makundi ya watu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. bongo dili

    Makundi ya watu yanayoishi kwa stress kwenye jamii

    Naandika leo jumapili hii nikitulia home baada ya kupita mtaa mmoja hivi nikayashuhudia haya. 1. Dada wa kazi. Hili kundi uongozwa kwa kuwa na stress hasa leo jumapili maboss zao na familia nzima wakiwa home angalau siku za kazi kwa mabosi wasioshinda home urudi jioni plus watoto kuwa shule...
  2. F

    Makundi 7 ya watu wanaoheshimiana sana Tanzania. Nini siri yake?

    Kuna makundi ya watu wakikutana mahali wanaheshimiana sana. Mimi nimeona makundi yafuatayo, je kuna siri gani? 1. Wachawi 2. Washirikina 3. Wanasiasa 4. Wanajeshi 5. Polisi 6. Wafanyabiashara wakubwa 7. Viongozi wa dini 8. Mateja 9. Madalali 10. Matapeli 11. Mafundi 12. Walevi
  3. Hemedy Jr Junior

    Makundi ya watu ambao huwezi kuwakwepa duniani

    1. WANAFIKI* Hili ni kundi la watu ambao wakiwa na wewe lakini wakiwa mbali na wewe wanaokusema vibaya au kukufanyia mambo mabaya. Watu kaka hawa hukupa changamoto na ni ngumu kumjua mnafiki kwa sababu watacheka na wewe pia wakiwa na wewe watafurahi huku nyuma ya pazia wakiwa wanakuwazia mabaya...
  4. JanguKamaJangu

    70% ya Wagonjwa wa Kitengo cha Fiziotherapi Hospitali ya MZRH Mbeya wana tatizo la uti wa mgongo

    Asilimia 70 ya wagonjwa wanaopata matibabu katika kitengo cha Fiziotherapi Hospitali ya Rufani ya Kanda Mbeya, wanasumbuliwa na matatizo ya uti wa mgongo huku chanzo kikubwa kikitajwa ni kukaa kwa muda kwenye viti ambavyo havina teknolojia ya kuepukana na tatizo hilo. Vilevile, imebainishwa...
  5. Jaiter

    SEX ALLERGY: Hivi kuna makundi ya watu hayafai ktk mapenzi?

    Karibu tujadili hili, hivi inawezekana kama ambavyo kuna watu wana aleji na nyama, wali, panadol etc Je kuna uwezekano kuna kundi fulani la watu kwao mahusiano ya kimapenzi huwa chanzo cha maanguko ktk kazi, biashara n.k? Yaani wasipojihusisha na mapenzi wanafanikiwa? Lakini wakijihusisha tu...
  6. CONTROLA

    Makundi ya watu ambao wakifungua biashara lazima zife, fahamu kundi lako na Ubadilike

    1. Kapata Pesa za Ghafla Hapa kuna wale wenzangu wa michezo ya bahati na sibu au kuna mirathi,kuuza kitu flani nk nk,hawa watu mara nyingi biashara huiwaza angali ameshika pesa,alikua hana hata mpango wa biashara ila kwakua kapata pesa na watu waliomzunguka wengi marafki majiran n...
  7. Bujibuji Simba Nyamaume

    Makundi ya watu na tabia zao: Je, wewe upo kundi gani?

    MAKUNDI YA WATU NA TABIA ZAO je wewe ni kundi gani? Msingi mkuu wa mgawanyiko huu ni sifa zinazoamua uwezo wa kundi hilo lakini ni lazima kuzingatia uwezo huo huchochewa kutoka ndani kwa mtu mwenyewe au kutokana kwa watu waliomzunguka wale ambao uchochezi hutokea ndani huitwa Introvets sifa...
Back
Top Bottom