Sierra Leone yatangaza marufuku ya kutotoka nje huku ikikabiliwa na maandamano makubwa

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,023
1,609
Makamu wa Rais, Mohamed Juldeh Jalloh ametangaza amri ya kutotoka nje kwa nchi nzima huku kukiwa na maandamano makubwa dhidi ya Serikali, kupinga kuongezeka kwa mfumuko wa bei na migogoro ya kiuchumi

Maafisa wawili wa Polisi wameuawa huku Makumi ya waandamanaji wakishikiliwa katika makabiliano kati ya vikosi vya usalama na waandamanaji, wanaoshinikiza Rais, Julius Maada Bio ajiuzulu

...............................................

In Sierra Leone, Vice President Mohamed Juldeh Jalloh has announced a nationwide curfew amid widespread anti-government protests against rising inflation and economic crises.

Meanwhile, two police officers were killed after a protest against economic hardship descended into clashes between security forces and youth demanding resign from President Julius Maada Bio.

Police said dozens of protestors were also arrested.

Source: Reuters
 
Back
Top Bottom