uti wa mgongo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JanguKamaJangu

    Ugonjwa wa Homa ya Uti wa Mgongo waua Wanafunzi 17 nchini Nigeria

    Takriban wanafunzi 17 katika shule tano katika jimbo la Yobe kaskazini-mashariki mwa Nigeria wamefariki baada ya mlipuko wa homa ya uti wa mgongo, mamlaka imethibitisha. Miongoni mwa waliofariki ni wanafunzi wa shule za msingi na wengine katika shule za upili za bweni, kamishna wa elimu wa...
  2. Mhafidhina07

    Serikali waambieni vijana kilimo ni uti wa mgongo wa Taifa na kwao kama wananchi

    Tabu laaaa tabu leeeee!!!! Bandiko langu litakuwa fupi lenye lengo na madhumuni ya kuikumbusha serikali faida na umuhimu wa kilimo katika taifa na hivyo kutilia mkazo wa nguvu kwa vijana kuacha kushinda kwenye mitandao na kwenye majumba ya kamari kama mbadala wa ajira kwao. Mwanzo nianze kwa...
  3. Spinal Health

    Fahamu afya ya uti wako wa mgongo: MUHIMU!

    Kuna vitu vitatu: Ubongo, Mishipa ya fahamu na Uti wa mgongo. Vitu hivi vinafanya kazi bega kwa bega na kwa kutegemeana sana, Kitu kimoja kati ya hivo kikipata shida basi mfumo mzima unavurugika na hapo ndipo magonjwa yanaanza kujitokeza, mara nyingi ni magonjwa yanayohusiana na uti wa mgongo...
  4. Spinal Health

    Hizi ni Dalili za ugonjwa wa uti wa mgongo:

    Hizi ni dalili za ugonjwa wa uti wa mgongo: 1 Maumivu mkali ya mgongo 2 Maumivu makali sehemu ya kiuno (Nyongo) 3 Maumivu ya kichwa yasiyoacha 4 Maumivu ya shingo na mabega 5 Vichomi sehemu ya kiuno Kama una dalili yoyote kati ya hizo, basi kuna uwezekano mkubwa kuwa una shida kwenye uti wa...
  5. Spinal Health

    Afya ya Uti wa mgongo

    Je, unafahamu nini kuhusu afya ya uti wa mgongo?
  6. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Ngassa: Miundombinu ni Uti wa Mgongo Kwenye Uchumi wa Nchi

    ".. Serikali yetu imeweka nguvu kwenye Miundombinu ya uchumi kwa kuwa miundombinu ni uti wa mgongo kwenye kukuza uchumi wa Taifa na mtu mmoja mmoja. Barabara, Umeme, Mawasiliano na Huduma za kifedha ni muhimu sana katika kukuza uchumi jumuishi na shindani..." "...Hivyo tunapoona wakandarasi...
  7. Abuxco

    SoC03 Kilimo ni uti wa Mgongo katika karne ya sasa

    Utawala bora na uwajibikaji ni mambo muhimu katika maendeleo ya nchi yoyote, na sekta ya kilimo haipo nyuma. Tanzania, kama nchi inayotegemea kilimo kwa kiasi kikubwa katika uchumi wake, inahitaji kuweka mkazo katika kuleta mabadiliko na kuboresha utawala bora na uwajibikaji katika sekta hii...
  8. JanguKamaJangu

    70% ya Wagonjwa wa Kitengo cha Fiziotherapi Hospitali ya MZRH Mbeya wana tatizo la uti wa mgongo

    Asilimia 70 ya wagonjwa wanaopata matibabu katika kitengo cha Fiziotherapi Hospitali ya Rufani ya Kanda Mbeya, wanasumbuliwa na matatizo ya uti wa mgongo huku chanzo kikubwa kikitajwa ni kukaa kwa muda kwenye viti ambavyo havina teknolojia ya kuepukana na tatizo hilo. Vilevile, imebainishwa...
  9. Adam tuga

    SoC02 Kilimo uti wa mgongo

    Ni majira ya Saa Kumi na Mbili jioni anaonekana Kijana mwenye furaha huku mbele yake kukiwa na watu takribani kumi na nane furaha hiyo inakuja pale kijana Shahibu Abdallah anayefahaamika kwa jina la SHEBY THE DON kufanikisha ndoto ya Familia yake kupata Elimu ya juu kwa wadogo zake wawili Nuru...
  10. F

    Maumivu ya mgongo sugu wa juu, mabegani na misuli shingo kukaza homa ya uti wa mgongo (Pneumonical Meningitis)

    MAUMIVU YA MGONGO SUGU WA JUU, MABEGANI NA MISULI SHINGO KUKAZA HOMA YA UTI WA MGONGO ( PNEUMONICAL MENINGITIS) Ndugu zangu wana jamii forum kwanza nikili kwamba huu ugonjwa ninao na ni hatari sana kimaisha kiujumla na unakatisha tamaa sana kiasi kwamba mpaka inafika hatua unaweza kuchukua...
  11. B

    Waziri Bashe, Kilimo hakihitaji maafisa wa serikali walio committed, kinahitaji ushiriki wa wanasiasa na matajiri

    Nadhani wote tunashuhudia namna wabunge wanavyolinda na kupiga kelele zinapotajwa posho na maslahi Yao. Ni mashuhuda kwamba Mzee Pinda linapokuja suala la ufugaji wa nyuki yupo radhi afunge safari kwenda Kwa Mhe. Mkubwa wa nchini kulitolea ufafanuzi, tunafahamu nguvu watakayotumia akina Zitto...
  12. mwanamwana

    Wizara ya Afya yawatahadharisha Watanzania kuhusu ugonjwa wa Homa ya Uti wa Mgongo

    Watanzania wametakiwa kuchukua tahadhari kufuatia mlipuko wa ugonjwa wa homa ya uti wa mgongo ulijitokeza katika nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia Congo (DRC). Kwa mujibu wa Mganga Mkuu wa Serikali, Dkt.Aifelo Sichwale amesema ugonjwa huo wa mlipuko husababishwa na bakteria wanaojulikana kama...
  13. Analogia Malenga

    Mlipuko wa ugonjwa wa uti wa mgongo waua 120 DRC

    Mlipuko wa ugonjwa wa uti wa mgongo au meningitis umetangazwa kaskazini- mashariki mwa Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo. Mpaka sasa watu zaidi ya 120 wamekufa kutokana na ugonjwa huo. Mgonjwa wa kwanza nchini DRC aliripotiwa Julai. Zaidi ya watu 100 wamepata tiba wakiwa nyumbani au vituo vya...
Back
Top Bottom