makubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aendelea kufanya makubwa wilaya ya Ludewa, amwaga mabilioni

    RAIS SAMIA AENDELEA KUFANYA MAKUBWA WILAYA YA LUDEWA, AMWANGA MABILIONI. Rais Samia Suluhu Hassan amepania kupeleka maendeleo makubwa Wilaya ya Ludewa Mkoani Njombe kama ambavyo amekuwa akifanya kwa Nchi nzima kwa ujumla. Rais Samia kupitia TARURA amefanikiwa kufungua Barabara ya Lifuma-...
  2. JamiiForums Tanzania Serikali na ununuzi wa mawe makubwa

    Wataalamu, ni ipi hasa sababu ya serikali kuyanunua madini yenye uzito mkubwa/thamani kubwa, je labda kunayo madhara yoyote endapo mchimbaji akiyapeleka sokoni mwenyewe badala ya kuiuzia serikali? Na je mchimbaji anapata malipo mazuri zaidi kuliko sokoni? Huo utaratibu maanake nini
  3. JamiiForums Tanzania Serikali na ununuzi wa mawe makubwa

    Wataalamu, ni ipi hasa sababu ya serikali kuyanunua madini yenye uzito mkubwa/thamani kubwa, je labda kunayo madhara yoyote endapo mchimbaji akiyapeleka sokoni mwenyewe badala ya kuiuzia serikali? Na je mchimbaji anapata malipo mazuri zaidi kuliko sokoni? Huo utaratibu maana yake nini
  4. JamiiForums Tanzania Wanawake wanaouza maduka ie...k/koo wanazidisha bei(over pricing) kwa wateja wanaume

    Habari zenu my virtual family(JF) Mara kadhaa huwa nikienda kununua vifaa vya electronics huwa nawakuta wauzaji wanawake...(probably nawafuataga sijui ila iko hivyo) ila sasa wana katabia ka kunitajia bei za ajabu ambazo ziko juu ya kawaida, Lakini... Nikienda duka lingine labda nkamkuta...
  5. JamiiForums Tanzania Matumizi makubwa yatishia uhai wa Bima ya NHIF

    Kamati ya Bunge ya Uwekezaji na Mitaji ya Umma (PIC) imesema, imebaini Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) unatengeneza nakisi katika mapato na matumizi, jambo ambalo linatishia uhai wa mfuko. Mwenyekiti wa PIC, Jerry Silaa ameyasema hayo leo Alhamis Agosti 25, 2022 baada ya kupokea taarifa...
  6. JamiiForums Tanzania Makalio makubwa yageuka kuwa silaha pekee kwa wasichana wengi siku hizi

    Nimefanya kajiutafiti nikagundua wanawake wengi wa Kitanzania au kiafrica wamekuwa tegemezi sana kwenye silaha moja tu. MAKALIO YAO",Asilimia kubwa ya wanawake wamekuwa wakitumia makalio yao"Wowowo"Kuwanasa wanaume haswa maofisini n.k. Nimejiuliza bila makalio mbinuko hawa watu wangetumia nini...
  7. 1

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mabadiliko makubwa katika Sayansi na Teknologia yanayofanyika katika nchi zenye uchumi imara yana maana gani kwetu? Ni ipi dira yetu?

    Nchi zenye uchumi mkubwa duniani kama Marekani na China zinapiga hatua kubwa katika Nyanja mbalimbali za teknologia wakati sisi Tanzania(Africa kwa ujumla ) tukiwa bado tuko nyuma. Mifano mizuri tumekuwa tukiona mapinduzi yanayozidi kufanywa katika utengenezaji wa magari, kampuni moja ya hukou...
  8. JamiiForums Tanzania Tukumbushane 1,2,3 za udereva wa magari makubwa na Thomas B. MWAMFUPE

    Chunguza upepo wa gari yako #Roadlife.Tuendelee kukumbushana kuwa dereva ukiendesha lori lako jitahidi kuangalia geji zako zote mara kwa mara,tofauti yake ni kuwa madereva tunaangalia saana geji ya mafuta,geji ziko nyingi na kila moja ina umuhimu wake, ipo geji ya Mafuta Upepo kwenye mitungi...
  9. JamiiForums Tanzania Serikali ipambane na suala la afya ya akili kwa Watanzania kabla ya kufanya mambo mengine makubwa.

    Hamjambo humu ndani? Tatizo la upungufu wa akili miongoni mwa wanajamii ya Kitanzania limekuwa kubwa sana. Vijana kwa wazee. Serikali iboreshe lishe kwa jamii hali ngumu. Nguvu kazi hasa vijana wana ukosefu wa akili na wengine wana upungufu wa akili kichwani. Vijana wa nchi hii wasomi kwa...
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Huu uwazi wa uchaguzi wa Kenya ni mageuzi makubwa sana! Kila mtu duniani anaweza kudownload matokeo na kujijumlishia

    Pale kituoni kura zikihesabiwa na kujazwa kwenye form (34A), kila wakala anaipiga pcha na kuwarushia watu wake, anapata hard copy kisha hiyo form inakuwa uploaded kwenye mfumo wa tume ya uchaguzi. Kila mtu anaweza kudownload na kujijumlishia ili kuona mwenendo wa mgombea yeyote, kisichotakiwa ni...
  11. JamiiForums Tanzania Sierra Leone yatangaza marufuku ya kutotoka nje huku ikikabiliwa na maandamano makubwa

    Makamu wa Rais, Mohamed Juldeh Jalloh ametangaza amri ya kutotoka nje kwa nchi nzima huku kukiwa na maandamano makubwa dhidi ya Serikali, kupinga kuongezeka kwa mfumuko wa bei na migogoro ya kiuchumi Maafisa wawili wa Polisi wameuawa huku Makumi ya waandamanaji wakishikiliwa katika makabiliano...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu afanya makubwa sekta ya usafiri wa anga

    Katika mwaka wa fedha 2022/23 Serikali ya Rais Samia Suluhu imetenga Sh. 86.1bn/- kwa ajili ya ujenzi na marekebisho ya viwanja vya ndege mbalimbali nchi nzima. Lengo ni kuboresha sekta ya usafiri wa anga na pia kuimarisha sekta ya utalii ambayo imekuwa ikichangia kiasi kikubwa sana cha fedha...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu anafanya makubwa sekta ya usafiri wa anga

    Katika mwaka wa fedha 2022/23 Serikali ya Rais Samia Suluhu imetenga Sh. 86.1bn/- kwa ajili ya ujenzi na marekebisho ya viwanja vya ndege mbalimbali nchi nzima. Lengo ni kuboresha sekta ya usafiri wa anga na pia kuimarisha sekta ya utalii ambayo imekuwa ikichangia kiasi kikubwa sana cha fedha...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Kumbe kule Yanga ana mamlaka makubwa hivi? Anaamua nani asajiliwe au asisajiliwe

    Asalalaleeee nilijua Sope bin takadin ndoa yake na yanga imefikia patamu kama pwagu na pwaguzi pale walipoyabeba matusi yake kwa karia kuwa ya taasisi lakini sikujua kama ana mamlaka makubwa kiasi hicho huko utopoloni ya kuamua nani asajiliwe na nani asisajiliwe, aiseee asante Barbara...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi wa Tundu Lissu juu ya Mamlaka makubwa ya Kikatiba aliyonayo Rais wa Tanzania yalitoka wapi. Nyerere hakuwa kama tunavyohubiriwa!

    Kumbe Nyerere hakuwa na demokrasia, alikuwa dictator mkubwa, eti huyo ndiye anakuja kuwa Mtakatifu! Sikiliza kwa makini:
  16. JamiiForums Tanzania Historia Halisi yenye kusisimua kuhusu rapa Juice WRLD

    Whatsup! Leo nimeona nije na Biography ya Marehemu Juice Wrld, kwa wasiomjua wapate kumjua na wenye kumjua waweze kuyajua zaidi ambayo hawakuweza kuyajua. Lakini pia kupitia uzi huu tutaendelea kujuzana hata yale ambayo unayajua na humu sijaweza kuyaandika kwasababu sio rahisi maisha ya miaka...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Ni Makosa makubwa Philip Mpango kuwa Makamu wa Rais

    Huyu mtu simply ni Mhalifu, japo anajificha kwenye kijisauti chake kile tunamwona kama Mcha Mungu vile. Kwa miezi michache aliyokaa kama CG - TRA, Philip Mpango aliwatisha Wafanyabiashara na kuwafanya wengi wafunge biashara. Tabia hiyo aliendelea nayo akiwa Waziri wa Fedha. Aliwatisha pia...
  18. JamiiForums Tanzania Mbeya kumekucha, nategemea makubwa kutoka kwa Rais Samia

    Wadau niko mbeya kwa ajili ya maonesho ya nane nane, nimeona mwitikio ni mkubwa sana ,unaweza kupotea ulikotokea ,hii imenipa picha kwamba watanzania wana kiu ya kusikia kero za kilimo zinatatuliwa. Nchi yetu kwa sasa haina chakula kabisa. Hata hawa NMC hawana akiba tena. Tutasingizia mvua...
  19. R

    JamiiForums Tanzania SoC02 Matokeo Makubwa Sasa yanavyoliumiza Taifa

    MATOKEO MAKUBWA SASA YANAVYOLIUMIZA TAIFA Siku za hivi karibuni tumekuwa na msamiati unaitwa “Matokeo makubwa sasa” Pamekuwapo na juhudi za makusudi kuhakikisha kwamba kila jambo linapata matokeo makubwa. Jambo hili likanikumbusha wakati fulani nilipokuwa shule ya bweni pale Ifunda, siku za...
  20. JamiiForums Tanzania Acheni 'Double Standards' utampelekaje Fatma Nyangasa Morogoro badala ya 'Kumpromoti' Albert Msando ambaye kafanya Makubwa huko?

    Natembea sana na ukiniuliza leo hii kuwa tokea Fatma Nyangasa ateuliwe kuwa DC Kigamboni kuna kipi cha maana alichofanya jibu langu la haraka nitakujibu hakuna. Ila ukiniuliza leo hii tokea Albert Msando ateuliwe kuwa DC Morogoro na kafanya nini huko ( ukizingatia GENTAMYCINE ) nilikuwa huko...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…