Fikra/Akili ni muhimu sana huhusishwa katika kujinasua kwenye minyororo ya kitumwa.
Tanzania na Afrika kwa ujumla tunapenda kutuliza matatizo na sio kuyatatua Yaani tunameza 'pain killers' tu na sio dawa za kutibu. Tumefungwa kwenye minyororo ya Utumwa wa Fikra na Utumwa wa Kiuchumi.
Tatizo...
Nafikiri mpaka apo akuna swali yanga anakwenda kubeba makombe yote msimu huu, pongezi kwa kocha Nabi kwa mbinu bora amedhihirisha sio kocha wa kubahatisha, pongezi kwa wachezaji, wamefanya kaxi kubwa, siku zote mpira sio maneno ni vitendo, aya sasa babra na watu wake wawai uwanja wa ndege warudi...
Batholomeo Mpemba ni mmoja ya wanasayansi wanaotambilika Dunia Kwanian kwa theory yake ya MPEMBA EFFECT katika utawala wa mwalim Nyerere.
Taja Watanzania wengine kama wapo.
Wakuu Kwema!
Wanaume karibu wote Duniani hupenda wanawake wazuri, na hapa nazungumzia wazuri kikamilifu. Sio wakubahatisha!
Taikon nikaona nifanye uchunguzi ni kitu gani kinafanya mwanamke aitwe Pisi Kali, mtoto JoJo mzuri Kama Malaika.
Vifuatavyo ni vigezo vya wanawake kuitwa Pisi Kali katika...
CHADEMA KATIKA MKAKATI WA KUMGOMBANISHA RAIS SAMIA NA WAMACHINGA
Utulivu wa Wamachinga katika majiji umezidi kukipa wakati Mgumu Chama Cha CHADEMA maana walishajipanga kuhakikisha Wamachinga wanaingia Barabarani kupinga utaratibu wa Serikali katika kuwapanga Wamachinga ili wafanye biashara kwa...
Wasalaam,
Katika pilika za mahusiano nilichogundua kudeka kunampa raha mwanamke japo kwa kiasi ila pia kudeka kwa mwanamke kunampa fursa mwanaume kujimwambafy na kutekeleza 1, 2, 3
Lakini kudeka kunapendeza kwa mwanamke mwembamba sasa unakuta mwanamke kama kiboko ati na yeye anajidekeza haa ha...
Idara hii iliweza kuthibitisha pasi na shaka kwamba Russia itaivamia Urusi, japo ikakosea ama haikuwa na uwezo kujua muda Mrussi atakaotumia kuiteka Kyiv.
TaarifA iliyokuwepo ni Russia kumaliza operesheni yake ndani ya siku kadhaa tu ama wiki huku wanasiasa wengine wakitia chumvi kwamba...
Wakuu!
Tumechelewa Sana kupata maendeleo ya kweli nchini tangu tupate uhuru kwa kuwekeza fedha nyingi kwenye siasa kuliko miradi ya uzalishaji.
Nchi yetu iliamua kuwa kupiga domo kwenye siasa NDIO kulipe Sana kuliko utafiti wa mbegu Mpya za kilimo na ufugaji pale SUA.
Miradi ya uzalishaji...
Haya ni maoni yangu na mtu yeyote halazimishwi kuyapokea.
Sihitaji kurudia mazuri ya Magufuli. Tunajua alikuwa Rais wa watu aliyeongoza kwa ajili ya watu wa chini kabisa. Wazalendo wa Nchi hii hatuwezi kubabaishwa na kelele za wachache waliomchukia kwa sababu tunazozijua (e.g. u-puppet...
Serikali ya Tanzania imefanikiwa kuwashawishi wageni wengi kuifahamu Tanzania na kwalo HADI BABA YAKE RIHANNA AMEKUBALI KUJA KUISHI TANZANIA!
Hayo yamesemwa na Msemaji Mkuu wa Serikali bwana Gerson Msigwa.
Asante mama Samia kwa kufanikiwa kumshawishi BABA Rihanna kuja kuishi Tanzania.
Rais mzee baba Vladimir Putin ameonya vikosi vya nje dhidi ya kuingilia mzozo wa Ukraine, na kuahidi jibu la "kasi ya umeme" kwa vitendo kama hivyo, huku akiahidi kutumia siraha zenye matumizi ya juu zaidi za Moscow. "Iwapo mtu ataamua kuingilia kati matukio yanayoendelea kutoka nje na kuunda...
Sijui ndio tuseme tumeumbwa tofauti sana na hawa viumbe akina Sky Eclat ,Miss Natafuta,witnessj na nk.
Mwanaume ukibarikiwa tango kuna namna fulani uta-feel proud ila hawa wenzetu wakitunikiwa uke mkubwa wanajihisi kama ni mkosi hivi na wanakuwa hata wanasita sita kugawa mbususu kwa mtu wa...
Ni wakati sasa kwa TFF kutoa adhabu kali kwa hawa washirikina. Jambo hili halikubaliki hata kidogo.
Yaani tunaonekana Watanzania ni watu wa juju! Jambo ambalo siyo sahihi hata kidogo.
Unafanyaje ushirikina mbele ya makamera yote yale ukiwa nchi ya ugenini ?
Hiki kilichofanyik ni kinyume...
Haipo siri kuwa safari ya mama Samia Marekani imekuwa ya mafanikio makubwa.
Hakuna shaka kuwa mazungumzo ya ana kwa ana (one to one) ya awaye yote (mwenye nia njema) na mama Samia huwa ni ya mafanikio makubwa.
Kwa hakika mama Samia si wale wengine. Huyu ni msikivu na mwenye mawazo huru (open...
Watanzania wengi wanaweza kujiuliza kwanini riport ya CAG Ina madudu mengi lakini Mhe. Rais na serikali Kwa ujumla awachukui hatua? Wanajiuliza awamu ya sita inafumbia macho wizi na ubadhirifu tofauti na awamu ya Tano? Lakini wapo wanaohoji kama madudu hayayamefanyika wakati wa JPM je mbona...
Jambo moja ambalo huwa linanisikitisha sana ni suala la Watanzania na Ulalamishi. Watanzania wanalalamika sana ila hawachukui hatua .
Mimi nlijifunza kuchukua hatua toka nikiwa mdogo. Mzee alikuwa anatuchosha kila mara kutununulia nguo mpya za designers mbalimbali almost kila week. Ilikuwa...
Mji wa SanFransisco kule marekani umekumbwa na tatizo la ukosefu mkubwa wa usalama kiasi cha kuyalazimu baadhi ya makampuni makubwa kufunga office zao zilizoko huko
Ukosefu wa usalama kwa kiasi kikubwa umesababishwa na ongezeko kubwa la watu wasio na makazi(homeless) hali iliyochangiwa na...
Hili ni swali tu katika kujua uweza na uwezo wa nguvu za Jina la Yesu katika kutenda miujiza.
Yesu alipata kuishi yapata miaka 2019 iliyopita. Je inakuwaje jina lake leo lisemwe kwamba lina nguvu sana katika kutenda miujiza?
Kuna manabii wengi sana na mitume wengi wamepita, kina Krishna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.