yake kusambaratishwa!!
  7. Wakusolve

    Kutoa msaada ni sadaka inayoweza kukufanikisha katika mambo mengi kwenye maisha yako

    Kutoa msaada kunaweza kukupa fursa kubwa maishani mwako soma hapa chini Kutoa msaada kama vile pesa, mali , ushauri n.k kwa ndugu, jamaa na marafiki au mtu yoyote mwenye uhitaji ni sadaka pia, Unapokuwa mtu wa kusaidia unajijengea baraka au fursa kuzipata bila kutegemea kutoka kwa Mungu...
  8. Kazanazo

    Wazoefu wa haya mambo tusaidiane hapa

    Hivi mtu unamtongoza anakukubalia unajaribu kumsogeza kunako 6×6 akija anakataa kwakuwa hutaki kumbaka unampetipeti anakaza zaidi unamuacha kumsubiria siku nyingine Baada ya kumuacha anakutumia text "nimejitahidi kuvuta hisia zimekataa yani Sina hisia na wewe kabisa" Hivi hapo shida ni nini...
  9. ERTUGRUL BEY

    Wasio waislamu msilete ujuaji katika mambo ya Uislamu

    Kumekuwa na ujinga mwingi sana wa watu ambao hawajui chochote kuhusu Uislamu na kuwa kimbelembele kutoa majibu ya Uislamu,ikiwa wao tu hawajui imani yao vizuri kumjua yupi ni Mungu na yupi ni nabii/mtume ndio wataweza kweli kuujua Uislamu? Nimepitia post kadhaa kuhusiana na mwandamo wa...
  10. idiomer

    Mambo yanatafakarisha sana haya. Nawaza Nawaza Nawaza tena. CAF

    Wanafiki wa siasa eti wanasema Game is won on the stadium 🏟? Wakati kwenye siasa game is not won by voters but who count the voters votes 🤔 Hongereni sana Morocco Pia soma Senegal wapokwa ubingwa wa AFCON 2025 na CAF, apewa Morocco
  11. MamaSamia2025

    Media na kukosa uaminifu ni mambo mawili yanayowapoteza kirahisi vijana wanaoibuka kimafanikio

    Ninaandika uzi baada ya kusoma habari mitandaoni inayosema kuwa kijana Dominik mmiliki wa room of jeans kuwadanganya wateja wake kuwa watauziwa suruali Tsh 5000 ila walipofika akawapa bei tofauti ambayo ni kubwa zaidi. Hii mimi naona haijakaa sawa. Dominik kateleza. Uongo wa aina hii kwenye...
  12. KEKO JUU

    Msaada wa tiba ya tatizo la kushindwa kubana mkojo

    Habari za uzima wana JF! Mpenzi wangu amepata changamoto ya kiafya hivi karibuni. Hawezi kubana mkojo hata kwa dakika moja, ile feeling ya kukojoa ikifika mkojo unatoka wenyewe tu, hawezi kuuzuia. Hii changamoto ni nini, na inaweza kutatuliwa vp?
  13. M

    Wale tunaopenda mambo ya geo politics, vita, siasa za kimataifa tuanze kuweka mizigo tunufaike na pesa, tusiishie kulumbana tu humu

    Wale tunaopenda mambo ya geopolitics, vita, na siasa za kimataifa, hebu tufikirie hatua inayofuata. Mara nyingi humu tunakesha kujadiliana, kubishana na kuchambua matukio ya dunia kuanzia migogoro ya kimataifa hadi mikakati ya mataifa makubwa. Ukweli ni kwamba kuna watu wengi humu wana uelewa...
  14. V

    Nahitaji mwenza

    Mambo vipi wakuu, hivi hii changamoto kuna wengine wanapitia kama mimi, iko hivi ... Kipindi uko na umri mdogo, yaani early &/ mid 20's unakua hujihusishi sana na mapenzi ukitegemea kujitafuta. Ila mwisho wa siku unafika early 30's kama mimi unakuta kupata mwenza wa sifa zako ni ngumu mno...
  15. M

    Baadhi ya mambo ambayo yamevumbuliwa au kuanzishwa na watu wenye asili ya kiyahudi

    Makampuni na Teknolojia Google – Sergey Brin, Larry Page Facebook / Meta – Mark Zuckerberg WhatsApp – Jan Koum, Brian Acton Intel – Andy Grove, Robert Noyce Oracle – Larry Ellison Dropbox – Drew Houston Snapchat – Bobby Murphy PayPal – Peter Thiel Palantir Technologies – Alex Karp WeWork –...
  16. Roving Journalist

    Waziri Nanauka akabidhi Sh Bilioni 7 Mwanza kwa Vijana 308 wanaojishughulisha na Mambo ya uvuvI

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Maendeleo ya Vijana, Joel Arthur Nanauka, Machi 7, 2026 amezindua program ya Jenga Kesho iliyobora (BBT) upande wa uvuvi kwa kuwakabidhi hundi yenye thamani ya Bilioni 7 Vijana 308 wanaojishughulisha na Mambo ya uvuvi ili iwawezeshe kimitaji hafla iliyofanyika...
  17. Wakusolve

    Mambo 8 yatakayo kufanya mwanaume kuwa na mafanikio na nguvu katika jamii

    Mambo 8 yatakayo kufanya mwanaume kuwa na mafanikio na nguvu katika jamii 1.Kumshirikisha Mungu kwenye mipango yako, Unapomuweka Mungu wa kwanza kwenye kila mipango unayofanya unajipa nafasi ya kufanikiwa na kuwa imara, Mungu atakufanya ufanye maamuzi sahihi, atakupa watu sahihi na pia kupata...
  18. Robert Heriel Mtibeli

    Mambo haya yamenifanya nione Dunia imefika Mwisho

    MAMBO HAYA YAMENIFANYA NIONE DUNIA IMEFIKA MWISHO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli 1. Wengi wetu tunajua hakuna Jambo au kitu kisicho na mwisho. 2. Hata Dunia tunayoiishi inamwisho wake. Kisayansi na kidini. 3. Sasa kwenye Dini tunaambiwa Kiyama(mwisho wa dunia) kutakuwa na hekaheka na...
  19. Fbn

    Kuna mambo yanayoendelea duniani yanaweza kuwaathiri watu hata kama hayafanyiki kwenye nchi yao moja kwa moja.

    Sijiui wenzangu ila mimi na kuwa muhanga sana. Kipindi cha ugaidi kimetufanya wasafiri kunyimwa viza sana. Ilipokuja kuanguka kwa uchumi wa dunia sehemu niliyokuwa nafanya kazi ofisi walifunga. Ilipokuja ugonjwa wa COVID-19,biashara nyingi zilishindikana kutokana na mipaka. Ilipoingia vita...
Back
Top Bottom